-
Rais Rouhani: Tunatumai uhusiano wetu na Ethiopia utaimarika zaidi
May 28, 2021 08:17Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema anatumai kuwa uhusiano wa pande mbili wa nchi hii na Ethiopia utaboreka na kuimarika zaidi.
-
Ethiopia yaahirisha tena uchaguzi kwa sababu za kiusalama, changamoto za vifaa
May 16, 2021 03:31Ethiopia imechelewesha tena uchaguzi wa kitaifa baada ya baadhi ya vyama vya upinzani kusema kuwa, vitasusia uchaguzi huo ambao pia hautafanyika katika eneo la Tigray kutokana na mzozo unaendelea katika eneo hilo.
-
Maafa makubwa ya kibinadamu yanalijongelea eneo la Tigray, Ethiopia
May 15, 2021 02:33Umoja wa Ulaya umelaani msimamo wa serikali ya Ethiopia wa kuendelea kufunga njia za kufikishwa misaada ya kibinadamu katika eneo lililoharibiwa na vita la Tigray, la kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Mkuu wa Kanisa la Orthodox Ethiopia: Serikali inaangamiza eneo la Tigray
May 08, 2021 21:43Kiongozi wa Kanisa la Orthodox nchini Ethiopia ameituhumu serikali ya Addis Ababa kuwa ina azma ya kuliangamiza eneo la Tigray lililoko kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Ethiopia yataka kusitishwa mazunguumzo ya pande tatu kuhusu Bwawa la al-Nahdha
May 05, 2021 21:57Serikali ya Ethiopia imetangaza kuwa, inapinga hati ya makubaliano inayohusiana na ugavi wa maji wa Mto Nile na kutoa wito wa kusitishwa mazungumzo ya pande tatu kuhusiana na kadhia ya Bwawa la al-Nahdha.
-
Ethiopia kuzitambua harakati za TPLF na OLF-Shene kuwa ni makundi ya "kigaidi"
May 02, 2021 08:30Serikali ya Ethiopia imeyajumuisha kwenye orodha yake ya makundi ya kigaidi makundi mawili yanayobeba silaha likiwemo la Harakati ya Ukombozi ya Watu wa Tigray (TPLF), ambayo mwaka uliopita iliiandama kwa operesheni kali za kijeshi.
-
Ethiopia: Misri na Sudan hazitaki mgogoro wa Bwawa la al-Nahdha utatuliwe
Apr 27, 2021 23:15Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Ethiopia amepuuza vitisho vya Misri na Sudan dhidi ya nchi hiyo na kusema kuwa, Cairo na Khartoum hazitaki kuona mzozo kuhusu Bwawa la al-Nahdha unapatiwa ufumbuzi na kumalizika.
-
Addis Ababa: Hakuna askari yeyote wa Ethiopia aliyekuwa mateka nchini Sudan
Apr 22, 2021 03:22Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Ethiopia amesema Sudan imeikabidhi nchi hiyo wakulima 59 na wanamgambo wawili wa kieneo.
-
Ethiopia: File na bwawa la Renaissance si kadhia ya kimataifa
Apr 16, 2021 07:36Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Ethiopia amepinga mpango wowote wa kulifanya suala la bwawa la Renaissance kuwa mgogoro wa kimataifa.
-
UN: Eritrea ikomeshe ukatili na mauaji Tigray
Apr 16, 2021 07:35Mratibu wa Masuala ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, askari wa Eritrea wanapaswa kukomesha ukatili na vitendo viovu katika eneo la Tigray nchini Ethiopia na kuondoka mara moja katika eneo hilo.