Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran: Mapambano dhidi ya Israel yanaweza kuchukua mkondo mpana

    Iran: Mapambano dhidi ya Israel yanaweza kuchukua mkondo mpana

    Oct 13, 2023 00:02

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel ambayo yameutumbukiza Ukanda wa Gaza katika vita haribifu na vya kuogofya, huenda yakachukua mikondo mipya na mipana zaidi.

  • Spika wa Iran azungumza na maspika wa nchi 7 za Kiislamu kuhusu jinai za Wazayuni Palestina

    Spika wa Iran azungumza na maspika wa nchi 7 za Kiislamu kuhusu jinai za Wazayuni Palestina

    Oct 12, 2023 10:00

    Spika wa Majlisi ya Ushauri wa Kiislamu (Bunge la Iran) amefanya mazungumzo ya simu kwa nyakati tofauti na maspika wa mabunge ya nchi za Kiislamu za Uturuki, Algeria, Syria, Imarati, Lebanon, Oman na Kuwait na kuwahimiza wajibu wa kuchukuliwa hatua za haraka za kukomesha jinai za Wazayuni katika Ukanda wa Ghaza huko Palesitna.

  • Raisi: Kinachotokea katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu ni kielelezo cha  jinai dhidi ya binadamu

    Raisi: Kinachotokea katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu ni kielelezo cha jinai dhidi ya binadamu

    Oct 12, 2023 08:38

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa: Kile kinachotokea katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na Ukanda wa Ghaza dhidi ya raia wa Palestina ni kielelezo cha jinai dhidi ya binadamu.

  • Katika mazungumzo yao ya kwanza: Rais wa Iran na Mwanamfalme wa Saudia wajadili hali ya Gaza

    Katika mazungumzo yao ya kwanza: Rais wa Iran na Mwanamfalme wa Saudia wajadili hali ya Gaza

    Oct 12, 2023 05:55

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia wamezungumza kwa njia ya simu kuhusu matukio ya Palestina na ulazima wa kusitishwa jinai za kivita zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Gadi za pwani za Iran zafanya mazoezi makubwa ya kijeshi fukwe za kusini

    Gadi za pwani za Iran zafanya mazoezi makubwa ya kijeshi fukwe za kusini

    Oct 11, 2023 09:15

    Gadi za Pwani za Iran zimeanza mazoezi makubwa ya kijeshi katika fukwe za Ghuba ya Uajemi, Bahari ya Oman na kaskazini ya Bahari Hindi.

  • Iran: Tuko tayari kuongoza mkutano wa nchi za Kiislamu kujadili Palestina

    Iran: Tuko tayari kuongoza mkutano wa nchi za Kiislamu kujadili Palestina

    Oct 10, 2023 10:10

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ipo tayari kuwa mwenyeji wa mkutano wa dharura wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC), kwa ajili ya kuzungumzia kadhia ya Palestina.

  • "Operesheni ya al-Aqsa imegeuza ndoto ya kuporomoka Israel kuwa uhalisia"

    Oct 09, 2023 03:50

    Mkuu wa Komandi Kuu ya Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ndoto na jinamizi la kuangamia na kupomoka kwa utawala wa Kizayuni wa Israel sasa imegeuka kuwa hali halisi kutokana na Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa.

  • Kan'ani: Tuzo ya Amani ya Nobel inatolewa kisiasa

    Kan'ani: Tuzo ya Amani ya Nobel inatolewa kisiasa

    Oct 07, 2023 03:57

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa hatua ya waandaaji wa Tuzo ya Amani ya Nobel kumpa tuzo hiyo mwanamke wa Kiirani ambaye ameshitakiwa mara kadhaa kwa kufanya vitendo vya jinai hapa nchini.

  • Rais Ebrahim Raisi: Madola yanayowaunga mkono magaidi yanabeba dhima ya shambulizi la Damascus

    Rais Ebrahim Raisi: Madola yanayowaunga mkono magaidi yanabeba dhima ya shambulizi la Damascus

    Oct 06, 2023 23:53

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani shambulio la kigaidi lililotokea Syria akisema waungaji mkono wa kigeni wa magaidi, wakiwemo wale wanaokalia kwa mabavu ardhi za nchi hiyo, ndio wanaobeba dhima ya hujuma hiyo.

  • Qalibaf aendelea na mashauriano huko Abu Dhabi; akutana na Rais wa Imarati

    Qalibaf aendelea na mashauriano huko Abu Dhabi; akutana na Rais wa Imarati

    Oct 06, 2023 04:20

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kuhusu kustawisha uhusiano wa pande mbili.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS