-
Vinara wawili wa waasi Ethiopia warudi nyumbani baada ya mazungumzo na serikali
Jun 12, 2018 22:11Viongozi wawili wa kundi la waasi wa Ethiopia wamerudi nyumbani baada ya kufanya mazungumzo na waziri mkuu wa nchi hiyo Abiy Ahmed Ali..
-
Ethiopia yakanusha madai ya kuhamishia ubalozi wake Quds Tukufu
Jun 12, 2018 09:28Serikali ya Ethiopia imekadhibisha vikali madai kuwa inapanga kuuhamishia ubalozi wake mjini Quds, kutoka Tel Aviv.
-
Shambulizi la guruneti lajeruhi 9 katika Chuo Kikuu Ethiopia
Jun 11, 2018 02:40Watu tisa wamejeuhiwa katika shambulizi la guruneti dhidi ya Chuo Kikuu kimoja kusini mwa Ethiopia.
-
Ethiopia yaafiki kutekeleza makubaliano ya suluhu na Eritrea
Jun 06, 2018 22:49Serikali ya Ethiopia imeafiki kutekeleza makubaliano ya suluhu yaliyofikiwa baina yake na Eritrea kwa lengo la kuhitimisha vita na mapigano ya mpakani kati ya nchi mbili.
-
Ethiopia yakubali makubaliano ya amani na hasimu wa muda mrefu, Eritrea
Jun 06, 2018 02:48Ethiopia imetangaza kuwa itakubali masharti ya makubaliano ya amani na Eritrea ya mwaka 2000, katika hatua inayonuia kupunguza taharuki na msuguano wa miongo kadhaa na jirani yake huyo.
-
Maparomoko ya ardhi yaua watu 23 Ethiopia, mvua kubwa zaendelea
May 28, 2018 03:01Watu 23 wamefariki dunia na wengine sita wamejeruhiwa kutokana na maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na mvua kubwa katikati ya Ethiopia.
-
Ethiopia yatoa msamaha kwa kiongozi wa upinzani aliyehukumiwa kifo
May 26, 2018 10:56Serikali ya Ethiopia leo imetoa msamaha kwa kiongozi wa upinzani wa nchi hiyo mwenye uraia wa Uingereza ambaye alikuwa amehukumiwa adhabu ya kifo, ikiwa ni hatua mpya ya mlolongo wa utoaji msamaha na kuwaachia huru wapinzani iliyochukuliwa na serikali hiyo baada ya miaka kadhaa ya machafuko yaliyoshuhudiwa nchini humo.
-
Ethiopia yamwita nyumbani balozi wake mdogo kutoka Saudia
May 24, 2018 02:55Vyombo vya habari vya nchi za Kiarabu vimetangaza kuwa, baada ya Ethiopia kumwita nyumbani balozi wake kutoka Riyadh, mji mkuu wa Saudi Arabia, imemwita nyumbani pia balozi wake mdogo aliyekuweko mjini Jeddah.
-
Raia karibu 700 wa Ethiopia waliokuwa wamefungwa Saudia warejeshwa kwao
May 21, 2018 03:22Wizara ya Mambo ya Nje ya Ethiopia imesema kuwa, karibu raia 700 wa nchi hiyo waliokuwa wamefungwa nchini Saudi Arabia, wamerejea nyumbani.
-
Saudia kuwatimua wahajiri laki tano raia wa Ethiopia
May 20, 2018 02:59Saudi Arabia imekubali ombi la Ethiopia la kuwaachia huru wahajiri wapatao elfu moja raia wa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika, lakini imesisitiza kuwa itawafukuza nchini humo malaki ya wahajiri wengine wa nchi hiyo ya Kiafrika.