Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Sisitizo la Rais Macron wa Ufaransa kuwa Shirika la kijeshi la NATO limekufa ubongo

    Sisitizo la Rais Macron wa Ufaransa kuwa Shirika la kijeshi la NATO limekufa ubongo

    Nov 09, 2019 04:05

    Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa aklilidunisha Shirika la Kijeshi la Muungano wa Nchi za Magharibi (NATO) huku akikosoa wananchama wa muungano huo kutokana na kutoshiriki katika kuchangia bajeti ya muungano huo hasa kutotenga asilimia 2 ya Pato la Ndani la Nchi (GDP) kwa ajili ya gharama za kijeshi.

  • Ripoti: Aghalabu ya Wamarekani hawamuamini Trump

    Ripoti: Aghalabu ya Wamarekani hawamuamini Trump

    Nov 06, 2019 21:43

    Utafiti mpya unaonesha kuwa, akthari ya wananchi wa Wamarekani wanatiwa wasiwasi na utendaji kazi wa Rais Donald Trump, na wamepoteza imani na uongozi wa mwanasiasa huyo wa chama cha Republican.

  • Kufichuliwa watu wa karibu na Trump waliomshinikiza balozi wa zamani wa Marekani nchini Ukraine

    Kufichuliwa watu wa karibu na Trump waliomshinikiza balozi wa zamani wa Marekani nchini Ukraine

    Nov 05, 2019 23:38

    Balozi wa zamani wa Marekani nchini Ukraine ametoa ushahidi kwamba alitakiwa kuunga mkono wazi jumbe za mtandao wa kijamii wa Twitter za Rais Donald Trump, ili asifutwe kazi.

  • Watetezi wa haki za binadamu: Marekani si mahala salama kwa wakimbizi

    Watetezi wa haki za binadamu: Marekani si mahala salama kwa wakimbizi

    Nov 05, 2019 08:49

    Watetezi wa haki za binadamu wamekosoa baadhi ya sheria ngumu za uhamiaji za Marekani na kutangaza kuwa nchi hiyo si salama na mahala pa amani kwa wakimbizi katika kipindi cha utawala wa Donald Trump.

  • Uamuzi wa Chama cha Brexit wa kutoshiriki katika uchaguzi wa mapema nchini Uingereza

    Uamuzi wa Chama cha Brexit wa kutoshiriki katika uchaguzi wa mapema nchini Uingereza

    Nov 04, 2019 23:00

    Matukio yanayohusiana na kujiondoa Uingereza katika Umoja wa Ulaya (Brexit) yameingia katika hatua mpya baada ya Bunge la nchi hiyo kuafiki uamuzi wa kufanyika uchaguzi wa kabla ya wakati.

  • Nusu ya wapiga kura nchini Marekani hawatampa kura Trump

    Nusu ya wapiga kura nchini Marekani hawatampa kura Trump

    Nov 04, 2019 08:35

    Uchunguzi wa maoni uliofanywa kwa pamoja na vyombo viwili vya habari vya nchini Marekani unaonyesha kuwa nusu ya wapiga kura nchini humo hawatampigia kura Trump.

  • Mahakama yasimamisha sera ya Trump dhidi ya wahamiaji

    Mahakama yasimamisha sera ya Trump dhidi ya wahamiaji

    Nov 03, 2019 04:34

    Jaji wa Mahakama ya Federali ya Wilaya ya Portland, jimboni Oregon ncini Marekani amesitisha kwa muda utekelezaji wa sera iliyotangazwa na utawala wa Rais Donald Trump ya kuwataka wahamiaji kuthibitisha kuwa wana uwezo wa kugharamia bima ya afya au matibabu kabla ya kupatiwa kibali cha kuingia nchini humo.

  • Larijani: Trump ni nembo ya sura ya kuogofya ya Marekani

    Larijani: Trump ni nembo ya sura ya kuogofya ya Marekani

    Nov 03, 2019 04:31

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema tabia ya Donald Trump ya kufichua sera haribifu zilizofichika za Ikulu ya White House ya Marekani imeweka hadharani sura halisi, mbaya na ya kuogofya ya Washington.

  • Sisitizo la Lavrov juu ya mchango wa Marekani katika kudhihiri al Baghdadi na Daesh

    Sisitizo la Lavrov juu ya mchango wa Marekani katika kudhihiri al Baghdadi na Daesh

    Nov 02, 2019 23:02

    Baada ya kuanza mgogoro wa Syria hapo mwaka 2011 na vita vilivyosababishwa na mgogoro huo, Marekani ilikuwa na nafasi muhimu na kuu katika kuundwa na kujitokeza makundi ya kigaidi nchini humo hususan kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh; suala ambalo Washington imefanya jitihada kubwa za klificha kwa kuanzisha kile ilichodai ni muungano wa kupambana na Daesh.

  • Trump aingilia masuala ya ndani ya Uingereza kwa 'kumponda' Corbyn kuwa hafai kuwa waziri mkuu

    Trump aingilia masuala ya ndani ya Uingereza kwa 'kumponda' Corbyn kuwa hafai kuwa waziri mkuu

    Nov 01, 2019 04:38

    Katika kile kinachoonekana kuwa ni uingiliaji wa masuala ya ndani ya Uingereza, Rais Donald Trump wa Marekani amesema, kiongozi wa chama kikuu cha upinzani cha Leba, Jeremy Corbyn si chaguo mbadala linalofaa kwa uwaziri mkuu wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS