Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Amir Abdollahian:Kushiriki katika makongamano ya kimataifa ni moja ya hatua za sera za kigeni za serikali ya Iran

    Amir Abdollahian:Kushiriki katika makongamano ya kimataifa ni moja ya hatua za sera za kigeni za serikali ya Iran

    Jun 01, 2023 02:51

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameutaja ushiriki chanya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika makongamano ya kimataifa kuwa moja ya hatua za doktrini za sera za nje zenye mlingano za serikali ya Iran.

  • Wanasiasa wa Misri wakaribisha kustawishwa uhusiano wa Tehran na Cairo

    Wanasiasa wa Misri wakaribisha kustawishwa uhusiano wa Tehran na Cairo

    May 31, 2023 03:23

    Wanasiasa na viongozi wa Misri wamekaribisha kwa mikono miwili juhudi za kuhuishwa na kurejeshwa uhusiano wa Iran na Misri.

  • Kiongozi Muadhamu: Iran inakaribisha kuhuishwa uhusiano wake na Misri

    Kiongozi Muadhamu: Iran inakaribisha kuhuishwa uhusiano wake na Misri

    May 29, 2023 08:02

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema Iran inakaribisha azma ya kufufuliwa uhusiano wake na Misri.

  • Uzushi na undumakuwili wa Zelensky dhidi ya Iran

    Uzushi na undumakuwili wa Zelensky dhidi ya Iran

    May 28, 2023 21:54

    Rais wa Ukraine kwa mara nyingine tena ameitaka Iran isiipatie Russia ndege za kivita zisizo na rubani kauli ambayo ameitoa kwa kutegemea madai bandia ambayo yamepingwa mara kadhaa na Iran na pia Ukraine haijaweza kutoa ushahidi wowote wa maana kuhusu madai hayo.

  • Idadi ya watalii wanaoitembelea Iran yaongezeka kwa asilimia 300

    Idadi ya watalii wanaoitembelea Iran yaongezeka kwa asilimia 300

    May 28, 2023 03:28

    Shirika la Kimataifa la Utalii la Umoja wa Mataifa (UNWTO) limesema zaidi ya watalii milioni 4.1 waliitembelea Iran mwaka jana 2022, hilo likiwa ni ongezeko la asilimia 315 ikilinganishwa na mwaka juzi 2021.

  • Askari 2 wa Iran wauawa katika shambulio la kichokozi la Taliban; utulivu warejea

    Askari 2 wa Iran wauawa katika shambulio la kichokozi la Taliban; utulivu warejea

    May 27, 2023 22:59

    Askari wawili wa mpakani wa Iran wameuawa shahidi huku raia wawili wakijeruhiwa katika shambulizi la kichokozi la wapiganaji wa Taliban katika mpaka wa Jamhuri ya Kiislamu na Afghanistan.

  • "Waliomzatiti kwa silaha Saddam wanatiwa kiwewe na uwezo wa kiulinzi wa Iran"

    May 26, 2023 22:18

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amejibu kile kilichotajwa kuwa 'wasiwasi' wa nchi za Magharibi juu ya ustawi na mafanikio ya Jamhuri ya Kiislamu katika uga wa ulinzi na kusisitiza kuwa, madola hayo yanayotiwa kiwewe na uwezo mkubwa wa kiulinzi wa Iran ndiyo yaliyomshajiisha na kumzatiti kwa silaha dikteta wa zamani wa Iraq, Saddam Hussein ili awashambulie Wairani.

  • Mwanadiplomasia wa Iran, Assadollah Assadi, aliyekamatwa Ubelgiji arejea nchini

    Mwanadiplomasia wa Iran, Assadollah Assadi, aliyekamatwa Ubelgiji arejea nchini

    May 26, 2023 22:06

    Assadollah Assadi, mwanadiplomasia wa Iran ambaye alikuwa akishikiliwa kinyuma cha sheria gerezani nchini Ubelgiji amerejea Tehran siku ya Ijumaa.

  • Iran yaipongeza Afrika kwa maadhimisho ya miaka 60 ya AU

    Iran yaipongeza Afrika kwa maadhimisho ya miaka 60 ya AU

    May 26, 2023 06:47

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameyapongeza mataifa ya Afrika kwa mnasaba wa maadhimisho ya miaka 60 ya kuundwa Umoja wa Afrika.

  • Abdollahian: Iran haiitambui serikali ya sasa ya Afghanistan

    Abdollahian: Iran haiitambui serikali ya sasa ya Afghanistan

    May 25, 2023 21:56

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haiutambua mfumo wa serikali unaoongoza hivi sasa nchini Afghanistan.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS