-
Hizbullah: Utawala wa Kizayuni wa Israel hauheshimu haki za kimsingi za watoto
Aug 01, 2019 03:27Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel hauheshimu haki za kimsingi kabisa za watoto na unapuuza makubaliano ya kimataifa yanayohusiana na haki hizo.
-
Hizbullah: Lebanon hatuna hofu na vitisho vya utawala haramu wa Israel
Jul 26, 2019 08:07Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah nchini Lebanon amesema kuwa, kwa kutegemea uwezo wake wa ndani, Lebanon haina hofu yoyote na vitisho vya utawala haramu wa Kizayuni.
-
"Siasa za Marekani dhidi ya Iran zimefeli"
Jul 07, 2019 22:12Naibu wa Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, siasa za serikali ya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zimefeli.
-
Hizbullah: Utatuzi wa kadhia ya Palestina kwa fedha ni udhalilishaji mkubwa
Jun 24, 2019 23:06Mkuu wa Baraza la Kisiasa la Harakati ya Muqawama ya nchini Lebanon Hizbulla, amesema kuwa, mtazamo wa Marekani kwa wananchi wa Palestia kuwa ni watu masikini ambao matatizo yao yanatatuliwa tu kwa fedha, ni udhalilishaji mkubwa kwa watu wa taifa hilo.
-
Hizbullah: Hatua ya Iran kutungua ndege ya ujasusi ya Marekani, ni sisitizo la kujilinda
Jun 22, 2019 22:03Kaimu Mkuu wa Baraza la Utendaji la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah nchini Lebanon sambamba na kuashiria hatua ya kutunguliwa na Iran ndege ya ujasusi isiyo na rubani ya Marekani, amesema kuwa hatua hiyo inathibitisha kwamba Tehran haitofumbia macho kukiukwa kwa haki yake ya kujitawala.
-
Hizbullah: Utawala haramu wa Israel ndio chimbuko kuu la ugaidi duniani
Apr 19, 2019 23:54Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah nchini lebanon, Sheikh Naim Qassem amesema kuwa, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ndio chanzo kikuu cha ugaidi na uharibifu katika eneo la Asia Magharibi na duniani kwa ujumla.
-
Nasrullah: Hatua ya US dhidi ya IRGC ni thibitisho kuwa Washington imefeli katika eneo
Apr 11, 2019 09:26Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon (Hizbullah) sambamba na kulaani hatua ya Rais Donald Trump ya kuliweka Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC katika orodha ya Marekani ya makundi ya kigaidi amesisitiza kuwa, kitendo hicho ni ithibati tosha kuwa Washington imefeli katika njama zake ghalati katika eneo la Asia Magharibi.
-
Israel: Jeshi letu la anga haliwezi kukabiliana na makombora ya muqawama
Apr 06, 2019 21:55Kituo cha Utafiti wa Usalama wa Taifa cha utawala wa Kizayuni wa Israel kimekiri katika ripoti yake maalumu kwamba jeshi la anga na taasisi za kijasusi za utawala huo, hazina uwezo wa kukabiliana na makombora ya wanamuqawama wa Kiislamu.
-
Hizbullah: Muqawama ni tishio kubwa kwa adui Mzayuni
Apr 05, 2019 01:57Mkuu wa Baraza la Utendaji la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, nguvu na uwezo wa muqawama ni tishio kubwa kwa adui Mzayuni.
-
Hizbullah: Kuna mgongano katika misimamo ya Arab League kuhusu namna ya kukabiliana na vitisho vya Israel
Apr 02, 2019 03:25Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imesema, kuna mgongano katika misimamo ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) kuhusu jinsi ya kukabiliana na vitisho dhidi ya ardhi za Kiarabu na za Kiislamu.