-
Ndege ya wasafiri ya Ethiopia yatua Eritrea baada ya miaka 20
Jul 18, 2018 08:38Ndege ya kwanza ya kawaida ya wasafiri kutoka Ethiopia imetua katika mji mkuu wa Eritrea, Asmara, leo kwa mara ya kwanza baada ya miaka 20.
-
Eritrea yafungua tena ubalozi wake nchini Ethiopia
Jul 16, 2018 08:58Eritrea imefungua tena ubalozi wake nchini Ethiopia baada ya nchi hizo mbili jirani kumaliza uhasama wa miongoni miwili kuhusu mpaka.
-
Shirika la Msalaba Mwekunduu latahadharisha kuhusu mgogoro wa wakimbizi Ethiopia
Jul 14, 2018 23:16Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu limetahadharisha kuhusiana na mgogoro wa wakimbizi nchini Ethiopia kufuatia machafuko ya hivi karibuni kusini mwa nchi hiyo.
-
Ethiopia: Imarati, Marekani hazikuwa na nafasi katika makubaliano ya amani na Eritrea
Jul 13, 2018 11:19Ethiopia imekanusha madai kwamba Imarati imekuwa na nafasi katika makubaliano ya amani iliyofikia na nchi jirani ya Eritrea.
-
Rais wa Eritrea kuitembelea Ethiopia kesho Jumamosi
Jul 13, 2018 03:21Rais wa Eritrea Isaias Afwerki anatazamiwa kuelekea nchini Ethiopia kesho Jumamosi, siku chache baada ya kukutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Ethiopia mjini Asmara.
-
Ethiopia: Kufunguliwa tena barabara zinazoelekea katika bahari Nyekundu ni kipaumbele
Jul 12, 2018 03:05Ethiopia imesema kuwa inataka kulipa kipaumbele suala la kuzifungua tena barabara mbili zinazoiunganisha nchi hiyo na bandari mbili za Eritrea zilizopo katika bahari Nyekundu kufuatia kufikiwa mapatano baina ya nchi mbili hizo.
-
Ethiopia kuharakisha utekekezaji mapatano na Eritrea
Jul 10, 2018 09:21Waziri Mkuu wa Ethiopia leo amesema serikali yake inalenga kutekeleza haraka mapatano yaliyofikiwa na nchi jirani ya Eritrea ili kujaza pengo la fursa zilizopotea katika miongo miwili ya uhasama baina ya nchi hizo mbili jirani.
-
IGAD yapongeza kuhuishwa uhusiano wa kidiplomasia kati ya Ethiopia na Eritrea
Jul 10, 2018 02:30Jumuiya ya Kiserikali ya Maendeleo Mashariki mwa Afrika IGAD imepongeza hatua ya nchi mbili jirani za Ethiopia na Eritrea kukubaliana kurejesha tena uhusiano wao kidiplomasia na kufungua ofisi za kibalozi katika miji mikuu ya nchi hizo, baada ya majirani hao kuhasimiana kwa karibu miongo miwili.
-
Ethiopia na Eritrea zakubaliana kurejesha uhusiano wa kidiplomasia
Jul 09, 2018 00:17Nchi mbili jirani za Ethiopia na Eritrea zimekubaliana kurejesha tena uhusiano wa kidiplomasia baina ya pande hizo mbili na kufungua ofisi za kibalozi katika miji mikuu ya nchi hizo.
-
Mkutano wa Kihistoraia wa viongozi wa Ethiopia na Eritrea
Jul 08, 2018 09:06Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed Ali leo amewasili katika mji mkuu wa nchi jirani ya Eritrea, Asmara na kulakiwa kwa taadhima kubwa na rais wa nchi hiyo Isaias Afwerki katika uwanja wa ndege.