-
Nyaraka nyeti zinazohusiana na Iran zimekutwa kwenye makazi ya Trump Florida
Oct 22, 2022 12:19Gazeti la Washington Post limeripoti kuwa nyaraka nyeti zinazohusiana na Iran zimekutwa nyumbani kwa rais wa zamani wa Marekani Donald Trump.
-
Kitabu kipya chafichua hofu ya Trump ya kulipiziwa kisasi na Iran kwa mauaji ya Kamanda Soleimani
Sep 14, 2022 12:06Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump, aliwaambia rafiki zake kabla ya kumalizika muhula wake wa urais kuwa, alikuwa akihofia kwamba Iran ingejaribu kumuuwa ili kulipiza kisasi mauaji ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduuzi ya Kiislamu (Sepah). Hayo ni kwa mujibu wa kitabu kipya.
-
Kupenda vita Marekani duniani; urithi wa tukio la Septemba 11
Sep 12, 2022 08:21Jumapili ya jana tarehe 11 Septemba ilisadifiana na kutimia miaka 21 tangu kutokea mashambulio ya kigaidi ya Septemba 11 ambapo hadi sasa Marekani ingali imeshughulishwa na matokeo ya tukio hili lenye kuainisha hatima.
-
FBI katika hali ya tahadhari baada ya kuvamia nyumba ya Trump
Sep 10, 2022 08:13Maafisa wa usalama wa Marekani wamewekwa katika hali ya tahadhari baada ya Polisi ya Upelelezi ya Shirikisho la Marekani (FBI) kuvamia makazi ya rais wa zamani wa nchi hiyo, Donald Trump.
-
Trump: Kuondoka Afghanistan lilikuwa tukio la udhalilishwaji mkubwa zaidi katika historia ya Marekani
Aug 17, 2022 02:37Aliyekuwa rais wa Marekani Donald Trump amesema, kuondoka majeshi ya nchi hiyo Afghanistan ilikuwa hatua ya pupa na ya udhalilishwaji.
-
Trump: Marekani imekuwa taifa ombamba
Jul 28, 2022 02:23Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amesema nchi hiyo imegeuka na kuwa 'taifa ombaomba' na kwamba hivi sasa nchi hiyo inakumbwa na wimbi la udhalilishaji wa kihistoria.
-
Warepublican wanaogopa mno Trump kugombea urais 2024 nchini Marekani
Jul 26, 2022 02:23Ripoti mbalimbali zinaonesha kuwa, viongozi waandamizi wa chama cha Republican cha nchini Marekani wana wasiwasi mkubwa wa kugombea urais Donald Trump mwaka 2024 kutokana na kashfa nzito zinazomkabili.
-
New York Post: Trump hafai tena kuwa rais wa Marekani
Jul 24, 2022 11:07Gazeti la Marekani la New York Times limesema katika ripoti kwamba Donald Trump hana sababu yoyote ya msingi ya kujitetea kuhusu uzembe aliofanya kwa makusudii na hivyo kushindwa kuzuia vurugu zilizofanywa na magenge ya uhalifu katika fujo za Januari 6, 2021.
-
Kamati ya Bunge: Tuna ushahidi wa kumtia hatiani Trump
Jun 13, 2022 11:18Wanachama wa Kamati ya Bunge la Marekani inayochunguza shambulio dhidi ya jengo la Kongresi tarehe 6 Januari mwaka jana, wamesema wana ushahidi wa kutosha wa kumtia hatiani aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Donald Trump.
-
Newsweek: Trump yumkini akafungwa jela miaka mitano
Feb 21, 2022 01:13Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump, huenda akafungwa jela miaka mitano kwa madai kwamba alichukua nyaraka za siri za Ikulu ya Rais wa Marekani kuhusiana na usalama wa taifa alipoondoka madarakani mwaka jana.