Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ethiopia

  • Waziri mkuu wa Ethiopia atoa wito wa utulivu baada ya ghasia mjini Addis Ababa

    Waziri mkuu wa Ethiopia atoa wito wa utulivu baada ya ghasia mjini Addis Ababa

    Sep 14, 2018 02:16

    Waziri mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed ametoa wito wa kurejeshwa utulivu baada ya kutokea ghasia mjini Addis Ababa kutokana na bendera yenye utata.

  • Eritrea na Ethiopia zafungua mpaka wa pamoja baada ya miaka 20

    Eritrea na Ethiopia zafungua mpaka wa pamoja baada ya miaka 20

    Sep 11, 2018 09:18

    Viongozi wa Ethiopia na Eritrea wamefungua mpaka wao wa pamoja kwa mara ya kwanza baada ya kupita miongo miwili; hatua ambayo inatazamiwa kufungua mlango wa kuimarika uhusiano wa kibiashara wa majirani hao wa Pemba ya Afrika.

  • Kamisheni ya Umoja wa Afrika yaunga mkono juhudi za kutatua hitilafu za Eritrea-Ethiopia

    Kamisheni ya Umoja wa Afrika yaunga mkono juhudi za kutatua hitilafu za Eritrea-Ethiopia

    Sep 09, 2018 23:41

    Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika amepongeza juhudi zilizofanyika kwa ajili ya kuondoa hitilafu baina ya nchi mbili za Ethiopia na Eritrea.

  • Meli ya kibiashara ya Ethiopia imetia nanga Eritrea kwa mara ya kwanza

    Meli ya kibiashara ya Ethiopia imetia nanga Eritrea kwa mara ya kwanza

    Sep 05, 2018 09:25

    Meli ya kibiashara ya Ethiopia kwa mara ya kwanza leo imetia nanga nchini Eritrea baada ya kupita miaka 20. Hatua hiyo imejiri kufuatia kusainiwa makubaliano ya kumaliza uhasama kati ya nchi mbili hizo jirani na mahasimu wa zamani.

  • Benki ya Dunia yaipatia mkopo wa dola bilioni moja Ethiopia ili kuendeleza mageuzi

    Benki ya Dunia yaipatia mkopo wa dola bilioni moja Ethiopia ili kuendeleza mageuzi

    Aug 27, 2018 10:20

    Waziri Mkuu wa Ethiopia amesema kuwa, Benki ya Dunia imeipatia nchi hiyo mkopo wa dola bilioni moja ili kusaidia juhudi za nchi yake za kufanya mageuzi ya kiuchumi na kisiasa.

  • Ethiopia yafanya juhudi za kuachiwa huru tajiri wa nchi hiyo aliyetiwa mbaroni Saudia

    Ethiopia yafanya juhudi za kuachiwa huru tajiri wa nchi hiyo aliyetiwa mbaroni Saudia

    Aug 26, 2018 03:21

    Waziri Mkuu wa Ethiopia amesisitiza kuwa nchi hiyo inaendelea kufanya juhudi za kuhakikisha kuwa mfanyabishara aliyekamatwa nchini Saudi Arabia anaachiwa huru.

  • Watu wasiopungua 40 wauawa mashariki mwa Ethiopia

    Watu wasiopungua 40 wauawa mashariki mwa Ethiopia

    Aug 14, 2018 03:51

    Wanamgambo wenye silaha wameua watu wasiopungua 40 mashariki mwa Ethiopia mwishoni mwa wiki katika wimbi la machafuko yaliyochochewa na migawanyiko ya kikabila.

  • Ethiopia kukumbatia demokrasia ya vyama vingi

    Ethiopia kukumbatia demokrasia ya vyama vingi

    Jul 22, 2018 23:33

    Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amesema wakati umefika kwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika iruhusu demokrasia ya vyama vingi ambayo msingi wake ni taasisi thabiti zinazoheshimu haki za binadamu na utawala wa sheria.

  • Ethiopia yatoa msamaha kwa wafungwa wa kisiasa

    Ethiopia yatoa msamaha kwa wafungwa wa kisiasa

    Jul 20, 2018 20:49

    Ethiopia imepitisha sheria ambayo inatoa msamaha kwa wafungwa wa kisiasa ambao wameachiliwa hivi karibuni na kwa msingi huo kufuta sera ya miongo kadhaa ya ukandamizaji dhidi ya wapinzani.

  • Eritrea yaondoa wanajeshi wake katika mpaka na Ethiopia

    Eritrea yaondoa wanajeshi wake katika mpaka na Ethiopia

    Jul 19, 2018 11:02

    Serikali ya Eritrea imewaondoa wanajeshi wake katika mpaka wake na Ethiopia uliokuwa ukilindwa vikali.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS