-
Kamanda wa jeshi la Israel: Ni vizuri Israel iendelee kujiepusha kuingia vitani na Hizbullah
Sep 22, 2017 01:20Mkuu wa Majeshi ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amesema kuwa, ni kwa maslahi ya utawala huo ikiwa utaendelea kujitenga mbali na vita vyovyote na Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon.
-
Hizbullah ya Lebanon: Lengo la kundi la kigaidi la Daesh ni kuchafua sura ya Uislamu
Aug 18, 2017 10:31Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa, lengo la vitendo vinavyofanywa na kundi la kigaidi la Daesh ni kuchafua haiba na sura halisi ya Uislamu.
-
Hizbullah: Israel itashtushwa mno na uwezo wetu wa kijeshi iwapo itatuchokoza
Jul 14, 2017 09:48Mkuu wa Baraza la Utendaji la Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah nchini Lebanon, amesema kuwa, iwapo utawala wa Kizayuni utaanzisha vita vyovyote dhidi ya harakati hiyo, Tel Aviv itashangazwa na uwezo mkubwa wa kijeshi wa wanamapambano wa Hizbullah.
-
Hizbullah: Kufeli mradi wa ugaidi katika eneo kunatokana na miongozo ya Kiongozi Muadhamu
Jul 13, 2017 03:18Mkuu wa Baraza la Utendaji la Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah nchini Lebanon, amesema kuwa kushindwa mradi kabambe wa makundi ya ukufurishaji na Kiwahabi katika eneo la Mashariki ya Kati, kumetokana na mafundisho bora ya Imamu Ruhullah Komein (MA) Mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na pia miongozo ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei.
-
Hizbullah: Marekani na EU zinazuia wakimbizi wa Syria kurejea nchini kwao
Jul 08, 2017 03:25Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Marekani na Umoja wa Ulaya zimekuwa zikizuia wakimbizi wa Syria kurejea nchini kwao.
-
Hizbullah: Mpango wa matakfiri Mashariki ya Kati unasambaratika
Jun 28, 2017 02:48Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa, hali ya kisiasa inayotawala hivi sasa katika eneo la Mashariki ya Kati ni kwa manufaa ya mhimili wa muqawama na kwamba, mpango wa matakfiri umo katika katika hali ya kusambaratika.
-
Makombora ya Hizbullah ndio tishio kubwa zaidi kwa utawala wa Kizayuni
May 31, 2017 03:21Waziri wa zamani wa vita wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amesema makombora ya harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah ndio hatari kubwa zaidi inayoukabili utawala huo ghasibu.
-
Hizbullah: Iran ni nembo ya izza na uhuru
May 23, 2017 21:50Naibu Katibu Mkuu wa Hibzullah ya Lebanon amesema, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni nembo ya izza na ukombozi duniani.
-
Njama za Marekani dhidi ya Hizbullah kwa msaada wa Umoja wa Mataifa
May 17, 2017 01:49Ripoti mbalimbali zinaeleza kuwa kuna njama za kila upande zinazopangwa dhidi ya muqawama wa Lebanon, ambapo hivi karibuni kikao cha siri cha upangaji njama hizo dhidi ya harakati ya Hizbullah kimefanyika mjini Washington, Marekani na kuhudhuriwa na nchi za Kiarabu za eneo la Ghuba ya Uajemi.
-
Hizbullah yakosoa kimya cha nchi za Kiarabu juu ya Wafungwa wa Palestina
May 03, 2017 02:31Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amekosoa vikali hatua ya nchi za Kiarabu kufumbia macho masaibu yanayowakabili mamia ya wafungwa wa Palestina ambao kwa sasa wamesusia kula chakula katika jela za utawala haramu wa Israel.