Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Katibu Mkuu wa UN atuma rambirambi kufuatia kufa shahidi  Ebrahim Raisi na wenzake

    Katibu Mkuu wa UN atuma rambirambi kufuatia kufa shahidi Ebrahim Raisi na wenzake

    May 21, 2024 08:56

    Antonio Guterres Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametuma salamu za rambirambi kwa familia za shahidi Rais Sayyid Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wenzake aliokuwa amefuatana nao na kutoa mkono wa pole kwa serikali na wananchi wa Iran.

  • Kaimu Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran aarifishwa rasmi Umoja wa Mataifa

    Kaimu Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran aarifishwa rasmi Umoja wa Mataifa

    May 21, 2024 08:51

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa wa Mataifa katika barua rasmi kwa Umoja wa Mataifa amewaarifisha katika taasisi hiyo ya kimataifa Kaimu Rais na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kuwa viongozi wa muda katika nyadhifa hizo.

  • Iran yatangaza tarehe ya uchaguzi wa rais; Sayyid Raisi kuzikwa Alkhamisi

    Iran yatangaza tarehe ya uchaguzi wa rais; Sayyid Raisi kuzikwa Alkhamisi

    May 21, 2024 03:50

    Iran imetangaza Juni 28, 2024 kuwa tarehe ya kufanyika uchaguzi wa rais, kufuatia kufa shahidi Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu katika ajali ya helikopta iliyotokoea Jumapili katika mkoa wa Azarbaijan Mashariki, kaskazini magharibi mwa Iran.

  • Serikali: Uchaguzi wa rais wa Iran utafanyika ndani ya siku 50

    Serikali: Uchaguzi wa rais wa Iran utafanyika ndani ya siku 50

    May 20, 2024 04:19

    Msemaji wa Baraza la Kulinda Katiba ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema baraza maalumu litaundwa kwa ajili ya kuandaa mazingira ya kufanyika uchaguzi wa rais katika kipindi cha siku 50 zijazo.

  • Viongozi wa dunia wasikitishwa na kifo cha Rais wa Iran

    Viongozi wa dunia wasikitishwa na kifo cha Rais wa Iran

    May 20, 2024 03:54

    Viongozi wa mataifa mbali mbali duniani wameendelea kutoa mkono wa pole kufuatia vifo vya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Sayyid Ebrahim Raisi pamoja na wenzake kadhaa katika ajali ya helikopta iliyotokea jana katika mkoa wa Azarbaijan Mashariki, kaskazini magharibi mwa Iran.

  • Rais Ebrahim Raisi na ujumbe aliofuatana nao, wafa shahidi katika ajali ya helikopta

    Rais Ebrahim Raisi na ujumbe aliofuatana nao, wafa shahidi katika ajali ya helikopta

    May 20, 2024 02:10

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Seyed Ebrahim Raisi na viongozi kadhaa aliofuatana nao wamekufa shahidi katika ajali ya helikopta iliyotokea katika eneo la Varzghan mkoani Azerbaijan Mashariki wakiwa katika kazi ya kuwahudumia na kuwatumikia wananchi.

  • Imethibitishwa: Rais Ebrahim Raisi na wenzake wameaga dunia katika ajali ya helikopta

    Imethibitishwa: Rais Ebrahim Raisi na wenzake wameaga dunia katika ajali ya helikopta

    May 20, 2024 01:20

    Habari iliyotufikia hivi punde inasema kuwa, imethibitika kuwa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Sayyid Ebrahim Raisi ameaga dunia akiwa na wenzake kadhaa katika ajali ya helikopta iliyotokea jana katika mkoa wa Azarbaijan Kashariki, kaskazini magharibi mwa Iran.

  • Iran yakanusha taarifa 'isiyokubalika' ya Arab League kuhusu visiwa vyake vitatu vilivyoko Ghuba ya Uajemi

    Iran yakanusha taarifa 'isiyokubalika' ya Arab League kuhusu visiwa vyake vitatu vilivyoko Ghuba ya Uajemi

    May 18, 2024 23:16

    Nasser Kan’ani, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, amesisitiza kuwa visiwa vitatu vya Bu Musa na Tunb Kubwa na Ndogo vilivyoko katika Ghuba ya Uajemi vitaendelea kuwa sehemu isiyotenganishika ya ardhi ya Iran na kwamba madai yasiyo na msingi yanayotolewa na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusu suala hilo hayakubaliki kabisa.

  • Iran yaikataa taarifa 'isiyokubalika' ya Arab League kuhusu visiwa vyake vitatu vilivyoko Ghuba ya Uajemi

    Iran yaikataa taarifa 'isiyokubalika' ya Arab League kuhusu visiwa vyake vitatu vilivyoko Ghuba ya Uajemi

    May 17, 2024 04:49

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetupilia mbali kauli "isiyo na msingi" na "isiyokubalika" iliyotolewa na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusiana na visiwa vitatu vya Abu Musa na Tunb Kubwa na Ndogo vilivyoko katika Ghuba ya Uajemi na kusisitiza kuwa visiwa hivyo vitabaki kuwa milki ya Iran.

  • "Mauaji ya watoto 15,000 wa Gaza yanaashiria mwisho wa Israel"

    May 14, 2024 23:49

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hakuna shaka kuwa mauaji ya watoto zaidi ya 15,000 wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza itakuwa chachu ya kuharakisha mchakato wa kuporomoka na kusambaratika utawala wa Kizayuni wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS