-
Waziri wa Ulinzi wa Iran: Ujumbe wa Kuzinduliwa kombora la "Khaiber" ni kudumisha amani
May 25, 2023 03:16Waziri wa Ulinzi wa Iran ameutaja ujumbe wa kuzindua kombola la balistiki la Kiirani klililopewa jina la "Khaiber" kuwa ni kwa ajili ya kusaidia amani na utulivukatika eneo la Magharibi mwa Asia.
-
HAMAS yawaonya Wazayuni wasitoe vitisho dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
May 24, 2023 02:05Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ameuonya utawala wa Kizayuni usitoe vitisho dhidi ya Iran akisisitiza kuwa, vitisho hivyo vya Israel dhidi ya nchi za kambi ya muqawama, vinaonesha hofu na kiwewe ilicho nacho Tel Aviv kutokana na nguvu za wanamapambano wa kambi ya muqawama katika kona zote za ukanda huu.
-
Raisi: Mabadilishano ya kibiashara kati ya Iran na Indonesia yatafanyika kwa kutumia sarafu za taifa
May 23, 2023 10:03Rais Ebrahim Raisi amesema: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Indonesia zimeamua kufanya mabadilishano ya kibiashara kwa kutumia sarafu zao za taifa.
-
Rais wa Iran awasili Jakarta, Indonesia kwa ziara rasmi ya siku mbili
May 22, 2023 23:57Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasili Jakarta mji mkuu wa Indonesia kwa ziara rasmi ya siku mbili.
-
Rais wa Iran ahimiza hatua za kivitendo kuimarisha uhusiano na Waislamu, mataifa jirani
May 22, 2023 00:16Rais Ebrahim Raisi wa Iran ameihimiza serikali kujihusisha kikamilifu zaidi katika hatua za kivitendo za kuboresha uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu na nchi za Kiislamu na jirani.
-
Iran yampongeza Guterrez kwa kuunga mkono mazungumzo ya kikanda
May 19, 2023 01:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wamefanya mazungumzo kuhusu matukio ya kikanda na kimataifa.
-
Iran yalaani tuhuma zisizo na msingi na za udanganyifu zinazotolewa na nchi za G7
May 18, 2023 08:02Iran imelaani vikali tuhuma zilizotolewa na mawaziri wa fedha wa Kundi la Mataifa Saba yaliyoendelea kiuchumi (G7) na imewataka kukomesha ushiriki wao katika vikwazo haramu vya Marekani badala ya kutoa madai "yasiyo na msingi" dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Kamanda: Marekani ilishindwa kuuzuia msafara wa manowari za Iran kuvuka Mfereji wa Panama
May 14, 2023 22:11Kamanda wa jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Naibu Admeri Shahram Irani amesema, Marekani ilishindwa kuzuia kundi la 86 la manowari za Jeshi la Wanamaji la Iran kupita kwenye Mfereji wa Panama.
-
Ujumbe wa kuchaguliwa Iran kama mwenyekiti wa Jukwaa la Kijamii la Haki za Kibinadamu
May 13, 2023 21:54Ali Bahraini, balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mashirika ya kimataifa mjini Geneva amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa kikao cha 19 cha Jukwaa la Kijamii la Baraza la Haki za Binadamu mwaka 2023.
-
Iran na Saudia zimo kwenye mkondo wa kuimarisha uhusiano wa kiuchumi
May 13, 2023 06:52Waziri wa Uchumi wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu na Saudi Arabia hivi sasa zimo kwenye mkondo wa kuimarisha uhusiano wao wa kiuchumi na wameshafikia hatua nzuri.