Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Hizbullah ya Lebanon

  • Sayyid Hassan Nasrullah: Vita vyovyote dhidi ya Iran vina maana ya kufutwa Israel katika uso wa dunia

    Sayyid Hassan Nasrullah: Vita vyovyote dhidi ya Iran vina maana ya kufutwa Israel katika uso wa dunia

    Sep 10, 2019 08:11

    Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema mbele ya mjumuiko mkubwa wa Waislamu waliofurika kwa ajili ya maombolezo ya Siku ya Ashura ya kukumbuka kuuawa shahidi Imam Husain AS kwamba, vita vyovyote vile dhidi ya Iran vitakuwa na maana ya kuangamizwa na kufutwa katika uso wa dunia, dola pandikizi la Israel.

  • Nasrullah: Hizbullah na Iran haziwezi kuyumbishwa na mashinikizo

    Nasrullah: Hizbullah na Iran haziwezi kuyumbishwa na mashinikizo

    Sep 10, 2019 02:47

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema harakati hiyo ya muqawama na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zitaendelea kusimama kidete dhidi ya mashinikizo na vikwazo vya Marekani.

  • Israel yakiri, Hizbullah imetungua ndege yake isiyo na rubani

    Israel yakiri, Hizbullah imetungua ndege yake isiyo na rubani

    Sep 09, 2019 06:56

    Duru zenye mfungamano na utawala wa Kizayuni wa Israel zimethibitisha kuwa, wapiganaji wa Hizbullah ya Lebanon wametungua ndege isiyo na rubani ya utawala huo.

  • Wazayuni wakiri: Askari watano wa Israel waliuawa ndani ya gari lililoripuliwa na Hizbullah

    Wazayuni wakiri: Askari watano wa Israel waliuawa ndani ya gari lililoripuliwa na Hizbullah

    Sep 03, 2019 22:11

    Gazeti la Kizayuni la Haaretz limekiri kuwa askari watano wa Israel walikuwemo ndani ya gari la kijeshi lililoripuliwa na wanamuqawama wa Hizbullah ya Lebanon.

  • Ripota wa UN: Matatizo ya ukosefu wa amani Nigeria yapewe mazingatio

    Ripota wa UN: Matatizo ya ukosefu wa amani Nigeria yapewe mazingatio

    Sep 03, 2019 03:37

    Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa matatizo ya kiusalama ya Nigeria yametengeneza mgogoro ambao unahitajia kupewa mazingatio haraka iwezekanavyo, la sivyo utasababisha ukosefu wa usalama katika nchi nyingine za Kiafrika.

  • "Israel haina uwezo wa kukabiliana na wanamapambano wa Kiislamu"

    Sep 02, 2019 03:12

    Mtandao maarufu wa habari unaotembelewa na watu wengi nchini Ugiriki umetoa ripoti maalumu na kusema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel hauna uwezo wa kukabiliana na wanamapambano wa Kiislamu wa Hizbullah ya Lebanon.

  • Al Manar: Kamanda wa jeshi la utawala wa Kizayuni aangamizwa kwenye oparesheni ya Hizbullah ya Lebanon

    Al Manar: Kamanda wa jeshi la utawala wa Kizayuni aangamizwa kwenye oparesheni ya Hizbullah ya Lebanon

    Sep 01, 2019 12:46

    Televisheni ya al Manar imetangaza kuwa harakati ya Hizbullah ya Lebanon imeangamiza moja ya zana za kijeshi za Israel katika barabara ya al Thakna katika mji wa mpakani wa Israel wa Avivim na kumuua kamanda wa kikosi kimoja wa jeshi la utawala wa Kizayuni huko kaskazini mwa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu katika oparesheni iliyotekelezwa na harakati ya Hizbullah.

  • Sheikh Naeem Qasim: Muqawama ndio nguzo ya mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni

    Sheikh Naeem Qasim: Muqawama ndio nguzo ya mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni

    Aug 04, 2019 20:56

    Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa harakati hiyo pamoja na taifa na jeshi la Lebanon ni nguzo muhimu ya mapambano dhidi ya hujuma za utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Hizbullah: Utawala wa Kizayuni wa Israel hauheshimu haki za kimsingi za watoto

    Hizbullah: Utawala wa Kizayuni wa Israel hauheshimu haki za kimsingi za watoto

    Aug 01, 2019 03:27

    Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel hauheshimu haki za kimsingi kabisa za watoto na unapuuza makubaliano ya kimataifa yanayohusiana na haki hizo.

  • Hizbullah: Lebanon hatuna hofu na vitisho vya utawala haramu wa Israel

    Hizbullah: Lebanon hatuna hofu na vitisho vya utawala haramu wa Israel

    Jul 26, 2019 08:07

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah nchini Lebanon amesema kuwa, kwa kutegemea uwezo wake wa ndani, Lebanon haina hofu yoyote na vitisho vya utawala haramu wa Kizayuni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS