-
Ethiopia yayaondoa makundi 3 ya kisiasa katika orodha ya 'magaidi'
Jul 05, 2018 09:19Serikali ya Ethiopia imeyaondoa makundi matatu ya upinzani katika orodha ya 'makundi ya kigaidi', huo ukiwa ni muendelezo wa hatua za mageuzi zinazochukuliwa na Waziri Mkuu wa sasa, Abiy Ahmed.
-
Machafuko kusini mwa Ethiopia yapelekea watu zaidi ya laki nane kuyahama makazi yao
Jul 04, 2018 22:10Machafuko yaliyolikumba eneo la kusini mwa Ethiopia tangu mwezi Juni mwaka huu yamewalazimisha watu zaidi ya laki nane kuyahama makazi yao huku raia hao hivi sasa wakihitaji chakula na misaada mingine.
-
Watu 10 wauawa katika mapigano ya kikabila magharibi mwa Ethiopia
Jun 29, 2018 03:06Watu wasiopungua kumi wameuawa katika mapigano ya kikabila yaliyotokea magharibi mwa Ethiopia.
-
UN Yapongeza Ziara ya Kihistoria ya Ujumbe wa Eritrea nchini Ethiopia
Jun 29, 2018 00:00Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amepongeza ziara iliyofanywa na ujumbe wa ngazi wa juu wa Eritrea nchini Ethiopia, ikiwa ni hatua ya kwanza inayolenga kuurejesha uhusiano kati ya nchi hizo mbili uwe wa kawaida.
-
Waziri Mkuu wa Ethiopia anusurika kifo katika hujuma ya mlipuko wa bomu
Jun 23, 2018 09:32Mripuko wa bomu umetokea katikati ya wafuasi wa Waziri Mkuu wa Ethiopia mjini Addis Ababa na ambao ulikuwa umemkusudia kiongozi huyo na kusababisha watu kadhaa kuuawa na wengine kujeruhiwa.
-
Genge la waasi nchini Ethiopia lasimamisha operesheni zake
Jun 22, 2018 23:39Kundi la waasi la Patriotic Ginbot7 (PG7) la Ethiopia limetangaza uamuzi wa upande mmoja wa kusimamisha kwa muda usiojulikana operesheni zake zote za utumiaji silaha katika maeneo yote ya nchi.
-
Waziri Mkuu wa Ethiopia kutembelea eneo lenye misukosuko la kusini
Jun 17, 2018 02:46Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed anatarajiwa kutembelea mji wa Hawassa ambao umekuwa na vurugu zilizotokana na tofauti zilizojitokeza baina ya makabila mawili maarufu ya jimbo la kusini mwa Ethiopia.
-
Watu 10 wafariki dunia katika mapigano ya kikabila kusini mwa Ethiopia
Jun 16, 2018 11:27Mkuu wa Ofisi ya Mawasiliano wa Jimbo la 'Eneo la Mataifa ya Kusini' kusini mwa Ethiopia ametangaza habari ya kuuawa watu 10 na wengine kadhaa kujeruhiwa katika mapigano ya kikabila.
-
Ethiopia kuwasamehe mamia ya watu waliohukumiwa kwa makosa ya ugaidi
Jun 15, 2018 23:34Serikali ya Ethiopia imesema kuwa itawafutia mashtaka zaidi ya wafungwa 304 wakiwemo 289 wanaotumikia vifungo vya makosa ya ugaidi.
-
Riek Machar akubali kukutana ana kwa ana na Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini
Jun 14, 2018 03:31Kiongozi wa waasi wa Sudan Kusini Riek Machar amekubali kukutana ana kwa ana na Rais Salva Kiir wa nchi hiyo changa zaidi barani Afrika, wiki ijayo nchini Ethiopia.