-
Waandishi habari 170 walijeruhiwa katika vita ya Israel dhidi ya Gaza
May 22, 2021 22:20Mwenyekiiti wa Jumuiya ya Waandiihi Habari huko Palestina amesema kuwa waandishi wa habari wanaokaribia 170 walijeruhiwa katika mashambulizi ya karibuni ya Israel na kwamba jumuiya hiyo itawasilisha mashtaka katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kuhusiana na suala hilo.
-
Palestina kuushitaki utawala wa Kizayuni katika mahakama ya ICC
May 21, 2021 07:44Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani wa Palestina amesema kuwa, mamlaka hiyo itaishitaki Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC, kwa jinai zake za kuua watoto wadogo na wanawake wa Wapalestina wasio na hatia.
-
Hatimaye vita vyasitishwa Gaza baada ya Israel kukubali mpango wa kusitisha vita
May 20, 2021 23:24Baada ya siku 11 za hujuma na mashambulio ya kijeshi ya utawala vamizi wa Kizayuni wa Israel hatimaye utawala huo umeafiki mpango wa kusitisha vita.
-
Shambulio la kinyama la Israel laua mume mlemavu, mke mjamzito na binti wa miaka mitatu
May 20, 2021 23:06Shambulio la kinyama lililofanywa na ndege za kivita za utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kwa kulenga nyumba ya familia moja katika Ukanda wa Gaza, limewaua shahidi mume mtu ambaye ni mlemavu, mke wake mjamzito na mtoto wako wa kike mwenye umri wa miaka mitatu.
-
Utawala wa Kizayuni wabomoa kikamilifu misikiti mitatu Gaza
May 19, 2021 06:53Utawala wa Kizayuni wa Israel mbali na kufanya mauaji dhidi ya Wapalestina katika hujuma na mashambulio yake ya kinyama yanayoendelea, umebomoa kikamilifu misikiti mitatu katika Ukanda wa Gaza.
-
Wanamapambano wa Palestina waendelea kujibu jinai za Wazayuni kwa siku ya nane
May 17, 2021 09:06Makundi ya muqawama ya Palestina leo Jumatatu yameendelea kujibu jinai za utawala wa Kizayuni kwa kuyatwangwa kwa makombora na maroketi maeneo mbalimbali ya walowezi wa Kizayuni kama vile al Asqakalan (Ashkelon) na kambi ya kijeshi ya Wazayuni ya Kissufim.
-
Badala ya kulaani jinai za Israel; Imarati ndio kwanza yatoa vitisho kwa Wapalestina
May 16, 2021 07:27Huku jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel zikizidi kuwa kubwa dhidi ya wananchi wasio na ulinzi wa Palestina hasa wa Ukanda wa Ghaza, chombo kimoja cha habari cha utawala wa Kizayuni kimefichua kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) umeonesha uungaji mkono wake kwa jinai hizo za Wazayuni kupitia kutoa vitisho vipya dhidi ya Wapalestina.
-
UN yashindwa tena kulaani jinai za Israel huko Gaza, yatosheka kwa kueleza masikitiko
May 16, 2021 02:13Sambamba na mashambulizi makali na ya kinyama yanayoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya makazi ya raia wa Ukanda wa Gaza, na mauaji ya raia katika eneo hilo, Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena umeshindwa kuchukua hatua ya maana ya kusimamisha mashambulizi hayo au hata kulaani kwa maneno hujuma na ukatili huo wa Israel.
-
UN yakiri ukatili wa Israel umewawekea katika hali mbaya wananchi wa Ghaza Palestina
May 15, 2021 02:58Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameelezea kusikitishwa na jinai za utawala wa Kizayuni zilizopelekea kupatikana kwa shida maji ya kunywa kutokana na kukatika umeme kwa muda mrefu.
-
Hania awataka Waislamu, watu huru duniani kutetea Msikiti wa al Aqsa
May 14, 2021 04:28Mkuu wa Idara ya Siasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) ameutaka Umma wa Kiislamu na Kiarabu kufanya maandamano na mikutano ya kutetea na kuunga mkono Msikiti wa al Aqsa na watu wa Palestina.