-
Rais Aoun: Hizbullah inailinda Lebanon
Feb 12, 2017 12:33Rais Michel Aaoun wa Lebanon amesisitiza kuwa silaha za Hizbullah hazina mgongano na uhalali wa serikali bali silaha hizo ni sehemu kuu na ya msingi ya ulinzi wa nchi hiyo.
-
Iran, Russia, Syria, Hizbullah zina msimamo mmoja katika vita dhidi ya ugaidi
Feb 09, 2017 00:36Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, ndoto za baadhi ya watu za kutamani kushuhudia mivutano katika msimamo wa pamoja wa Iran, Russia, Syria na Hizbullah katika vita vya ugaidi, hazitaagulika.
-
Utawala haramu wa Israel wakiri juu ya uwezo mkubwa wa Hizbullah ya Lebanon
Feb 06, 2017 11:29Kituo cha Utafiti cha utawala haramu wa Israel kimekiri juu ya uwezo wa kijeshi wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon na kueleza kuwa, uwezo wa Hizbullah uko katika kiwango cha majeshi bora ya Mashariki ya Kati.
-
Sheikh Naim Qassim: Hizbullah itaendelea kubakia Syria kadiri itakavyohitajika kufanya hivyo
Jan 20, 2017 12:15Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, harakati hiyo itaendelea kubakia nchini Syria na kupambana na magaidi wa kitakfiri kadiri itakavyohitajika kufanya hivyo.
-
Israel yaingiwa na kiwewe kuhusu uwezo wa Hizbullah
Jan 02, 2017 22:57Kituo kimoja cha utafiti katika utawala wa Kizayuni wa Israel kimekiri katika ripoti yake ya hivi karibuni kuwa, Wazayuni wana wasiwasi mkubwa kuhusu nguvu za harakati ya Hizbullah ya Lebanon.
-
Hizbullah: Tutabakia Syria hadi magaidi wote waangamizwe
Dec 30, 2016 03:33Mkuu wa Baraza la Kisiasa la Harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah amesema wanamapambano wa muqawama wako nchini Syria katika fremu ya ushirikiano na serikali ya Damascus na kusisitiza kuwa wataendelea kubakia nchini humo hadi magaidi watakapotokomezwa kikamilifu.
-
Nasrullah: Muqawama utavunja njama za mabeberu
Dec 27, 2016 23:20Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah amesema muqawama na kusimama kidete kutasambaratisha njama za madola ya kibeberu na kiistikbari katika nchi za Syria, Iraq na Lebanon.
-
Sheikh Naeem Qassim: Hizbullah itaipigia kura ya imani serikali mpya ya Lebanon
Dec 27, 2016 01:12Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema wabunge wa mrengo wa muqawama wataipigia kura ya imani serikali mpya ya Lebanon.
-
Hizbullah yasisitiza kuendeleza mapambano dhidi ya magaidi hadi kuwaangamiza kikamilifu
Nov 25, 2016 11:41Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon imesisitiza juu ya kuendeleza mapambano dhidi ya makundi ya kigaidi na kitakfiri na kuyatokomeza kikamilifu.
-
Hizbullah yasema Trump ni mtu mwenye chuki na ubaguzi
Nov 23, 2016 04:35Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuchaguliwa mwanasiasa mwenye chuki na ubaguzi nchini Marekani kwa upande mmoja; na maandamano ya nchi nzima ya kulalamikia ushindi wa bilionea huyo kwa upande mwingine, ni dhihirisho kuwa nchi hiyo iko katika mgogoro mkubwa.