Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Haki za Binadamu

  • Marekani yatishia kujiondoa kwenye Baraza la Haki za Binadamu la UN

    Marekani yatishia kujiondoa kwenye Baraza la Haki za Binadamu la UN

    Jun 05, 2017 22:57

    Marekani inatazamiwa kutoa ishara leo Jumanne juu ya uwezekano wa kujiondoa kwenye Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kwa lengo la kuukingia kifua utawala haramu wa Israel.

  • HRW yalaani jinai za Wazayuni dhidi ya Wapalestina

    HRW yalaani jinai za Wazayuni dhidi ya Wapalestina

    Jun 05, 2017 09:52

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limekosoa vikali jinai, ukandamizaji, ubaguzi na ukaliwaji wa mabavu wa ardhi za Palestina na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa zaidi ya miongo mitano sasa.

  • Mkuu wa Kamisheni ya Haki za Binaadamu Ulaya: Haki za binaadamu zilianzia nchini Iran na sio Ulaya

    Mkuu wa Kamisheni ya Haki za Binaadamu Ulaya: Haki za binaadamu zilianzia nchini Iran na sio Ulaya

    May 27, 2017 23:14

    Mkuu wa Kamisheni ya Haki za Binaadamu barani Ulaya amesema kuwa, haki za binaadamu zilianzia nchini Iran hususan mji wa Shiraz (kusini wa nchi) uliokuwa mji mkuu wa utamaduni wa dunia.

  • Rais wa Niger: Zichukuliwe hatua za kukabiliana na ukosefu wa usalama Afrika

    Rais wa Niger: Zichukuliwe hatua za kukabiliana na ukosefu wa usalama Afrika

    May 10, 2017 09:51

    Rais Mahamadou Issoufou wa Niger ametoa wito wa kuchukuliwa hatua madhubuti kwa ajili ya kukabiliana na ukosefu wa usalama na wakati huo huo kuungwa mkono suala la haki za binadamu barani Afrika.

  • Kufanyika kikao cha Kamisheni ya Haki za Binadamu na Watu ya Umoja wa Afrika

    Kufanyika kikao cha Kamisheni ya Haki za Binadamu na Watu ya Umoja wa Afrika

    May 10, 2017 07:55

    Kikao cha sitini cha Kamisheni ya Haki za Binadamu na Watu ya Umoja wa Afrika (ACHPR) kimeanza katika mji mkuu wa Niger, Niamey kwa kuhudhuriwa na wawakilishi zaidi ya 600 kutoka nchi mbalimbali za Afrika na za mabara mengine duniani. Kikao hicho kilianza siku ya Jumatatu ya tarehe 8 Mei na kitaendelea kwa muda wa wiki mbili hadi tarehe 22 mwezi huu.

  • Jinai za ukoo wa Kifalme Bahrain zazidi kulaaniwa

    Jinai za ukoo wa Kifalme Bahrain zazidi kulaaniwa

    May 01, 2017 03:02

    Makundi ya haki za binadamu katika kona mbalimbali za dunia yamelaani jinai za ukoo wa Aal Khalifa dhidi ya wafungwa nchini Bahrain na kuutaka utawala huo kandamizi kuacha kuwanyanyasa wafungwa.

  • Ubelgiji yajuta kuipiga kura Saudia kupewa uanachama wa Kamati ya Haki za Wanawake ya UN

    Ubelgiji yajuta kuipiga kura Saudia kupewa uanachama wa Kamati ya Haki za Wanawake ya UN

    Apr 28, 2017 03:07

    Waziri Mkuu wa Ubelgiji amesema nchi hiyo ya Ulaya inajuta kwa kuiunga mkono Saudi Arabia kupewa uanachama wa Kamati ya Haki za Wanawake ya Umoja wa Mataifa.

  • Kongamano la Kimataifa la Haki za Binadamu lafunguliwa Tehran

    Kongamano la Kimataifa la Haki za Binadamu lafunguliwa Tehran

    Apr 15, 2017 03:01

    Kongamano la Kimataifa la Kiislamu kuhusu Haki za Binadamu linafanyika hapa nchini Iran katika Chuo Kikuu cha Tehran.

  • Amnesty yasema mashambulizi ya Marekani dhidi ya Syria ni ya jazba

    Amnesty yasema mashambulizi ya Marekani dhidi ya Syria ni ya jazba

    Apr 12, 2017 02:41

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limelaani vikali hatua ya Marekani ya kukishambulia kituo cha kijeshi cha Syria kwa makombora na kusisitiza kuwa 'mashambulizi hayo ya jazba' sio njia mbadala ya kufanyika uchunguzi wa kina juu ya mashambulizi ya silaha za kemikali katika eneo la Khan Sheikhoun.

  • UN yashangazwa na wito wa Trump wa kuwatesa na kuwanyanyasa washukiwa

    UN yashangazwa na wito wa Trump wa kuwatesa na kuwanyanyasa washukiwa

    Apr 07, 2017 02:54

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ameeleza kusikitishwa kwake na wito wa Rais wa Marekani Donald Trump wa kutaka kurejeshwa sheria ya kuwatesa watuhumiwa wa jinai mbalimbali.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS