Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ghaza

  • Vita vya fueli vya Israel dhidi ya Gaza katikati ya msimu wa joto kali

    Vita vya fueli vya Israel dhidi ya Gaza katikati ya msimu wa joto kali

    Aug 03, 2018 02:33

    Avigdor Lieberman, Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel ameliamuru jeshi la utawala huo lizuie kupelekwa fueli eneo la Ukanda wa Gaza.

  • Mwakilishi wa Kudumu wa Sweden UN: Hali ya mambo Ukanda wa Ghaza ni hatari

    Mwakilishi wa Kudumu wa Sweden UN: Hali ya mambo Ukanda wa Ghaza ni hatari

    Jul 31, 2018 23:40

    Mwakilishi wa Kudumu wa Sweden katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa hali ya mambo katika eneo la Ukanda wa Ghaza ni ya hatari.

  • Wanaharakati wa meli ya kuvunja mzingiro wa Ghaza waendelea kushikiliwa na Israel

    Wanaharakati wa meli ya kuvunja mzingiro wa Ghaza waendelea kushikiliwa na Israel

    Jul 31, 2018 03:39

    Kamati ya Kimataifa ya kuvunja mzingiro wa Ghaza imetangaza kuwa wanaharakati 20 wa kimataifa waliopo katika meli ya "Kurejea" ambayo Ijumaa iliyopita ilielekea Ukanda wa Ghaza kwa lengo la kuondoa mzingiro wa baharini katika eneo hilo wanaendelea kushikiliwa na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Gaza na vita vingine vya majira ya joto kali?

    Gaza na vita vingine vya majira ya joto kali?

    Jul 27, 2018 22:13

    Harakati za kichokozi za hivi karibuni za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza ambazo zimekabiliwa na utayarifu mkubwa wa wapiganaji wa Batalioni ya Izzuddin Qassam, zimezidisha uwezekano wa kuanza vita vingine katika eneo hilo la Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Jeshi la Israel lashambulia Gaza, Wapalestina 3 wauawa shahidi

    Jeshi la Israel lashambulia Gaza, Wapalestina 3 wauawa shahidi

    Jul 26, 2018 02:43

    Kwa akali Wapalestina watatu wameuawa shahidi katika wimbi jipya la mashambulizi ya angani na nchi kavu ya jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya makazi ya raia katika Ukanda wa Gaza.

  • UN yaitaka Israel isitishe uchokozi wake Ghaza

    UN yaitaka Israel isitishe uchokozi wake Ghaza

    Jul 22, 2018 03:10

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameutaka utawala haramu wa Israel usitishe uchokozi wake katika Ukanda wa Ghaza.

  • Hamas yaionya vikali Israel juu ya mzingiro wa Gaza

    Hamas yaionya vikali Israel juu ya mzingiro wa Gaza

    Jul 17, 2018 02:47

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imeuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel, kutokana na hatua yake ya kuzidisha mzingiro katika Ukanda wa Gaza.

  • Umoja wa Mataifa wataka kuhitimishwa mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza

    Umoja wa Mataifa wataka kuhitimishwa mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza

    Jul 16, 2018 03:11

    Mratibu Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Mashariki ya Kati ametoa wito wa kuhitimishwa mzingiro wa utawala ghasibu wa Israel dhidi ya eneo la Ukanda wa Gaza huko Palestina.

  • Msemaji wa shirika la UNRWA: Ghaza imekuwa jela kubwa

    Msemaji wa shirika la UNRWA: Ghaza imekuwa jela kubwa

    Jul 15, 2018 09:15

    Msemaji wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina la Umoja wa Mataifa (UNRWA) amesema kuwa eneo la Ukanda wa Ghaza limegeuka na kuwa jela kubwa isiyo na uthabiti na kwamba wakazi wa eneo hilo hawana cha kupoteza.

  • Israel yawadondoshea mabomu Wapalestina wa Gaza

    Israel yawadondoshea mabomu Wapalestina wa Gaza

    Jul 14, 2018 03:24

    Kwa mara nyingine tena ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel zimewadondoshea mabomu Wapalestina kusini mwa Ukanda wa Gaza.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS