Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Imarati

  • Qatar yataka Saudia na Imarati zitimuliwe Baraza la Haki za Binaadamu

    Qatar yataka Saudia na Imarati zitimuliwe Baraza la Haki za Binaadamu

    Jun 23, 2018 09:42

    Baada ya kupita mwaka mmoja tangu kukatwa mahusiano ya nchi za Kiarabu na Qatar na kadhalika kuiwekea vikwazo na mzingiro wa kila upande nchi hiyo, serikali ya Doha imetaka uanachama wa Saudia na Imarati katika Baraza la Haki za Binaadamu usimamishwe.

  • Associated Press: Imarati imetengeneza

    Associated Press: Imarati imetengeneza "Abu Ghuraib" huko Aden

    Jun 20, 2018 22:40

    Shirika la habari la Associated Press limefichua kashfa mpya ya makamanda wa jeshi la Imarati na mawakili wao dhidi ya mamia ya Wayemen wanaoshikiliwa katika jela ya mji wa Aden huko kusini mwa Yemen.

  • Gazeti la Ufaransa lafichua kuwa, askari wa nchi hiyo wanashirikiana na Imarati kuishambulia Yemen

    Gazeti la Ufaransa lafichua kuwa, askari wa nchi hiyo wanashirikiana na Imarati kuishambulia Yemen

    Jun 16, 2018 21:02

    Gazeti moja la Ufaransa limefichua kuwa, askari maalumu wa nchi hiyo wamekuwa wakishirikiana na askari wa Imarati katika vita dhidi ya Yemen.

  • Mufti Mkuu wa Libya aishambulia Imarati kwa kuchochea machafuko nchini mwake

    Mufti Mkuu wa Libya aishambulia Imarati kwa kuchochea machafuko nchini mwake

    Jun 15, 2018 23:34

    Mufti Mkuu wa Libya, Sheikh Sadiq al Ghariani ameushambulia vikali Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kwa kueneza fitna na kuchochea chuki na uhasama katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.

  • Kufichuliwa kushiriki maafisa wa kijeshi wa Marekani katika vita vya Saudia dhidi ya Yemen

    Kufichuliwa kushiriki maafisa wa kijeshi wa Marekani katika vita vya Saudia dhidi ya Yemen

    Jun 14, 2018 05:04

    Kwa mujibu wa wa jarida la Ufaransa la Intelligence Online, Umoja wa Falme za Kiarabu, UAE, umewaajiri maafisa wa jeshi la Marekani waliostaafu ili waweze kuwasaidia wanajeshi wake katika vita dhidi ya Yemen. Imedokezwa kuwa, UAE imewaajiri mamluki hao ambao waliwahi kuhudumu katika ngazi mbali mbali katika Wizara ya Ulinzi ya Marekani, Pentagon.

  • Vikosi vya Yemen vyazima mashambulizi ya Saudia al-Hudaydah

    Vikosi vya Yemen vyazima mashambulizi ya Saudia al-Hudaydah

    Jun 14, 2018 03:38

    Jeshi la Yemen likishirikiana na vikosi vya kujitolewa vya wananchi limefanikiwa kuzima mashambulizi ya muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia, dhidi ya bandari ya al-Hudaydah ambayo ndilo lango kuu la kuingizia misaada ya kibinadamu kwa raia wanaoendelea kuua ovyo wa Yemen.

  • Watunisia waandamana kupinga njama chafu za Imarati dhidi ya nchi yao

    Watunisia waandamana kupinga njama chafu za Imarati dhidi ya nchi yao

    Jun 13, 2018 21:54

    Raia wa Tunisia wamefanya maandamano wakipinga njama chafu na uingiliaji wa Imarati katika masuala ya ndani ya nchi yao.

  • Qatar yaishtaki Imarati katika mahakama ya haki za binadamu ya UN

    Qatar yaishtaki Imarati katika mahakama ya haki za binadamu ya UN

    Jun 12, 2018 09:20

    Qatar imewasilisha faili la kesi dhidi ya Umoja wa Falme za Kiarabu, katika mahakama ya juu zaidi ya Umoja wa Mataifa, ikiituhumu Abu Dhabi kwamba imekiuka haki za binadamu za wananchi wa Qatar, huku mgogoro wa nchi hizo za Kiarabu ukielekea kutimiza mwaka mmoja.

  • Utajiri wa Imarati (UAE) na Saudia unatumikia malengo ya Wazayuni

    Utajiri wa Imarati (UAE) na Saudia unatumikia malengo ya Wazayuni

    Jun 10, 2018 12:19

    Naibu wa Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Palestina katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu amesema, pesa za Imarati (UAE) na Saudi Arabia zinatumiwa kwenye mipango na njama za utawala ghasibu wa Israel kwa lengo la kununua milki za ardhi na majengo za Wapalestina kandokando ya msikiti wa Al-Aqsa.

  • Misri na Imarati zapinga kufanyika uchaguzi wa Rais na Bunge nchini Libya

    Misri na Imarati zapinga kufanyika uchaguzi wa Rais na Bunge nchini Libya

    Jun 09, 2018 22:19

    Misri na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) zimeelezea kutofurahishwa kwao na maamuzi wa mkutano wa mjini Paris Ufaransa kuhusiana na Libya na kusema kuwa zinapinga uchaguzi wa Rais na Bunge uliopangwa kufanyika nchini humo tarehe 10 Disemba mwaka huu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS