-
Iran: Rais Rouhani hana mpango wowote wa kukutana na Trump
Sep 16, 2019 22:45Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepuuzilia mbali uwezekano wowote wa Rais Hassan Rouhani kukutana na Rais wa Marekani Donald Trump katika mkutano ujao wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York.
-
Jitihada za Trump za kudhibiti bei ya mafuta katika masoko ya kimataifa
Sep 16, 2019 04:55Mashambulizi yaliyofanywa na wanamapambano wa Yemen dhidi ya taasisi za mafuta za Saudi Arabia na kupelekea kupungua nusu ya uzalishaji wa mafuta wa nchi hiyo na kuvuruga masoko ya kimataifa, yamekabiliwa na msimamo wa kukurupuka wa serikali ya Washington.
-
Trump amuita Rais Sisi wa Misri kuwa dikteta
Sep 14, 2019 07:05Rais Donald Trump wa Marekani ameripotiwa kumtaja Rais Abdul Fattah al-Sisi kuwa dikteta.
-
Njama za utawala wa Trump za kuficha namna Saudi Arabia ilivyohusika katika matukio ya Septemba 11
Sep 14, 2019 02:56Baada ya matukio ya Septemba 11 mwaka 2001, Marekani ilijinadi kama mbeba bendera ya vita dhidi ya ugaidi duniani na kwa kisingizio hicho ikatekeleza mashambulizi kadhaa ya kijeshi kukiwemo kuzivamia Iraq na Afghanistan. Pamoja na hayo, sera za Marekani katika vita dhidi ya ugaidi zimekuwa na mgongano na undumakuwili mkubwa.
-
Radiamali zatolewa kufuatia kutimuliwa ghafla John Bolton katika ikulu ya White House
Sep 11, 2019 07:49Kitendo cha kupigwa kalamu nyekundu na Rais Donald Trump, John R. Bolton, Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Marekani, kimeendelea kuakisiwa kwa radiamali tofauti na viongozi wa Marekani.
-
Tetemeko ndani ya kambi ya Trump, Bolton atimuliwa serikalini
Sep 10, 2019 22:53Rais wa Marekani, Donald Trump amemtimua serikalini, mshauri wa usalama wa taifa wa White House, John Robert Bolton.
-
Trump afutilia mbali kikao cha siri na Taliban
Sep 09, 2019 01:33Katika kipindi cha kampeni za uchaguzi wa rais wa Marekani, Rais Donald Trump wa nchi hiyo aliahidi kuwaondoa askari wote wa Marekani wanaohudumu Afghanistan.
-
Sisitizo la Corbyn la kukabiliana na muungano wa Netanyahu na Trump dhidi ya JCPOA
Sep 07, 2019 01:50Tangu yalipofikiwa makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) mwaka 2015, Marekani na utawala wa Kizayuni zimekuwa zikisisitiza kila mara kuwa zinayapinga makubaliano hayo na kutaka yavunjwe. Na katika hatua iliyolenga kufikia lengo hilo, mwezi Mei 2018, Rais Donald Trump wa Marekani alitangza kujitoa nchi yake kwenye makubaliano hayo na kuanza kutekeleza vikwazo vikali ambavyo havijawahi kushuhudiwa dhidi ya Iran.
-
Kushindwa tena Johnson katika bunge la Uingereza na mustkabali usiojulikana wa Brexit
Sep 06, 2019 07:47Suala la kujitoa Uingereza katika Umoja wa Ulaya, Brexit, sasa limebadilika na kuwa maudhui muhimu zaidi katika siasa za ndani na nje za nchi hiyo.
-
Marekani yakosolewa kwa kukusudia kuangamiza mfumo wa usalama duniani
Sep 03, 2019 02:26Rais Donald Trump wa Marekani amevuruga na kuhatarisha sana usalama wa kimataifa kwa kuendeleza sera zake zenye utata za kukiuka kanuni na mikataba ya kimatafa, hasa ya kujiondoa katika mikataba ya kudhibiti silaha hatari duniani.