-
Gazeti la Austria: Hakuna tukio ambalo limeutikisa zaidi ulimwengu wakati huu kama vita vya Ghaza
Aug 04, 2025 10:03Gazeti la Standard linalochapishwa nchini Austria limeandika: vita vya Ghaza sio vita vya pekee au vya umwagaji mkubwa zaidi wa damu vinavyoendelea hivi sasa duniani, lakini hakuna tukio ambalo limeutikisa zaidi ulimwengu wakati huu kwa kiwango cha vita hivyo.
-
Amnesty International: Mauaji ya kimbari yanafanyika Gaza
Jul 28, 2025 02:42Agnes Calamard Mkuu wa Shirika la Amnsety International Jumamosi usiku alirusha puto la hewa moto katika anga ya Paris ambalo juu yake aliandika maneno yanayosomeka: "Mauaji ya kimbari yanaendelea huko Gaza. Sitisha mauaji hayo."
-
Mabadiliko ya tabianchi; vimbunga vya vumbi vimeathiri watu milioni 330 duniani
Jul 12, 2025 14:09Ripoti mpya ya Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) imebainisha kuwa, dhoruba za mchanga na vumbi zinaongoza kwa "vifo vya mapema" kutokana na mabadiliko ya tabianchi, ambapo zaidi ya watu milioni 330 katika nchi 150 wameathirika.
-
Kwa nini watu wengi duniani wana mtazamo hasi kuhusu Marekani?
Jul 10, 2025 02:49Kwa mujibu wa uchunguzi wa maoni uliochapishwa na Kituo cha Utafiti cha Pew, watu wa Canada na Mexico, majirani wawili wa karibu wa Marekani, wanaitambua nchi hiyo kuwa tishio kubwa zaidi kwao.
-
Papa: Inaungulisha nyoyo kuona sheria za kimataifa haziheshimiwi tena
Jun 28, 2025 08:41Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo amesema, inaungulisha nyoyo kuona sheria za kimataifa haziheshimiwi tena.
-
Mtaalamu: Mabadiliko ya tabianchi yanaweza kudhoofisha uchumi wa dunia katika siku zijazo
Apr 15, 2025 02:26Erhan Aslanoglu, Profesa katika Chuo Kikuu cha Bilgi mjini Istanbul, Uturuki ameeleza kuwa mabadiliko ya tabianchi yatababisha kuzorota kwa uchumi wa dunia katika siku zijazo, kuathiri uzalishaji n.k.
-
Intelijensia ya Russia: US na UK zinapanga mashambulio ya kigaidi dhidi ya vituo vyetu vilivyoko Syria
Dec 29, 2024 11:03Idara ya Intelijensia ya Russia ya Nje ya Nchi (SVR) imetahadharisha kuwa Marekani na Uingereza zinapanga mashambulizi ya kigaidi katika vituo ya kijeshi vya nchi hiyo vilivyoko Syria ili hali ya nchi hiyo isitangamae na amani na uthabiti usirejee nchini humo.
-
Mkuu wa Mashtaka wa ICC: Rufaa ya Israel ya kupinga hati ya kukamatwa Netanyahu itupiliwe mbali
Nov 30, 2024 06:03Karim Khan, Mkuu wa Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) amesema rufaa iliyokatwa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya hati za kukamatwa waziri mkuu wake Benjamin Netanyahu na aliyekuwa waziri wa vita Yoav Gallant inapasa zitupiliwe mbali.
-
Ripoti: US imetumia $ bilioni 22 kuisaidia kijeshi Israel tangu Oktoba 7, kiwango halisi ni zaidi
Oct 09, 2024 02:27Marekani imetumia zaidi ya dola bilioni 22 kwa ajili ya misaada ya kijeshi inayoupatia utawala wa Kizayuni wa Israel na kufadhili uvamizi na mashambulio yaliyofanywa na utawala huo haramu katika eneo hili kwa kipindi cha mwaka mmoja sasa.
-
Utafiti: Zaidi ya 50% jamii ya wanadamu hawana maji safi ya kunywa
Aug 17, 2024 04:23Utafiti mpya umefichua kuwa, takriban watu bilioni 4.4 duniani kote hawana maji safi na salama ya kunywa.