Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran: Mkuu wa UN achukue msimamo mkali dhidi ya kuvunjiwa heshima Qurani

    Iran: Mkuu wa UN achukue msimamo mkali dhidi ya kuvunjiwa heshima Qurani

    Jul 21, 2023 04:27

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemuandikia barua Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, akimtaka achukue msimamo mkali dhidi ya vitendo vya kuvunjiwa heshima Qurani Tukufu.

  • Waziri wa Ulinzi: Hakuna anayeweza kuitishia Iran yenye nguvu

    Waziri wa Ulinzi: Hakuna anayeweza kuitishia Iran yenye nguvu

    Jul 19, 2023 08:09

    Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu hivi sasa ina nguvu na uwezo mkubwa wa kiulinzi, na kwamba hakuna yeyote anayeweza kulitishia taifa hili.

  • Sisitizo la Russia la kuheshimu umoja wa ardhi yote ya Iran

    Sisitizo la Russia la kuheshimu umoja wa ardhi yote ya Iran

    Jul 16, 2023 04:34

    Mikhail Bogdanov, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia na mwakilishi maalumu wa rais wa nchi hiyo katika masuala ya Asia Magharibi na Afrika, amesisitiza juu ya kuheshimiwa mamlaka na umoja wa ardhi yote ya Iran kama nchi rafiki. Bogdanov ameyasema hayo katika mkutano na Kazem Jalali, Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Moscow.

  • Benki ya Dunia: Iran inaongoza duniani katika upatikanaji wa maji safi ya kunywa mijini na vijijini

    Benki ya Dunia: Iran inaongoza duniani katika upatikanaji wa maji safi ya kunywa mijini na vijijini

    Jul 15, 2023 04:18

    Benki ya Dunia imetangaza katika ripoti yake kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inashika nafasi ya kwanza katika upatikanaji wa maji safi ya kunywa mijini na vijijini kote ulimwenguni na miongoni mwa nchi za eneo la Asia Magharibi.

  • Rais Raisi: Afrika ni bara la fursa ambazo hazipasi kupuuzwa

    Rais Raisi: Afrika ni bara la fursa ambazo hazipasi kupuuzwa

    Jul 14, 2023 08:30

    Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu amesisitiza haja ya kukuza uhusiano na mataifa ya Afrika, akilielezea bara hilo kama ardhi ya fursa na kwamba uwezo wake haupasi kupuuzwa.

  • Zimbabwe, kituo cha mwisho cha safari ya Rais wa Iran barani Afrika

    Zimbabwe, kituo cha mwisho cha safari ya Rais wa Iran barani Afrika

    Jul 13, 2023 22:44

    Rais Ibrahim Rais wa Jamhuri ya Kiislamu jana Alkhamisi aliwasili Harare mji mkuu wa Zimbabwe ambapo alikutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa nchi hiyo akiwemo mwenyeji wake, Rais Emerson Mnangagwa.

  • Rais wa Iran awasili Zimbabwe, kituo cha mwisho cha safari yake ya kiduru Afrika

    Rais wa Iran awasili Zimbabwe, kituo cha mwisho cha safari yake ya kiduru Afrika

    Jul 13, 2023 06:31

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewesili Harare mji mkuu wa Zimbabwe kikiwa ni kituo chache cha tatu na cha mwisho katika safari yake hii ya kiduru ya kuzitembelea nchi kadhaa za Kiafrika.

  • Safari ya Rais wa Iran nchini Uganda+VIDEO

    Safari ya Rais wa Iran nchini Uganda+VIDEO

    Jul 13, 2023 07:39

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa dini mbalimbali nchini Uganda akiwemo Mufti Mkuu Sheikh Shaaban Ramadhan Mubaje

  • Rais wa Iran awashambulia Wamagharibi kwa kutetea vitendo vichafu vya ushoga

    Rais wa Iran awashambulia Wamagharibi kwa kutetea vitendo vichafu vya ushoga

    Jul 13, 2023 06:10

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyashambulia madola ya Maagharibi kutokana na hatua yao ya kutetea vitendo vichafu vya ushoga na mahusiano ya kingono ya watu wa jinsia moja.

  • Raisi aondoka Kampala kuelekea ziarani Harare

    Raisi aondoka Kampala kuelekea ziarani Harare

    Jul 13, 2023 04:40

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo Alhamisi ameondoka Kampala na kuelekea Harake mji mkuu wa Zimbabwe baada ya kukamilisha ziara huko Uganda.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS