-
Hamas yakosoa hatua ya Imarati kuialika Israel katika Maonyesho ya Dubai
Jan 21, 2020 07:27Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imesema hatua ya Umoja wa Falme za Kiarabu ya kuualika utawala haramu wa Israel kushiriki katika Maonyesho ya Dubai ya 2020 ni aina fulani ya kuufanya wa kawaida uhusiano wa taifa hilo la Kiarabu na Tel Aviv.
-
Netanyahu apongeza juhudi za Imarati za kuimarisha uhusiano na Israel
Dec 22, 2019 14:03Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel amepongeza jitihada zinazofanywa na Umoja wa Falme za Kiarabu za kutaka kuimarisha na kufanya wa kawaida uhusiano wa utawala huo pandikizi na baadhi ya nchi za Kiarabu.
-
Fayez al Sarraj: Mashambulizi ya droni za Imarati hayatasalia bila jibu
Dec 22, 2019 06:53Fayez al Sarraj Waziri Mkuu wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya jana usiku alisema kuwa mashambulizi ya ndege zisizo na rubani (droni) za Imarati katika maeneo ya Zliten na Msalata kaskazini mwa nchi hiyo ni hatua ya kihalifu ambayo haitasalia bila ya jibu.
-
Maandamano ya kupinga vita yafanyika mbele ya balozi za Imarati katika nchi za Ulaya
Dec 03, 2019 07:39Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu wamefanya maandamano hadi mbele ya balozi za Umoja wa Falme za Kiarabu katika nchi kadhaa za Ulaya.
-
Shehena ya silaha kutoka Imarati yawasili nchini Libya
Nov 29, 2019 11:18Duru za habari nchini Misri zimeelezea kuwasili nchini Libya shehena ya silaha kutoka Imarati.
-
UN: Imarati, Sudan na Jordan ziliwapa wapiganaji wa Haftar silaha
Nov 10, 2019 07:31Rasimu ya ripoti ya Umoja wa Mataifa imefichua kuwa Umoja wa Falme za Kiarabu, Sudan na Jordan zimekiuka vikwazo vya silaha vya umoja huo kwa kulipa silaha kundi linalojiita Jeshi la Taifa la Libya linaloongozwa na Jenerali mstaafu Khalifa Haftar.
-
Le Monde lafichua: Imarati ina jela 18 za siri ndani ya ardhi ya Yemen
Nov 10, 2019 02:45Gazeti la Le Monde linalochapishwa nchini Ufaransa limefichua kuwa, Imarati ina jela zisizopungua 18 ndani ya ardhi ya Yemen.
-
Imarati yatuhumiwa kuhusika na shambulizi la anga lililoua wahajiri 53 Libya
Nov 07, 2019 01:13Nyaraka za siri za Umoja wa Mataifa zinaonesha kuwa, ndege ya kivita ya nchi ajinabi ndiyo iliyotekeleza shambulizi la anga lililolenga kituo cha kuwazuilia wahajiri haramu mashariki mwa mji mkuu wa Libya, Tripoli na kuua makumi miongoni mwao.
-
Pande tatu za Marekani, Israel na Imarati sababu ya kushadidi machafuko Iraq
Nov 04, 2019 12:01Katibu Mkuu wa Harakati ya Asa'ib Ahlul Haq ya nchini Iraq amesema kuwa pande tatu za Marekani, Imarati na utawala wa Kizayuni zimeazimia kushadidisha machafuko na mapigano huko Iraq.
-
Al Sarraj ataka kukomeshwa uingiliaji wa nchi ajinabi huko Libya
Sep 27, 2019 02:38Waziri Mkuu na Mkuu wa baraza la uongozi la serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya ametaka kusitishwa uingiliaji wa Imarati, Misri na Ufaransa katika masuala ya ndani ya nchi yake.