Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ethiopia

  • Jeshi la Ethiopia lateka na kuua akthari ya viongozi wa waasi wa Tigray

    Jeshi la Ethiopia lateka na kuua akthari ya viongozi wa waasi wa Tigray

    Dec 05, 2020 04:16

    Serikali ya Ethiopia imetangaza kuwa, imewakamata mateka na kuwaua akthari ya viongozi wa waasi wa Harakati ya Ukombozi wa Wananchi wa Tigray.

  • Ethiopia yaruhusu UN ifikikishe misaada Tigray bila vizingiti

    Ethiopia yaruhusu UN ifikikishe misaada Tigray bila vizingiti

    Dec 03, 2020 01:00

    Ethiopia imetoa idhini kwa Umoja wa Mataifa kupeleka misaada bila vizingiti katika jimbo la kaskazini la Tigray, kufuatia wiki kadhaa za kuishawishi ifanye hivyo wakati operesheni za kijeshi zikiendelea.

  • UNHCR yataka kukaguliwa kambi za wakimbizi zilizoko Ethiopia

    UNHCR yataka kukaguliwa kambi za wakimbizi zilizoko Ethiopia

    Dec 01, 2020 23:01

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR limewataka viongozi wa Ethiopia wafungue njia kuliwezesha shirika hilo kuzifikia kambi za wakimbizi wa Eritrea zilizoko katika eneo la Tigray.

  • Kiongozi wa TPLF huko Tigray, Ethiopia aapa kuendeleza mapigano

    Kiongozi wa TPLF huko Tigray, Ethiopia aapa kuendeleza mapigano

    Dec 01, 2020 09:18

    Kiongozi wa chama cha TPLF cha eneo la Tigray kaskazini mwa Ethiopia amesema askari wake wanaendelea kupambana na jeshi la serikali, siku mbili baada ya Waziri Mkuu Abiy Ahmed kutangaza ushindi katika eneo hilo.

  • Waziri Mkuu wa Ethiopia akadhibisha mauaji ya raia katika eneo la Tigray

    Waziri Mkuu wa Ethiopia akadhibisha mauaji ya raia katika eneo la Tigray

    Dec 01, 2020 00:57

    Akizungumza katika kikao cha bunge, Abiy Ahmed Waziri Mku wa Ethiopia amekadhibisha kujiri mauaji ya raia katika eneo la Tigray kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Ethiopia yawaeleza wajumbe wa AU: Hatutafanya mazungumzo yoyote na viongozi wa Tigray

    Ethiopia yawaeleza wajumbe wa AU: Hatutafanya mazungumzo yoyote na viongozi wa Tigray

    Nov 28, 2020 04:16

    Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amesisitiza kwa mara nyingine kuwa hatofanya mazungumzo na viongozi wa eneo lililoasi la Tigray.

  • Ethiopia: Baada ya siku chache, Tigray itakuwa imedhibitiwa kikamilifu

    Ethiopia: Baada ya siku chache, Tigray itakuwa imedhibitiwa kikamilifu

    Nov 27, 2020 08:59

    Waziri wa Ulinzi wa Ethiopia ametangaza kuwa vikosi vya jeshi la nchi hiyo vimeshajiandaa ili kuhakikisha baada ya siku chache tu linaudhibiti kikamilifu mji mkuu wa eneo la Tigray, Mekelle.

  • Kushadidi mgogoro wa Tigray sambamba na agizo la Waziri Mkuu wa Ethiopia la kushambuliwa makao makuu ya jimbo hilo

    Kushadidi mgogoro wa Tigray sambamba na agizo la Waziri Mkuu wa Ethiopia la kushambuliwa makao makuu ya jimbo hilo

    Nov 27, 2020 03:15

    Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed ametoa amri ya kushambuliwa makao makuu ya jimbo la Tigray, la kaskazini mwa nchi hiyo na hivyo kuufanya mgogoro huo kuchukua mkondo mpana zaidi.

  • Waziri Mkuu wa Ethiopia atoa amri ya kushambuliwa makao makuu ya Tigray

    Waziri Mkuu wa Ethiopia atoa amri ya kushambuliwa makao makuu ya Tigray

    Nov 26, 2020 08:12

    Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed ametoa amri ya kushambuliwa makao makuu ya jimbo la Tigray, la kasikazini mwa nchi hiyo.

  • Waziri Mkuu wa Ethiopia aitaka jamii ya kimataifa kujiweka mbali na mgogoro wa Tigray

    Waziri Mkuu wa Ethiopia aitaka jamii ya kimataifa kujiweka mbali na mgogoro wa Tigray

    Nov 25, 2020 08:48

    Waziri Mkuu wa Ethiopia ameitaka jamii ya kimataifa kujiweka mbali na mgogoro unaoendelea wa jimbo la Tigray lililoko kaskazini mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS