Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Gazeti la Israel la Haaretz: Kushindwa kwa Trump UN ni 'zawadi kwa Iran'

    Gazeti la Israel la Haaretz: Kushindwa kwa Trump UN ni 'zawadi kwa Iran'

    Dec 24, 2017 13:11

    Gazeti la Kizayuni la Haaretz limeandika kuwa kushindwa Rais Donald Trump wa Marekani kupata uungaji mkono katika Umoja wa Mataifa kuhusiana na uamuzi wake wa kuitambua Quds kuwa mji mkuu wa Israel ni sawa na 'kuipatia zawadi' Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Maandamano ya kuwapinga Wazayuni yaendelea nchini Tunisia

    Maandamano ya kuwapinga Wazayuni yaendelea nchini Tunisia

    Dec 24, 2017 12:13

    Wananchi wa Tunisia kwa mara nyingine wameshiriki katika maandamano makubwa ya kupinga jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Hamas: Huenda Trump akaitambua Israel kama dola la Kiyahudi

    Hamas: Huenda Trump akaitambua Israel kama dola la Kiyahudi

    Dec 24, 2017 04:34

    Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas, Ismail Haniya amesema amepokea taarifa za siri kuwa Washington inapanga kuutambua utawala haramu wa Israel kama dola la Kiyahudi.

  • Marekani yapata pigo jingine, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa launga mkono Quds

    Marekani yapata pigo jingine, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa launga mkono Quds

    Dec 22, 2017 00:57

    Licha ya vitisho vilivyotolewa na Marekani dhidi ya wanachama wa Umoja wa Mataifa, lakini Baraza Kuu la umoja huo limepasisha kwa kauli moja azimio linaloitaka Marekani kufuta kauli yake ya kuitambua Quds kuwa eti ni mji mkuu wa Israel.

  • Mwenyekiti wa Baraza Kuu la UN atoa jibu kwa vitisho vya Trump

    Mwenyekiti wa Baraza Kuu la UN atoa jibu kwa vitisho vya Trump

    Dec 21, 2017 12:45

    Vitisho vilivyotolewa na viongozi wa Marekani dhidi ya nchi ambazo zitaipigia kura ya ndio rasimu ya azimio iliyopendekezwa na Misri kuhusu Quds katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa vimekabiliwa na radiamali isiyo ya moja kwa moja ya Mwenyekiti wa baraza hilo kuu.

  • Zarif: Trump anadunisha demokrasia kwa kutishia wapinzani wake

    Zarif: Trump anadunisha demokrasia kwa kutishia wapinzani wake

    Dec 21, 2017 00:12

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amekosoa vikali msimamo wa Marekani wa kupinga maamuzi ya Umoja wa Mataifa kuhusu Quds tukufu na kusema kuwa: Washington imebakia katika kiwango cha "ama uwe pamoja na sisi au dhidi yetu."

  • Wamarekani wengi wanaunga mkono Trump ajiuzulu kwa sababu ya tabia za kiasherati

    Wamarekani wengi wanaunga mkono Trump ajiuzulu kwa sababu ya tabia za kiasherati

    Dec 20, 2017 12:45

    Matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa nchini Marekani yanaonyesha kuwa akthari ya wananchi wa nchi hiyo wanaunga mkono rais Donald Trump ajiuzulu kwa sababu ya utovu wa maadili wa unyanyasaji wa kingono.

  • Marekani yatumia VETO kupinga azimio la Quds

    Marekani yatumia VETO kupinga azimio la Quds

    Dec 19, 2017 00:56

    Licha ya wanachama 14 wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuupigia kura ya ndio muswada uliopendekezwa na Misri kuhusu mji mtakatifu wa Baytul Muqaddas, lakini Marekani imeukwamisha muswada huo kwa kura yake ya veto.

  • Baraza la Usalama kupigia kura muswada wa kulaani uamuzi wa Trump

    Baraza la Usalama kupigia kura muswada wa kulaani uamuzi wa Trump

    Dec 18, 2017 01:13

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa litachunguza muswada unaopinga uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kutambua rasmi Quds kuwa ni mji mkuu wa Israel.

  • Waislamu Marekani waandamana dhidi ya uamuzi wa Trump kuhusu Quds

    Waislamu Marekani waandamana dhidi ya uamuzi wa Trump kuhusu Quds

    Dec 17, 2017 08:44

    Maelfu ya Waislamu wa Marekani wamefanya maandamano wakipinga hatua ya Rais wa nchi hiyo, Donald Trump ya kuitambua rasmi Quds kuwa ni mji mkuu wa utawala haramu wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS