Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ghaza

  • Hamas: Baadhi ya nchi za Kiarabu zinaichochea Israel iishambulie Gaza

    Hamas: Baadhi ya nchi za Kiarabu zinaichochea Israel iishambulie Gaza

    Sep 30, 2018 23:09

    Mwanachama wa ngazi ya juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ametahadharisha kuwa baadhi ya nchi za Kiarabu zinaushawishi utawala wa Kizayuni utekeleze mashambulizi huko Ghaza.

  • Jeshi la Israel laendeleza ukatili wake, laua Wapalestina 7 Gaza

    Jeshi la Israel laendeleza ukatili wake, laua Wapalestina 7 Gaza

    Sep 29, 2018 04:43

    Kwa akali Wapalestina saba wameuawa shahidi huku wengine zaidi ya 500 wakijeruhiwa baada ya jeshi la Israel kuwamiminia risasi na kuvurumishia mabomu ya kutoa machozi waandamanaji wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza.

  • UN: Ghaza inakaribia kusambaratika kikamilifu, Israel inaendelea kukaidi maamuzi ya kimataifa

    UN: Ghaza inakaribia kusambaratika kikamilifu, Israel inaendelea kukaidi maamuzi ya kimataifa

    Sep 21, 2018 09:36

    Mratibu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Mashariki ya Kati amekiambia kikao cha Baraza la Usalama la umoja huo kwamba eneo la Ukanda wa Ghaza huko Palestina linakaribia kusambaratika kikamilifu.

  • Wapalestina 2 wauawa shahidi kwa kombora la Israel, Gaza

    Wapalestina 2 wauawa shahidi kwa kombora la Israel, Gaza

    Sep 18, 2018 02:40

    Katika kile kinachoonekana ni mwendelezo wa ukatili na jinai, jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limefyatua kombora kuelekea katika uzio wa Gaza na kuua shahidi Wapalestina wawili na kujeruhi wengine kadhaa.

  • UN yaelezea kusikitishwa na hali mbaya ya Ukanda wa Ghaza

    UN yaelezea kusikitishwa na hali mbaya ya Ukanda wa Ghaza

    Sep 16, 2018 21:52

    Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na masuala ya maendeleo na biashara ametoa ripoti maalumu kuhusu maafa ya kibinadamu ya Ukanda wa Ghaza na kuongezeka kupindukia idadi ya Wapalestina wasio na kazi akisema kuwa hali hiyo inasikitisha sana.

  • Jitihada za Hamas za kuhitimisha mzingiro Ukanda wa Ghaza

    Jitihada za Hamas za kuhitimisha mzingiro Ukanda wa Ghaza

    Sep 16, 2018 03:03

    Afisa anayehusika na masuala ya uhusiano wa kimataifa wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa harakati hiyo inafanya jitihada maalumu ili kuhitimisha mzingiro na kuifanya tulivu hali ya mambo huko Ghaza na kwamba hakuna upande unaoweza kupinga au kukabiliana na mchakato huo.

  • UNCTAD: Wapalestina Ghaza wanakabiliwa na hali mbaya kutokana na mzingiro wa Israel

    UNCTAD: Wapalestina Ghaza wanakabiliwa na hali mbaya kutokana na mzingiro wa Israel

    Sep 14, 2018 02:23

    Ukanda wa Ghaza umegeuka kuwa janga la kibinadamu lililogubikwa na madhila na utegemezi wa misaada kila uchao kutokana na mzingiro wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya ardhi hiyo ya Palestina.

  • Wazayuni wachochea vita zaidi dhidi ya Wapalestina

    Wazayuni wachochea vita zaidi dhidi ya Wapalestina

    Aug 09, 2018 23:20

    Licha ya kuweko onyo la kimataifa kwa utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu jinai zake dhidi ya Wapalestina, baraza la mawaziri la utawala huo dhalimu jana usiku liliitisha kikao maalumu na kutaka mashambulizi dhidi ya wananchi wa Ghaza yaendelee.

  • HAMAS: Hatuko tayari kulipa gharama yoyote ya kisiasa ili kuondolewa mzingiro dhidi ya Gaza

    HAMAS: Hatuko tayari kulipa gharama yoyote ya kisiasa ili kuondolewa mzingiro dhidi ya Gaza

    Aug 09, 2018 03:28

    Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza kuwa, harakati hiyo haiko tayari kulipa gharama yoyote ile ya kisiasa mkabala na kuondolewa mzingiro wa utawala ghasibu wa Israel wa zaidi ya miaka 12 dhidi ya Ukanda wa wa Gaza.

  • Israel yaizuia boti ya pili ya shehena ya misaada iliyokuwa ikielekea Gaza

    Israel yaizuia boti ya pili ya shehena ya misaada iliyokuwa ikielekea Gaza

    Aug 04, 2018 10:46

    Askari wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wameizuia boti ya pili iliyokuwa imebeba shehena ya misaada ya kibinadamu kwa ajili ya Wapalestina wa eneo la Ukanda wa Gaza lililozingirwa na utawala huo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS