-
Maandamano ya kuiunga mkono Palestina yaendelea katika miji tofauti duniani
May 01, 2024 06:50Wananchi wa miji tofauti ya dunia kwa mara nyingine wameandamana kuwatetea wananchi madhulumu wa Palestina na kulaani jinai za utawala ghasibu wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Kaboni nyeusi; sio tu inachafua mazingira, lakini pia inasababisha ongezeko la joto duniani
Mar 28, 2024 06:58Kaboni nyeusi imetajwa kusababisha ongezeko la joto kwa wati zisizopungua 0.6 kwa kila mita mraba moja katika uso wa dunia. Haya yamebainishwa na Mhadhiri wa masuala ya uhandisi wa mazingira katika Chuo Kikuu cha Istanbul Uturuki.
-
Maandamano ya kuwaunga mkono Wapalestina yaendelea kushuhudiwa katika nchi mbalimbali
Mar 18, 2024 03:03Wananchi katika nchi mbalimbali kwa mara nyingine tena wamefanya maandamano na mikusanyiko mbalimbali katika kuwaunga mkono na kuonyesha mshikamano kwa raia madhulumu wa Palestina.
-
Kombe la Dunia U17; Ujerumani bingwa
Dec 03, 2023 10:59Kwa mara ya kwanza, Ujerumani imetwaa ubingwa wa Kombe la Dunia kwa vijana wa kiume wenye chini ya umri wa miaka 17.
-
Ukosoaji wa Russia kwa siasa za uadui za Marekani ulimwenguni
Oct 21, 2023 07:24Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Usalama la Kitaifa la Russia amekosoa vikali siasa za uhasama za Marekani ulimwenguni.
-
Russia: Dunia haiwezi tena kuvumilia sera za kutii amri za Marekani
Jul 25, 2023 07:08Katibu wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia amesema dunia ya sasa haivumilii tena sera za kufuata amri za Marekani na inaelekea kwenye mfumo wa kambi kadhaa, mchakato ambao haukubaliwi na nchi za Magharibi.
-
Putin:Sera za Magharibi zimesababisha ukosefu wa amani duniani
May 24, 2023 10:50Rais wa Russia ameeleza kuwa katika hali ambayo Wamagharibi wanalenga kuzidisha hali ya wasiwasi na ukosefu wa usalama duniani; nchi huru kuanzia Asia hadi Afrika zinapaswa kusaidia katika usanifu usiogawanyika wa usalama duniani.
-
Shakhsia zaidi ya 200 duniani wataka kukabiliana na ubaguzi katika ugavi wa chanjo ya corona
Mar 13, 2023 02:36Zaidi ya shakhsia 200 duniani wamewatolea wito viongozi wa dunia kuchukua hatua ili kukabiliana na ubaguzi katika ugavi wa chanjo za kujikinga na corona.
-
Papa akosoa idiolojia ya watu kubadilisha jinsia zao
Mar 12, 2023 09:49Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amekosoa vikali kampeni ya kuhamasisha watu kubadilisha jinsia zao, na kuitaja nadharia hiyo kama moja ya ukoloni hatari zaidi wa kiidiolojia uliopo duniani hivi sasa.
-
Indhari ya UN: Sehemu kadhaa za dunia zitashindwa kukaliwa na watu
Jan 16, 2023 03:09Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuhusu taathira za mabadiliko ya tabianchi kuwa, athari za ongezeko la joto duniani zitakuwa haribifu; ambapo maeneo kadhaa ya dunia yatashindwa kukaliwa na watu.