-
Hizbullah: Shahidi Suleimani alikuwa nguvu kubwa mbele ya njama za ubeberu wa Marekani
Dec 22, 2020 04:04Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, shahidi Qassem Suleimani alikuwa nguvu kubwa mbele ya mipango kiistikbari ya Marekani na ndio maana ameuliwa kigaidi na adui.
-
Hizbullah: Tawala za Kiarabu katika eneo hazijawahi kuwa pamoja na Palestina
Dec 08, 2020 08:45Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, tawala za Kiarabu zinazotenda jinai katika Mashariki ya Kati hazijawahi kuwa pamoja na Palestina wala kuunga mkono muqawama.
-
Afisa wa Hizbullah: Mfumo wa uchaguzi wa Marekani uko mbali sana na demokrasia
Nov 12, 2020 22:07Afisa wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa mfumo wa uchaguzi wa Marekani umejitenga kwa masafa marefu sana na viwango vinavyokubalika vya demokrasia.
-
Sera za kuingilia kati za Macron nchini Lebanon
Sep 28, 2020 06:02Matukio ya Kisiasa ya hivi karibuni nchini Lebanon hususan baada ya mlipuko mkubwa uliotokea katika bandari ya Beirut mwezi Agosti mwaka huu ambao umepelekea kujiuzulu serikali ya nchi hiyo yametayarisha mazingira ya uingiliaji wa nchi za Magharibi hususan Ufaransa na Marekani katika masuala ya ndani ya nchi hiyo
-
Hizbullah: Wananchi wa Lebanon hawatobadilika kwa sababu ya vikwazo vya Marekani
Sep 12, 2020 21:52Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, siasa za vikwazo za Marekani haziwezi kuwafanya wananchi wa Lebanon walegeze kamba na kubadilisha msimamo wao.
-
HAMAS yasisitiza kuendeleza uhusiano wa kistratejia na Hizbullah ya Lebanon
Sep 03, 2020 03:37Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, uhusiano wa kistratejia baina ya makundi ya ukombozi na muqawama na Hizbullah ya Lebanon utapelekea kukombolewa Palestina kutoka kwenye makucha ya maghasibu wa Israel.
-
Muqawama wa Palestina: Hizbullah ya Lebanon imegeuka jinamizi kwa utawala wa Kizayuni wa Israel
Aug 30, 2020 03:47Msemaji wa Kamati za Muqawama wa Palestina amesisitiza kuwa jibu lijalo ambalo harakati ya Hizbullah ya Lebanon imepanga kutoa kwa utawala wa Kizayuni wa Israel limegeuka kuwa jinamizi na kitisho kikubwa kwa utawala huo haramu.
-
Hizbullah ya Lebanon yatungua ndege ya kijasusi ya Israel
Aug 24, 2020 07:26Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imefanikiwa kutungua ndege isiyo na rubani ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel
-
Sheikh Naim Qassim: Hizbullah haitoruhusu Israel iivamie Lebanon
Aug 22, 2020 03:12Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, harakati hiyo ya Kiislamu kamwe haitoiruhusu Israel na waungaji mkono wake waivamie tena Lebanon.
-
Ujumbe wa Zarif katika kumbukumbu ya ushindi wa Hizbullah katika Vita vya Siku 33
Aug 14, 2020 03:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametuma ujumbe wa pongezi kwa kwa serikali na watu wa Lebanon kwa mnasaba wa mwaka wa 14 wa ushindi uliojaa fahari wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon katika Vita vya Siku 33.