-
Rais wa Tunisia: Msingi wa mirathi katika Uislamu ni uadilifu na insafu
Aug 17, 2020 07:38Rais Kais Saied wa Tunisia ameamsha hasira za jumuiya za wanawake za kiliberali baada ya kusisitiza kwamba msingi wa mirathi katika dini ya Uislamu ni uadilifu na insafu na kwamba suala hilo limeshapewa ufumbuzi katika aya za Qu'ani tukufu ambao hauhitajii tena tafsiri wala taawili.
-
Iran: Mashirika ya haki za binadamu duniani yasifumbie macho mauaji ya Mmarekani mweusi, George Floyd
May 31, 2020 11:56Katibu wa Baraza Kuu la Haki za Binadamu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mashirika ya kutetea haki za binadamu duniani yanapaswa kupaza sauti zao dhidi ya mauaji ya George Floyd Mmarekani mweusi aliyeuawa kikatili na polisi mweupe mjini Minneapolis katika jimbo la Minnesota hivi karibuni.
-
Zaidi ya Wayemen elfu 42 wameuawa na kujeruhiwa katika mashambulizi ya miaka 5 ya muungano vamizi wa Saudia
Mar 26, 2020 03:50Kituo kimoja cha Haki za Binaadamu kimeelezea kuuawa na kujeruhiwa zaidi ya Wayemen elfu 42 katika kipindi cha miaka mitano ya uvamizi na mashambulizi ya muungano vamizi wa Saudia nchini Yemen.
-
Amnesty yaitaka Misri kuwaachia huru wafungwa wa kisiasa kwa hofu ya corona
Mar 21, 2020 11:44Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeitaka serikali ya Misri kuwaachia huru wafungwa wa kisiasa kwa sababu ya kasi ya maambukizi ya virusi vya corona.
-
Pakistan yaitaka jamii ya kimataifa kukomesha mauaji ya Waislamu nchini India
Mar 14, 2020 13:22Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Pakistan ameitaka jamii ya kimataifa kuchukua hatua za kivitendo kusitisha mauaji ya Waislamu na ukiukaji wa wazi wa haki za binaadamu nchini India.
-
Mousavi: Marekani haina hadhi ya kuzungumzia masuala ya haki za binadamu
Mar 14, 2020 03:03Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amejibu ripoti ya kila mwaka ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani kuhusiana na hali ya haki za binadamu nchini Iran na kusema kuwa, utawala wa Marekani haustahiki wala hauna hadhi ya kisiasa, kisheria na kimaadili ya kutoa maoni kuhusu masuala yanayohusiana na haki za binadamu.
-
Ripoti ya kila mwaka ya haki za binadamu ya Marekani; madai ya mkiukaji mkubwa zaidi wa haki za binadamu ulimwenguni
Mar 13, 2020 06:03Ripoti ya mwaka 2019 ya Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani kuhusiana na haki za binadamu ilitolewa Jumatano iliyopita ya tarehe 11 Machi.
-
Bahrain yashinikizwa iwaachilie huru wafungwa wa kisiasa wanawake
Mar 09, 2020 11:28Jumuiya ya ‘Amani Kwa Ajili ya Demokrasia na Haki za Binadamu’ imewataka viongozi wa Bahrain kutambua haki za wanawake na hivyo kuwaachilia huru wafungwa wote wa kisiasa wanawake ambao wanashikiliwa kwa kosa kueleza mitazamo yao ya kisiasa au kuwa ni wanaharakati wa haki za binadamu.
-
Nchi zilizoliwekea taifa la Iran vikwazo vya madawa ni katili
Feb 25, 2020 07:56Mkuu wa Baraza la Haki za Binadamu la Idara ya Mahakama ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi ambazo zinazuia madawa kuingia hapa nchini ni katili na wauaji wa binadamu.
-
Uchunguzi: Al Sisi anawaua wapinzani wake kwa "mauti ya polepole" wakiwa jela
Feb 10, 2020 08:21Uchunguzi uliofanywa na televisheni ya al Jazeera ya Qatar umefichua takwimu za kutisha kuhusu idadi ya wafungwa wa kisiasa waliouawa au kuaga dunia kutokana na kutelekezwa, kutopatiwa matibabu kwa makusudi na mazingira mabaya kupita kiasi ndani ya jela za Misri tangu baada ya mapinduzi ya kijeshi yaliyoongozwa na rais wa sasa wa nchi hiyo, Abdel Fattah al Sisi mwezi julai mwaka 2013.