-
Uchunguzi mpya wa maoni: Wademokrati watambwaga Trump katika uchaguzi wa urais 2020
Sep 02, 2019 08:45Matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa nchini Marekani yanaonyesha kuwa rais wa nchi hiyo Donald Trump atabwagwa kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi wa urais wa mwaka 2020 na mgombea wa chama cha Democrat.
-
Umaarufu wa Trump wazidi kupungua kote Marekani
Aug 31, 2019 11:38Umaarufu wa Rais Donald Trump wa Marekani unazidi kupungua kwa kasi nchini humo huku uchaguzi mkuu wa 2020 ukikaribia. Kwa mujibu wa uchunguzi wa maoni uliofanyika hivi karibuni, umaarufu wa Trump umepungua miongoni mwa wanawake wa Marekani.
-
Sisitizo la Trump la kuendelea kuwepo askari wa Marekani nchini Afghanistan
Aug 31, 2019 02:08Miaka 18 iliyopita Marekani iliishambulia na kuivamia kijeshi Afghanistan na kisha ikaikalia kwa mabavu nchi hiyo kwa kisingizio cha kulipiza kisasi cha mashambulio ya Septemba 11, mwaka 2001 na pia kupambana na ugaidi nchini humo. Wakati rais wa sasa wa Marekani Donald Trump alipokuwa kwenye kampeni za uchaguzi wa urais mwaka 2016 na baada ya kuingia Ikulu ya White House aliahidi kwamba atawaondoa askari wa nchi hiyo walioko Syria na Afghanistan, hata hivyo hadi sasa amehalifu ahadi yake hiyo.
-
Baada ya kugonga mwamba, Trump adai anataka Iran iliyo nzuri na imara, si kubadilisha utawala
Aug 26, 2019 22:10Rais Ronald Trump wa Marekani amedai kuwa, anataka kuona Iran iliyo imara na wala hataki utawala uliopo uondoke.
-
Ukosoaji wa Mkuu wa Baraza Ulaya dhidi ya siasa za kuzusha mizozo za Rais Donald Trump
Aug 26, 2019 03:45Siasa na hatua za Rais Donald Trump wa Marekani katika nyanja mbalimbali hususan kuiondoa Washington katika mikataba na makubaliano ya kimataifa kama ya nyuklia ya JCPOA, mkataba wa mabadiliko ya tabianchi wa Paris Ufaransa na vilevile hatua yake ya kung'ang'ania kuwa na vita vya kibiashara na madola mengine makubwa kiuchumi duniani, ni mambo ambayo yamepelekea kuibuka mizozo mikubwa katika uga wa kimataifa.
-
Dehqan: Iran haitafanya mazungumzo yoyote na rais Trump wa Marekani
Aug 25, 2019 21:11Mshauri wa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Iran katika masuala ya sekta ya viwanda vya ulinzi amesema: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katu hataifanya mazungumzo na utawala wa sasa wa Marekani."
-
Mwito wa Uingereza wa kukomeshwa ukiritimba wa sarafu ya dola
Aug 25, 2019 21:08Msimamo wa Marekani wa kutumia vibaya sarafu ya dola katika masuala ya biashara na ya fedha kimataifa kwa lengo la kufanikishia malengo yake haramu, umewakasirisha hata waitifaki wa karibu mno wa Washington kama vile Uingereza ambayo sasa imetoa mwito wa kukomeshwa ukiritimba wa matumizi ya sarafu ya dola duniani.
-
Mazungumzo ya viongozi wa Ufaransa na Marekani kuhusu Iran na JCPOA
Aug 25, 2019 08:21Mivutano iliyopo baina ya Marekani na nchi za Ulaya zilizomo katika kundi la 4+1 kuhusiana na jinsi ya kuamiliana na Iran na kadhia nzima ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA bado ni moja ya mivutano mikubwa ya pande hizo mbili. Katika wiki za hivi karibuni, Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa alifanya mazungumzo mbalimbali na marais wa Iran na Marekani na kuja na mapendekezo ya kupunguza wasiwasi uliopo.
-
Tishio jingine la Donald Trump la kuwahamishia magaidi wa Daesh katika nchi za Ulaya
Aug 22, 2019 21:55Nafasi ya Marekani na washirika wake wa Magharibi na wa Kiarabu katika kuanzisha na kueneza harakati za makundi ya kigaidi na kitakfiri likiwemo la Daesh si ya kukanushika hata kidogo.
-
Trump: Myahudi anayewapigia kura Wademokrati ama hajui chochote au ni mtovu mkubwa wa uaminifu
Aug 22, 2019 07:41Wanasiasa, wanaharakati pamoja na Wamarekani wengine wanaendelea kutuma jumbe kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter wakieleza jinsi wanavyoona fahari na kujivunia kuasi na "kutokuwa waaminifu kwa Trump" baada ya rais huyo wa Marekani kusema kuwa, Myahudi yeyote anayewapigia kura Wademokrati anaonyesha "ama hajui chochote au ni mtovu mkubwa wa uaminifu".