-
Ripoti: Aghalabu ya Wamarekani wanataka Trump auzuliwe
Dec 29, 2018 04:42Utafiti wa maoni uliofanywa na shirika la Harvard CAPS kwa ushirikiano na taasisi ya utafiti ya Harris umeonesha kuwa akthari ya Wamarekani wanataka Rais Donald Trump wa nchi hiyo auziliwe au avuliwe madaraka.
-
Iran: Safari ya kinyemela ya Trump Iraq ni kuwakosea heshima Wairaq
Dec 28, 2018 21:37Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema safari ya siri na ya kushtukiza ya Rais Donald Trump wa Marekani nchini Iraq imekiuka misingi yote ya udiplomasia na ni kutoheshimu uhuru wa kujitawala nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Ayatullah Khatami: Safari ya siri ya Trump nchini Iraq ni ithibati ya kudhalilika Marekani katika eneo
Dec 28, 2018 12:39Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran, ameashiria safari ya kificho na ya kushtukiza ya Rais Donald Trump wa Marekani, akifuatana na mkewe Melania nchini Iraq na kusema kuwa, licha ya Marekani kutumia matrilioni ya dola katika eneo la Mashariki ya Kati, lakini rais wake amelazimika kufanya safari ya siri katika nchi moja ya eneo.
-
Mahmoud Abbas: Trump anapaswa aheshimu maazimio ya Umoja wa Mataifa
Dec 25, 2018 11:18Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameitaka serikali ya Marekani iheshimu maazimio ya Umoja wa Mataifa kuhusu Palestina.
-
Mamilionea wa Marekani wasema hawataunga mkono kampeni za Trump 2020
Dec 25, 2018 10:58Utafiti wa maoni uliofanywa na shirika la habari la CNBC unaonesha kuwa Rais Donald Trump wa Marekani anaendelea kupoteza uungaji mkono sio tu miongoni mwa wananchi, bali pia miongoni mwa wafanyabiashara matajiri waliomuunga mkono katika kampeni zake za uchaguzi uliopita mwaka 2016.
-
Shughuli za serikali ya Marekani Zaendelea kukwama, Trump hana Krismasi
Dec 24, 2018 01:08Sehemu kubwa ya shughuli za serikali ya Marekani zitaendelea kusitishwa kwa siku tano, kutokana na mkwamo kwenye ufadhili wa ujenzi wa ukuta wa kuzuia wahajiri katika mpaka wa Marekani na Mexico.
-
Wimbi la jumbe za "Trump Jiuzulu" lamiminika kwenye mtandao wa Twitter ndani ya Marekani
Dec 23, 2018 11:47Shakhsia wengi maarufu na wabunge wa Kongresi ya Marekani wamekuwa wakituma jumbe kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter kumtaka rais wa nchi hiyo Donald Trump ang'atuke madarakani.
-
"Mbwa Kichaa" ajiuzulu, sababu ni hitilafu kati yake na Donald Trump
Dec 21, 2018 01:10Waziri wa Ulinzi wa Marekani James Mattis maarufu kwa jina la "Mbwa Kichaa" amejiuzulu wadhifa huo kutokana na hitilafu za kimitazamo kati yake na Rais Donald Trump wa hiyo.
-
Ukosoaji mkali wa Papa Francis kwa mienendo ya madola ya Magharibi kuhusu wahajiri
Dec 20, 2018 23:07Tatizo la kilimwengu la wahajiri ni ukweli ambao umedhihirika wazi katika miaka ya hivi karibuni tena kwa namna ambayo haijawahi kushuhudiwa.
-
Uamuzi wa Trump wa kuondoka askari wa Marekani nchini Syria
Dec 20, 2018 07:06Baada ya kuanza mgogoro wa Syria mwaka 2011, Marekani kama kinara wa nchi za Magharibi ikishirikiana na Italia na Ufaransa katika jitihada za kutimiza malengo ya Magharibi na baadhi ya nchi za Kiarabu ya kutaka kuangamiza kambi ya mapambano Mashariki ya Kati na kuiondoa madarakani serikali halali ya Syria, ilijikita zaidi katika suala la kuyasaidia makundi ya kigaidi na waasi wanaobeba silaha kwa ajili ya eti kuiondoa madarakani serikali ya Rais Bashar Assad.