-
HRW: Maafisa usalama na chama tawala wanaua wapinzani Burundi
Apr 17, 2018 23:35Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema maafisa usalama wakishirikiana na wafuasi wa chama tawala nchini Burundi CNDD-FDD wanawaua na kuwashambulia wapinzani hususan wanaoonekana kupinga kura ya maoni inayotazamiwa kufanyika mwezi ujao.
-
'Ripoti ya Haki za Binadamu ya UN ni dhidi ya Iran, haina ushahidi na ni ya uongo
Mar 12, 2018 12:35Mkuu wa vyombo vya mahakama Iran amesema, waliowengi duniani wanapinga undumakuwili unaoonyeshwa na taasisi za kimataifa kuhusu haki za binadamu.
-
UN: Haki za binadamu zinakanyagwa katika nchi nyingi duniani
Mar 08, 2018 04:47Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, haki za binadamu zinatishiwa au kukanyagwa katika zaidi ya nchi 50 kote duniani.
-
Qassemi: Ripoti ya Antonio Guterres kuhusu hali ya haki za binadamu Iran haina itibari
Mar 02, 2018 00:30Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ripoti ya Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya haki za binadamu nchini Iran haina itibari wala thamani kutokana na kutoakisi ukweli.
-
Mkuu wa Kituo cha Haki za Binadamu Bahrain: Hukumu dhidi ya wapinzani ni ulipizaji kisasi
Jan 25, 2018 10:06Mkuu wa Kituo cha Haki za Binadamu cha nchini Bahrain amesema kuwa hukumu zilizotolewa na mahakama dhidi ya wapinzani nchini humo ni za kisiasa na ulipizaji kisasi.
-
Zarif: Uhai na kifo cha baadhi ya nchi zinazopakana Iran unategemea amri ya madola makubwa
Dec 16, 2017 12:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema uhai na kifo cha baadhi ya tawala zinazopakana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran unategemea maamuzi ya madola makubwa au Shirika la Kijeshi ya Nchi za Magharibi (NATO), au madola makubwa ya nyuklia.
-
HRW: Polisi wa Kenya waliwabaka wanawake wakati wa uchaguzi
Dec 14, 2017 12:23Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limesema makumi ya wanawake walibakwa na maafisa wa polisi wakati wa msimu wa uchaguzi mkuu mwaka huu nchini Kenya.
-
UN yaeleza wasiwasi kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu Libya
Dec 11, 2017 10:13Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya ameeleza wasiwasi wake kuhusu ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanyika nchini humo.
-
Qassemi: Ripoti ya Asma Jahangir imetayarishwa kwa malengo ya kisiasa
Oct 27, 2017 00:40Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa ripoti iliyotayarishwa na ripota maalumu wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kuhusu Iran ni ya kichochezi na haina hadhi wala uhalali.
-
Larijani: Nchi zinazodai kutetea haki za binadamu zina rekodi mbaya katika uwanja huo
Oct 25, 2017 03:56Katibu wa Tume ya Haki za Binadamu ya Idara ya Mahakama nchini Iran amesema kuwa nchi zinazodai kutetea haki za binadamu ikiwemo Marekani zina faili chafu sana katika uwanja wa haki za binadamu na mikono yao imejaa damu za watu wa eneo la Mashariki ya Kati hususan huko Yemen, Iraq, Bahrain na Syria.