-
UN: S/Kusini, AU zakwamisha kubuniwa mahakama ya haki za binadamu
Mar 15, 2017 03:44Umoja wa Mataifa umeilaumu serikali ya Juba na Umoja wa Afrika (AU) kuwa zinakwamisha juhudi za kubuniwa mahakama ya kuwapandisha kizimbani wavunjaji wa haki za binadamu nchini Sudan Kusini.
-
Asasi za kiraia zalalamikia ada ya juu ya viza ya kazi Sudan Kusini
Mar 12, 2017 04:02Asasi za kiraia na mashirika ya kutetea haki za binadamu pamoja na yale ya misaada ya kibinadamu yamekosoa hatua ya serikali ya Sudan Kusini kuongeza malipo ya viza ya kazi kwa kiwango cha juu zaidi.
-
Qassemi: Ripoti ya haki za binadamu dhidi ya Iran ni ya kisiasa na si ya kiadilifu
Mar 09, 2017 12:59Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitambui rasmi ripoti ya haki za binadamu ambayo imetayarishwa kwa mujibu wa malengo ya kisiasa na matakwa ya baadhi ya nchi.
-
UN yakosoa ukiukwaji wa haki za binadamu katika nchi za Kiarabu
Mar 04, 2017 12:42Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limetahadharisha kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanyika katika nchi wanachama wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi.
-
Iran yataka suala la haki za binadamu lisitumiwe kisiasa
Mar 01, 2017 03:48Sayyid Abbas Araqchi, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika masuala ya sheria na ya kimataifa alisema jana kwenye kikao cha Baraza la Haki za binadamu la Umoja wa Mataifa mjini Geneva Uswisi kwamba, ni jambo la dharura kwa suala la haki za binadamu kuepushwa kikamilifu na masuala ya kisiasa.
-
Qassemi: Rasimu ya azimio la Sweden dhidi ya Iran, njama za US, Israel
Feb 19, 2017 04:20Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mpango wa Sweden wa kuwasilisha katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, rasimu ya azimio dhidi ya Iran ni mwendelezo wa kampeni za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel za kueneza chuki dhidi ya taifa hili.
-
HRW: Donald Trump ni tishio kwa haki za binadamu
Jan 13, 2017 04:40Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema kuchaguliwa Donald Trump kuwa Rais wa Marekani ni tishio lisilo na mfano kwa haki za binadamu.
-
Iran: Suala la haki za binadamu lisitumiwe kama wenzo
Dec 10, 2016 11:07Tume ya Haki za Binadamu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa mwito wa kuacha kutumiwa suala la haki za binadamu na asasi za kimataifa kama wenzo wa kuwadhibiti wengine kifikra, kiutamaduni, kisiasa na kiuchumi.
-
Jumuiya za kutetea haki za binadamu zatahadharisha kuhusu hali ya wanawake Nigeria
Dec 06, 2016 00:07Jumuia mbalimbali za kutetea haki za binadamu zimetahadharisha kuhusu hali mbaya ya wanawake nchini Nigeria.
-
Wasiwasi wa kushadidi jinai za Saudi Arabia nchini Yemen kwa ushiriki wa Marekani
Dec 01, 2016 04:28Mauaji makubwa dhidi ya wananchi wa Yemen yanayofanywa na Saudi Arabia yameibua wimbi kubwa la chuki dhidi ya utawala wa Aal-Saud huku walimwengu wakitaka kuhitimishwa jinai hizo sambamba na kusimamishwa misaada ya silaha kwa utawala wa Riyadh.