-
Safari ya Pompeo nchini Saudia na Imarati; njama za Marekani za kuzusha mizozo Mashariki ya Kati
Sep 19, 2019 07:16Mashambulio ya ndege zisizo na rubani dhidi ya taasisi za mafuta za Saudi Arabia ambayo yamepelekea kupungua kwa asilimia 50 uzalishaji mafuta wa nchi hiyo ya Kiarabu, yameiibua Marekani na kuifanya itoe radiamali kuhusiana na jambo hilo.
-
Somaliland yasimamisha ujenzi wa kituo cha kijeshi cha Imarati
Sep 15, 2019 07:43Serikali ya eneo lenye utawala wa ndani la Somaliland nchini Somalia limesimamisha ujenzi wa Umoja wa Falme za Kiarabu wa kituo chake cha kijeshi katika bandari ya Berbera.
-
Wanamgambo wa Saudia na Imarati wazidi kutwangana nchini Yemen
Sep 07, 2019 12:58Baada ya wanamgambo wanaofadhiliwa na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kuimarisha nguvu zao na kuudhibiti mkoa wa Aden hasa baada ya ndege za kivita za Imarati kuwashambulia wanamgambo wanaoungwa mkono na Saudi Arabia, ugomvi baina ya wavamizi wa Yemen umezidi kuonekana.
-
Wakati Waislamu Kashmir wanakandamizwa, UAE yamtunukia Waziri Mkuu wa India nishani ya juu kabisa ya uraia wa heshima
Aug 25, 2019 12:29Hatua ya serikali ya Imarati (UAE) ya kumtunukia Waziri Mkuu wa India Narendra Modi nishani ya juu kabisa ya uraia wa heshima imeamsha moto mkubwa wa malalamiko na ukosoaji wa wanaharakati wa kutetea haki kutokana na ukandamizaji unaoendelea kufanywa na serikali yake dhidi ya Waislamu wa eneo la Kashmir.
-
Wayemeni watolewa mwito wa kuendelea kukabiliana na "Ukoloni wa Saudia na Imarati"
Aug 25, 2019 12:27Kiongozi wa serikali ya uokovu wa kitaifa ya Yemen Abdulaziz bin Habtoor ametoa mwito wa kukabiliana na kile alichokiita Ukoloni wa Saudi Arabia na Imarati.
-
Los Angeles Time: Saudia haina uwezo wa kushinda vita nchini Yemen
Aug 13, 2019 02:33Gazeti la Los Angeles Time limekosoa uvamizi wa kijeshi uliofanywa na Saudi Arabia nchini Yemen na kueleza kwamba haitawezekana kwa utawala wa Aal Saud kushinda vita hivyo.
-
Vibaraka wa Imarati na Saudia waendelea kutwangana risasi katika mji wa Aden, Yemen
Aug 10, 2019 01:18Mapigano yamezuka tena katika mji wa Aden kati ya vikosi vya baraza la mpito la kusini lenye mfungamano na Imarati na vile vilivyo tiifu kwa Abdrabbuh Mansur Hadi, rais wa Yemen aliyejiuzulu, ambavyo vinaungwa mkono na Saudi Arabia.
-
Ripoti: Imarati imeondoa askari wake Yemen kwa sababu Saudia haitashinda vita
Aug 04, 2019 03:05Ripoti iliyofichuliwa hivi karibuni imebaini kuwa Imarati ambayo ni mshirika muhimu katika muungano wa vita vya Saudi Arabia nchini Yemen imeamua kuondoa majeshi yake nchini humo kwa sababu ni muhali kuweza kushinda vita hivyo.
-
Iran na Imarati zasisitiza kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na kudhamini usalama wa Ghuba ya Uajemi
Jul 31, 2019 01:16Kamanda wa kikosi cha walinzi wa mpakani cha jeshi la Polisi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kamanda wa gadi ya pwani ya Imarati wamesisitizia kuimarishwa uhusiano wa kidiplomasia wa nchi mbili na kudhaminiwa usalama wa Ghuba ya Uajemi na Bahari ya Oman.
-
Trump aupiga veto muswada wa Congress wa kupiga marufuku uuzaji silaha kwa Saudia na Imarati
Jul 26, 2019 01:36Katika juhudi za kuzifanya siasa zake za nje kuwa za kibiashara zaidi, Rais Donald Trump wa Marekani amelipa kipaumbele suala la mauzo ya silaha za nchi hiyo.