-
Utawala wa Kizayuni umekumbwa na wasiwasi kufuatia kuwekwa katika orodha nyeusi ya UN
Sep 28, 2017 10:43Rais wa Utawala wa Kizayuni amebainisha wasiwasi wake kuhusu orodha iliyotayarishwa na Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa dhidi ya utawala huo kuhusu nchi zinazokiuka haki za binadamu.
-
Iran: Historia haitasahau jinai zinazofanywa na Saudia huko Yemen
Sep 24, 2017 00:02Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa historia ya dunia haitasahau jinai na uhalifu mkubwa unaofanywa na Saudi Arabia dhidi ya watu wa Yemen.
-
Nigeria yaanza kuchunguza ukiukwaji wa haki za binadamu uliofanywa na jeshi
Sep 12, 2017 22:03Tume iliyoundwa na serikali ya Nigeria imeanza kuchunguza ukikwaji wa haki za binadamu uliofanywa na jeshi la nchi hiyo.
-
Iran yapinga ripoti ya Asma Jahangir Kuhusu Haki za Binadamu Nchini
Sep 04, 2017 03:19Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: ''Ripoti mpya ya Asma Jahangir, mkaguzi maalumu wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kuhusu Iran, imetolewa kwa malengo machafu ya kisiasa na ya kimapendeleo na hivyo Iran haikubali hata kidogo ripoti hiyo."
-
Burundi yalalamikia ripoti ya hivi karibuni ya Baraza la Haki za Binadamu
Sep 03, 2017 09:23Wananchi wa Burundi wameilalamikia ripoti ya hivi karibuni ya Umoja wa Mataifa kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na askari usalama wa nchi hiyo.
-
Mashirika 62 ya haki za binadamu yaishitaki Saudia kwa jinai zake nchini Yemen
Sep 01, 2017 22:01Muungano wa kimataifa wa mashirika ya haki za binadamu yasiyo ya kiserikali yameutaka Umoja wa Mataifa kuunda kamati huru ya kuchunguza jinai za kivita na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa na utawala wa kiimla wa Saudi Arabia nchini Yemen
-
HRW: Vikosi vya Saudia vimeuzingiria kikamilifu mji wa al-Awamiya
Aug 13, 2017 09:16Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch (HRW) limefichua kuwa vikosi vya usalama vya utawala wa kifalme wa Aal-Saud vimeuzingira kikamilifu mji wa al-Awamiya, ulioko mashariki mwa Saudi Arabia.
-
Ukosoaji wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na hali ya haki za binadamu nchini Yemen
Jul 28, 2017 02:27Baada ya miaka miwili na nusu ya mashambulio ya kijeshi ya Saudi Arabia dhidi ya Yemen, hatimaye ujumbe wa ngazi za juu wa Umoja wa Mataifa umefanya safari nchini Yemen ili kujionea kwa karibu hali mbaya ya kibinadamu inayotawala nchini humo.
-
Rouhani: Marekani haiwezi kusimamia haki za binadamu na uthabiti duniani
Jul 19, 2017 10:00Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Marekani kwa kupuuza na kukanyaga makubaliano ya kimataifa iliyoyatia saini yakiwemo makubaliano kati yake na Paris, Cuba, Amerika ya kaskazini na Asia ya Mashariki haiwezi kusimamia haki za binadamu, sheria,amani na usalama duniani.
-
Serikali ya Myanmar yakataa kutoa viza kwa ujumbe wa UN kuchunguza hali ya Waislamu
Jul 13, 2017 03:31Wanaharakati wa haki za binaadamu wametangaza kuwa, serikali ya Myanmar imekataa kutoa viza kwa timu ya wachunguzi wa Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kwenda kuchunguza hali ya Waislamu wa Rohingya nchini humo.