Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Imam Hussein AS

  • Araqchi: Hatutasahau wala hatutasamehe mauaji ya Sayyidi wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Araqchi: Hatutasahau wala hatutasamehe mauaji ya Sayyidi wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Jun 26, 2026 11:23

    Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran amesema katika ujumbe wake kwamba: "Kuuliwa shahidi Sayyid na kinara wa mashahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu hakutasahaulika wala hakutasamehewa."

  • Mamilioni ya Wairani washiriki maombolezo kuelekea siku ya Ashura

    Mamilioni ya Wairani washiriki maombolezo kuelekea siku ya Ashura

    Jun 24, 2026 11:04

    Mamilioni ya Waislamu katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na maeneo mengine ya dunia leo mchana wameshiriki katika maombolezo ya kumbukumbu ya Ta'asua na jioni hii wanashiriki katika hafla za mkesha wa Ashura ambayo ni kukumbuka siku ya kuuliwa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW), Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (AS).

  • Mamilioni ya wafuasi wa Ahlul-Bayt (as) washiriki maombolezo ya Ashura

    Mamilioni ya wafuasi wa Ahlul-Bayt (as) washiriki maombolezo ya Ashura

    Jul 16, 2024 08:07

    Mamilioni ya Waislamu katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na maeneo mengine ya dunia leo wameshiriki katika maombolezo ya kumbukumbu ya Ashura ya kukumbuka siku ya kuuliwa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW), Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (a.s).

  • Kiongozi wa Ansarullah: Imam Hussein (AS) alisimama kupambana ili kuuokoa Uislamu

    Kiongozi wa Ansarullah: Imam Hussein (AS) alisimama kupambana ili kuuokoa Uislamu

    Aug 08, 2022 22:24

    Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen, Sayyid Abdulmalik Badruddin Al-Houthi amesema, Imam Hussein (AS) alisimama kupambana kwa ajili ya kuuokoa Uislamu na shari ya maadui.

  • Hujjatul Islam Akbari: Imam Hussein aliarifisha wazo la 'Muqawama' kwa waumini

    Hujjatul Islam Akbari: Imam Hussein aliarifisha wazo la 'Muqawama' kwa waumini

    Aug 05, 2022 07:54

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Tehran amesema Imam Hussein (AS) aliarifsha hoja ya muqawama kwa waumini wote wa Kiislamu, na kwamba mapambano ndiyo njia pekee ya kupata mafanikio.

  • Raisi: Kuuawa shahidi kidhulma Imam Hussein (AS) kunathibitisha umuhimu mkubwa wa kuamrisha mema na kukataza maovu katika dini ya Uislamu

    Raisi: Kuuawa shahidi kidhulma Imam Hussein (AS) kunathibitisha umuhimu mkubwa wa kuamrisha mema na kukataza maovu katika dini ya Uislamu

    Jul 30, 2022 23:09

    Rais Ebrahim Raisi amesema, kuuawa shahidi kidhulma Imam Hussein (AS) ni ithibati kwamba kuamrisha mema na kukataza maovu kuna umuhimu mkubwa katika dini ya Uislamu

  • Iran yaadhimisha kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa Imam Hussein (AS)

    Iran yaadhimisha kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa Imam Hussein (AS)

    Mar 17, 2021 04:03

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeungana na ulimwengu wa Kiislamu hii leo kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa Imam Hussein (AS), mjukuu wa Mtume wetu mtukufu Muhammad (SAW).

  • 'Siku ya Hussein (as)' yaadhimishwa mjini New York, bendera ya Hussein (as) yapepea

    'Siku ya Hussein (as)' yaadhimishwa mjini New York, bendera ya Hussein (as) yapepea

    Sep 09, 2019 03:48

    Waislamu wa mji wa New York nchini Marekani kutoka mataifa mbalimbali yakiwemo ya Iran, India, Pakistan na ya Kiafrika wamefanya maombolezo ya kukumbuka kifo cha Imam Hussein (as) mjukuu wa Mtume Mtukufu (saw), katika mtaa wa Manhattan.

  • Marasimu ya Kimataifa ya

    Marasimu ya Kimataifa ya "Watoto Wanaonyonya wa Hussein" yafanyika katika nchi zaidi ya 40

    Sep 06, 2019 03:43

    Marasimu ya Kimataifa kwa jina la "Watoto Wachanga Wanaonyonya wa Hussein a.s" yamefanyika leo Ijumaa katika zaidi ya maeneo elfu sita katika Iran ya Kiislamu na katika nchi 45 duniani sambamba na Ijumaa ya kwanza ya mwezi wa Muharram.

  • Arubaini ya Imam Husain AS, nembo ya umoja baina ya Iran na Iraq

    Arubaini ya Imam Husain AS, nembo ya umoja baina ya Iran na Iraq

    Oct 26, 2018 10:08

    Maandamano ya mamilioni ya watu katika Arubaini ya Imam Husain AS na wajibu wa kuimarishwa kadiri inavyowezekana uhusiano wa Tehran na Baghdad ndiyo ajenda kuu ya mazungumzo ya simu yaliyofanywa baina ya mawaziri wa mambo ya nje wa Iran na Iraq.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS