Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Balozi wa Iran: Israel inataka kuvuruga uhusiano wa Tehran, Riyadh

    Balozi wa Iran: Israel inataka kuvuruga uhusiano wa Tehran, Riyadh

    Jun 08, 2023 21:54

    Balozi mpya wa Iran nchini Saudi Arabia amesema Israel imekerwa na kuhamakishwa na hatua ya kuhuishwa uhusiano wa kidiplomasia wa Tehran na Riyadh, na kwamba utawala huo wa Kizayuni umeazimia kuuvuruga uhusiano huo.

  • Kan'ani: Shughuli za makombora za Iran ni za kawaida na zinafanyika kihalali

    Kan'ani: Shughuli za makombora za Iran ni za kawaida na zinafanyika kihalali

    Jun 08, 2023 08:05

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, shughuli za makombora za taifa hili ni za kawaida na zinafanyika kwa njia ya halali.

  • Ufunguzi wa ubalozi wa Iran nchini Saudi Arabia; kushindwa kwingine kwa siasa za kikanda za Marekani

    Ufunguzi wa ubalozi wa Iran nchini Saudi Arabia; kushindwa kwingine kwa siasa za kikanda za Marekani

    Jun 07, 2023 21:58

    Sambamba na kufufuliwa uhusiano wa kisiasa na kidiplomasia kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Ufalme wa Saudi Arabia, ubalozi wa Iran mjini Riyadh ulifunguliwa tena Jumanne, Juni 6 baada ya kufungwa kwa miaka saba.

  • Uwepo wa Iran kwenye jumuiya za SCO, BRICS unaashiria kufeli sera ya kuitenga nchi hii

    Uwepo wa Iran kwenye jumuiya za SCO, BRICS unaashiria kufeli sera ya kuitenga nchi hii

    Jun 06, 2023 01:34

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema uwepo amilifu wa Iran kwenye Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) na Kundi la BRICS ni ithibati na ya kufeli na kusambaratika sera ya kuitenga Iran.

  • US yahamakishwa na muungano wa baharini wa Iran, Saudia, nchi za Ghuba ya Uajemi

    US yahamakishwa na muungano wa baharini wa Iran, Saudia, nchi za Ghuba ya Uajemi

    Jun 04, 2023 23:05

    Jeshi la Baharini la Marekani limetiwa kiwewe na tangazo la Iran la kutaka kuundwa muungano wa vikosi vya baharini vya Jamhuri ya Kiislamu, Saudi Arabia na nchi nyingine za Ghuba ya Uajemi.

  • Imam Khomeini; shakhsia wa kimataifa na nembo ya kupinga ubeberu

    Imam Khomeini; shakhsia wa kimataifa na nembo ya kupinga ubeberu

    Jun 04, 2023 23:03

    Jumapili ya jana ilisadifiana na siku ya kukumbuka kifo cha Imam Khomeini (MA), mwasisi wa Mapinduzi ya Kiislamu na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Raisi: Iran iko tayari kuimarisha uhusiano na nchi rafiki

    Raisi: Iran iko tayari kuimarisha uhusiano na nchi rafiki

    Jun 04, 2023 08:13

    Rais wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kuimarisha uhusiano wake na nchi ambazo zimetangaza utayarifu wao wa kuhuisha uhusiano na Tehran.

  • Al-Qaddumi: Kadhia ya Palestina ni kipaumbele cha sera za nje za Iran

    Al-Qaddumi: Kadhia ya Palestina ni kipaumbele cha sera za nje za Iran

    Jun 03, 2023 02:47

    Mwakilishi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) nchini Iran amesema kuwa, kwa miaka mingi sasa baada ya kupata ushindi Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, kadhia ya Palestina imeendelea kuwa kipaumbele cha sera za nje za Jamhuri ya Kiislamu.

  • Iran yakamata zaidi ya tani ya madawa ya kulevya kusini mashariki mwa nchi

    Iran yakamata zaidi ya tani ya madawa ya kulevya kusini mashariki mwa nchi

    Jun 02, 2023 02:56

    Kamanda wa walinzi wa mpakani wa mkoa wa Sistan na Baluchistan wa kusini mashariki mwa Iran amesema kuwa, askari walioko chini ya amri yake wamefanikiwa kuangamiza magenge kadhaa ya magendo ya mihadarati na kukamata zaidi ya tani moja na kilo 370 za madawa ya kulevya.

  • Iran na Afrika Kusini zatilia mkazo kustawisha uhusiano baina yao katika nyanja zote

    Iran na Afrika Kusini zatilia mkazo kustawisha uhusiano baina yao katika nyanja zote

    Jun 01, 2023 22:43

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Afrika Kusini wamekutana pambizoni mwa kikao cha kundi la BRICS na kutilia mkazo wajibu wa kustawishwa uhusiano wa pande mbili katika nyanja zote.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS