-
Katibu Mkuu wa Hizbullah: Vita vijavyo vitaigharimu mno Israel
Mar 21, 2016 23:07Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema vita vyovyote itakavyoanzisha Israel dhidi ya Lebanon mnamo siku zijazo ni chokochoko ambayo itaugharimu na kuutia hasara kubwa utawala huo haramu wa Kizayuni.
-
Israel yazidisha uchokozi wa kijeshi dhidi ya Lebanon
Mar 19, 2016 04:07Baada ya kufichuka awamu mpya ya ujasusi wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Lebanon, mbunge mmoja wa nchi hiyo amesema hatua ya Wazayuni kujipenyeza katika laini za mawasiliano ya Lebanon ni hujuma kwa usalama na mamlaka ya kitaifa ya nchi hiyo na ametaka hatua zichukuliwe kukabiliana hali hiyo.
-
Makundi ya Kipalestina yaiunga mkono Harakati ya Hizbullah
Mar 18, 2016 04:09Makundi kadhaa ya muqawama ya Palestina yametangaza uungaji mkono wao kwa Harakati ya Kiislamu ya nchini Lebanon, Hizbullah
-
Algeria: Saudia ilimhonga dola milioni 2 Nabiil al Arabi
Mar 13, 2016 22:54Gazeti la al Shuruq la Algeria limefichua kwamba Saudi Arabia ilimhonga dola milioni mbili Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kiarabu (Arab League) Nabiil al Arabi kwa akiji la kupasisha muswada wa kuitambua harakati ya Hizbullah ya Lebanon kuwa ni kundi la kigaidi.
-
Hizbollah yalaani 'hujuma' ya Jumuiya ya nchi za Kiarabu
Mar 13, 2016 04:05Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah, imelaani hatua ya hivi karibuni ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuitaja harakati hiyo kuwa "kundi la kigaidi" na kusema uamuzi huo ni sawa na "tangazo la hujuma" kutoka Saudi Arabia.
-
Algeria yapinga kutajwa Hizbullah kuwa kundi la kigaidi
Mar 12, 2016 04:39Algeria kwa mara nyingine imepinga uamuzi wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusu kuitajwa Hizbullah kuwa kundi la kigaidi.
-
Jumuiya mbalimbali zaendela kulaani uamuzi wa Waarabu wa kuiweka Huzbullah katika makundi ya kigaidi
Mar 09, 2016 04:10Jumuiya na taasisi mbalimbali za kimataifa zimeendelea kulaani uamuzi wa nchi kadhaa za Kiarabu zikiongozwa na Saudi Arabia wa kuitambua harakati ya Hizbillah ya Lebanon kuwa ni kundi la kigaidi.
-
'Kuitaja Hizbullah kuwa ni kundi la kigaidi ni njama ya Saudia'
Mar 06, 2016 22:34Mkuu wa Kamati ya Intifadha ya Quds nchini Iran amesema kuwa kuiita Hizbullah ya Lebanon kuwa ni kundi la kigaidi ni njama iliyobuniwa na Saudi Arabia na Wazayuni kwa amri ya viongozi wa Israel.
-
Waitifaki wa Israel wameitaja Hizbullah kuwa kundi la kigaidi
Mar 06, 2016 03:46Kamanda mwandamizi wa kijeshi nchini Iran amesema waitifaki wa utawala haramu wa Israel ndio wallioitaja harakati ya muqawama ya Hizbullah kuwa kundi la kigaidi.
-
Alaeddin Boroujerdi: Msimamo wa PGCC ni tusi kwa serikali na wananchi wa Lebanon
Mar 05, 2016 04:20Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Kigeni ya Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, msimamo wa hivi karibuni wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi dhidi ya Hizbullah ni baraka kwa Israel na ni tusi kwa serikali na wananchi wa Lebanon.