-
Congress ya Marekani yapasisha muswada wa kupiga marufuku mauzo ya silaha kwa Saudia na Imarati.
Jul 20, 2019 02:26Katika juhudi za kuwaunga mkono washirika wake wa kieneo na kunufaika kifedha na mauzo ya silaha, serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani ilitangaza hali ya hatari bandia ya kitaifa kwa lengo la kukwepa vikwazo vya kisheria vya bunge la nchi hiyo na hivyo kupata mwanya wa kuziuzia Saudia, Imarati na Jordan silaha za thamani ya dola bilioni 8.
-
Njama za Imarati na Marekani za kuibambikizia kesi Ikhwanul Muslimin zafichuliwa
Jul 17, 2019 12:57Naibu Mkuu wa harakati ya Ikhwanul Muslimin ya Misri amefichua kile kilichojadiliwa katika mazungumzo yake na maafisa kadhaa wa nchi za nje katika jela muda mfupi baada ya mapinduzi ya kijeshi ya mwezi Julai 2013 nchini Misri.
-
Saudia yakasirishwa na Imarati kupunguza askari wake Yemen
Jul 12, 2019 15:14Watawala wa Saudi Arabia wameghadhabishwa mno na kitendo cha Umoja wa Falme za Kiarabu cha kuwaondosha nchini Yemen idadi kubwa ya wanajeshi wake.
-
Omar Sahabou: Imarati ina woga wa wimbi la demokrasia
Jul 07, 2019 02:23Mwanasiasa mashuhuri wa Tunisia kutoka chama cha Nidaa Tunis amesema kuwa serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu ina woga wa kupenya demokrasia na kuingia nchini humo; kwa sababu hiyo inafanya jitihada za kuangamiza demokrasia nchini Tunisia.
-
Imarati yaondoa idadi kubwa ya askari wake kutoka Yemen
Jun 29, 2019 04:00Umoja wa Falme za Kiarabu umewaondosha nchini Yemen idadi kubwa ya wanajeshi wake.
-
Balozi wa Imarati Tehran aitwa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran
Jun 23, 2019 03:28Baada ya ndege ya Marekani kuingia katika anga ya Iran na kufanya ujasusi ikitokea katika kambi moja ya kijeshi ya Marekani huko Imarati, balozi mdogo wa Umoja wa Falme za Kiarabu hapa Tehran ameitwa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ili kukabidhiwa malalamiko ya Tehran juu ya kwa nini Abu Dhabi inaruhusu ardhi yake kutumiwa kufanya ujasusi dhidi ya majirani zake.
-
Baada ya vitisho vya Answarullah, Imarati yaondoa vifaru vyake kusini mwa Yemen
Jun 22, 2019 12:06Habari kutoka nchini Yemen zinasema kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) ambayo ni mmoja wa wavamizi wakuu wa ardhi ya Yemen umeondoa vifaru vyake 20 katika mji wa Aden wa kuisni mwa Yemen.
-
Qatar yasisitiza kuwa sera za Saudia ni haribifu katika eneo la Asia Magharibi
Jun 12, 2019 08:08Mohammed bin Abdulrahman bin Jassim Al Thani, Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar akiwa safarini nchini Uingereza amesema: "Saudi Arabia ni nguvu ya uharibifu katika eneo lote la Mashariki ya Kati (Asia Magharibi) na Afrika."
-
Zarif: Imarati inajaribu kuwa Israel ya pili katika Mashariki ya Kati
Jun 12, 2019 07:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema katika mahojiano na televisheni ya al Arabi kuwa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) unatumia mabilioni ya dola kununua silaha huku ukifanya jitihada za kujaribu kuwa Israel ya pili katika eneo.
-
Qatar: Saudia na Imarati zinachochea ugaidi na taharuki katika eneo
Jun 10, 2019 08:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar, Mohammed bin Abdulrahman Aal Thani amesema sera za Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabi zinashadidisha ugaidi na kuchochea taharuki katika eneo la Asia Magharibi na barani Afrika.