Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Hizbullah ya Lebanon

  • Hizbullah: Tuna matumaini ya kuwa na

    Hizbullah: Tuna matumaini ya kuwa na "Mashariki ya Kati Yenye Muqawama"

    Nov 19, 2016 12:09

    Sayyid Hashim Safiyyuddin, mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema ushindi na kujitolea mhanga Ulimwengu wa Kiislamu na Kiarabu kutawezesha kujengwa mustakabali wenye kung'ara kwa Umma wa Kiislamu na kuanzishwa "Mashariki ya Kati Yenye Muqawama".

  • Hizbullah yampongeza Aoun kuchaguliwa kuwa rais mpya Lebanon

    Hizbullah yampongeza Aoun kuchaguliwa kuwa rais mpya Lebanon

    Nov 04, 2016 12:19

    Katibu Mkuu wa Harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Lebanon Hizbullah amempongeza Michel Aoun kwa kuchaguliwa kuwa rais mpya wa Lebanon na kusisitiza kuwa, harakati hiyo imekuwa ikilimbikiziwa tuhuma za uongo kuwa imekuwa kizingiti cha kufanyika uchaguzi nchini humo kwa takriban miaka miwili na nusu.

  • Nasrallah: Hizbullah imezuia Lebanon kutumbukia katika mgogoro

    Nasrallah: Hizbullah imezuia Lebanon kutumbukia katika mgogoro

    Oct 30, 2016 01:08

    Kiongozi wa Harakati ya Hizbullah , Sayyed Hassan Nasrallah amesema harakati hiyo imeizuia Lebanon kutumbukia katika migogoro inayoendelea sasa Mashariki ya Kati na kwamba jitihada zinahitajika kulinda uthabiti huo.

  • Sisitizo la Katibu Mkuu wa Hizbullah juu ya ulazima wa kuwa macho na chokochoko za Marekani

    Sisitizo la Katibu Mkuu wa Hizbullah juu ya ulazima wa kuwa macho na chokochoko za Marekani

    Oct 12, 2016 23:14

    Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa Marekani ina mkono katika migogoro na machafuko yanayoendelea kushuhudiwa katika eneo la Mashariki ya Kati na amewataka wananchi na viongozi wa mataifa ya eneo hili kuwa macho na njama za Washington na washirika wake za kushadidisha machafuko na migogoro hiyo.

  • Kiongozi mkubwa wa genge la Daesh (SISI) atiwa mbaroni kusini mwa Lebanon

    Kiongozi mkubwa wa genge la Daesh (SISI) atiwa mbaroni kusini mwa Lebanon

    Sep 22, 2016 10:07

    Kiongozi wa ngazi ya juu wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (SIS) ametiwa mbaroni katika kambi ya wakimbizi ya Ain al-Hilweh, kusini mwa Lebanon.

  • Hizbullah: Utawala wa Saudia uache kiburi na utazame upya siasa zake

    Hizbullah: Utawala wa Saudia uache kiburi na utazame upya siasa zake

    Sep 09, 2016 10:20

    Mrengo wa Harakati ya Hizbullah katika Bunge la Lebanon umetangaza kuwa, utawala wa Saudi Arabia unapaswa kutazama upya siasa zake.

  • Hizbullah ya Lebanon: Hali ilivyo ni kwa manufaa ya serikali na wananchi wa Syria

    Hizbullah ya Lebanon: Hali ilivyo ni kwa manufaa ya serikali na wananchi wa Syria

    Sep 04, 2016 23:53

    Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema hali ilivyo hivi sasa nchini Syria ni kwa manufaa ya serikali na wananchi wa nchi hiyo.

  • Hizbullah ya Lebanon: Ugaidi wa kitakfiri ni mpango mbadala wa kukabiliana na muqawama

    Hizbullah ya Lebanon: Ugaidi wa kitakfiri ni mpango mbadala wa kukabiliana na muqawama

    Aug 21, 2016 10:48

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, ugaidi wa kitakfiri ni mpango mbadala wa kuja kuchukua nafasi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika kukabiliana na muqawama na mapambano ya wananchi.

  • Hizbullah yatoa onyo kwa uchokozi mpya wa utawala wa Kizayuni dhidi ya Lebanon

    Hizbullah yatoa onyo kwa uchokozi mpya wa utawala wa Kizayuni dhidi ya Lebanon

    Aug 19, 2016 03:34

    Harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Lebanon Hizbullah imetoa taarifa ya kulaani uchokozi na chokochoko mpya za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya mamlaka ya kujitawala ya Lebanon katika mashamba ya Shab'a.

  • Sheikh Nabil Qaouk: Saudi Arabia haina ubavu wa kukabiliana na Hizbullah

    Sheikh Nabil Qaouk: Saudi Arabia haina ubavu wa kukabiliana na Hizbullah

    Aug 08, 2016 23:58

    Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji la Harakati ya Hizbullah ya Lebanon kwa mara nyingine tena amekosoa vikali siasa za kuharibu mambo za utawala wa Saudi Arabia katika Mashariki ya Kati.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS