-
Ripoti yafichua: Marekani imetumia zaidi ya dola bilioni moja kuwanunulia silaha magaidi nchini Syria
Sep 14, 2017 03:55Kituo kimoja cha utafiti katika eneo la Balkan kimefichua kwamba Marekani imechukua hatua kadhaa kwa ajili ya kuwazatiti kwa silaha magaidi nchini Syria.
-
Mali yathibitisha kutiwa mbaroni gaidi wa harakati ya Macina
Jul 24, 2017 03:55Wanajeshi wa Mali na Ufaransa wamemtia mbaroni mshirika wa karibu wa mhubiri wa huko Mali ambaye kundi lake lenye misimamo mikali limedai kuhusika na makumi ya mashambulizi dhidi ya maslahi ya magharibi na Mali. Hayo yameelezwa na Waziri wa Usalama wa Mali.
-
Israel kujenga hospitali itakayotoa matibabu kwa magaidi wa Syria
Jul 20, 2017 13:45Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umekusudia kujenga hospitali katika miinuko ya Golan inayokaliwa kwa mabavu na utawala huo nchini Syria, ambayo itakuwa na jukumu la kutoa matibabu kwa magaidi wanaopigana dhidi ya serikali ya Syria, ikiwa ni katika mwendelezo wa misaada ya utawala huo kwa magaidi hao.
-
Brigedia Jenerali Ashtari: Lengo kuu la magaidi ni kuingia Iran
Jul 13, 2017 15:10Kamanda wa polisi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, lengo kuu la magaidi ni kuingia Iran kupitia njia mbalimbali na kwamba polisi humu nchini wanapaswa kuwa tayari kukabiliana na magaidi kwa kupokea taarifa za kiitelijensia katika maeneo ya mipakani.
-
Algeria: Waafrika elfu tano wamejiunga na makundi ya kigaidi
Jul 04, 2017 12:43Rais wa Algeria ametahadharisha kuhusu hatari ya vijana elfu tano wa Afrika waliojiunga na mkundi ya kigaidi.
-
Shambulio la kigaidi lawalenga Waislamu wa Uingereza waliokuwa wanatoka msikitini; mmoja auawa na 10 wajeruhiwa
Jun 19, 2017 08:03Kwa akali mtu mmoja ameuawa na wengine 10 wamejeruhiwa katika shambulio la kigaidi lililowalenga Waislamu waliokuwa wanatoka msikitini usiku wa kuamkia leo katika eneo la Bustani ya Finsbury kaskazini mwa mji mkuu wa Uingereza, London.
-
Mawahabi ndio waliofanya mashambulio ya kigaidi mjini Tehran, Iran
Jun 08, 2017 15:36Wizara ya Usalama wa Taifa ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema kuwa, magaidi waliofanya mashambulizi jana Jumatano hapa Tehran wametambuliwa. Imesema, magaidi hao walikuwa na uhusiano wa moja kwa moja na magenge ya Kiwahabi nje ya Iran.
-
Mamia ya raia wa Algeria wajiunga na magenge ya kigaidi nchini Yemen
Jun 01, 2017 03:20Mtandao mmoja wa habari wa Algeria umetangaza kuwa, mamia ya vijana wa Algeria wamejiunga na magenge ya kigaidi yanayofanya mauaji nchini Yemen.
-
Ufilipino: Miripuko ya mjini Manila, ilimlenga imamu wa Kishia
May 08, 2017 04:04Kamanda wa polisi nchini Ufilipino amesema kuwa, miripuko miwili iliyotokea mjini Manila, mji mkuu wa nchi hiyo na kusababisha vifo vya watu wawili, ilikuwa imemlenga imamu wa jamaa wa Kishia mjini hapo.
-
Waziri wa Mambo ya Ndani Tunisia: Magaidi 3000 wa Kitunisia wako nje ya nchi
Apr 22, 2017 07:06Waziri wa Mambo ya Ndani wa Tunisia amesema kuwa, magaidi 3000 za Kitunisia wako katika nchi za Syria, Libya na maeneo mengine duniani.