-
Iran yazindua awamu ya operesheni ya mradi wa Satalaiti wa Jenerali Soleimani
Jan 23, 2023 01:24Mkuu wa Shirika la Anga za Juu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza kuzinduliwa kwa awamu ya operesheni ya mradi wa kwanza wa mfumo wa satelaiti nchini, uliopewa jina la kamanda wa ngazi ya juu wa kupambana na ugaidi wa Iran, Jenerali Qassem Soleimani.
-
Iran na Zimbabwe kusaini makubaliano ya kuimarisha ushirikiano
Jan 22, 2023 04:21Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Zimbabwe zinanatazamiwa kusaini hati kadhaa za makubaliano ya kuimarisha ushirikiano wa pande mbili ndani ya wiki kadhaa zijazo.
-
Spika: Majlisi ya Iran itachukua 'hatua nzito' mkabala wa Bunge la Ulaya
Jan 21, 2023 06:55Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ameashiria hatua ya Bunge la Ulaya iliyo dhidi ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) na kusema kuwa, iwapo Ulaya inataka 'kufunga mlango wa mantiki' na kuunga mkono ugaidi, basi Jamhuri ya Kiislamu ipo tayari kuchukua hatua nzito ya kujibu mapigo.
-
Umoja wa Ulaya washadidisha uingiliaji katika masuala ya ndani ya Iran
Jan 19, 2023 23:13Katika muendelezo wa uingiliaji wa Umoja wa Ulaya katika masuala ya ndani ya Iran, Bunge la Ulaya linatafakari na kujadili suala la kuliweka Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) katika kile kinachoitwa orodha ya mashirika ya kigaidi.
-
Iran: EU imefanya kosa kubwa kuiweka IRGC katika orodha ya ugaidi
Jan 19, 2023 07:08Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Bunge la Ulaya limefanya kosa kubwa kwa kupiga kura ya kuutaka Umoja wa Ulaya na nchi wanachama wa EU kuliweka Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) katika orodha ya makundi ya kigaidi.
-
Kwa mnasaba wa Siku ya Gaza, Waarabu watakiwa kuwa bega kwa bega na Muqawama kama ilivyo Iran
Jan 18, 2023 23:32Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, Iran inaunga mkono kishujaa kadhia na piganio tukufu la Palestina; na inavyotarajiwa, nchi za Kiarabu nazo pia zichukue msimamo kama huo wa Tehran.
-
Amir-Abdollahian: Uhusiano wa Iran na Uturuki upo katika mkondo sahihi
Jan 17, 2023 09:45Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema uhusiano wa pande mbili wa Jamhuri ya Kiislamu na Uturuki upo katika mkondo sahihi.
-
Radiamali hasi ya Madola ya Magharibi ya kunyongwa jasusi wa Uingereza nchini Iran
Jan 15, 2023 08:13Kunyongwa Ali Reza Akbari, jasusi wa shirika la kijasusi la Uingereza la MI6 kumekabiliwa na matamshi ya pupa na radiamali tofauti na hasi za madola ya Magharibi. Radiamali hizo zinaonyesha kupata pigo kubwa mipango ya kijasusi ya Magharibi dhidi ya Iran.
-
UK yamuita nyumbani balozi wake baada ya Iran kumnyonga jasusi wa MI6
Jan 15, 2023 03:39Katika hatua nyingine ya uingiliaji kati wa mambo, London imemuita nyumbani balozi wa Uingereza mjini Tehran eti kwa ajili ya mashauriano, kufuatia hatua ya Idara ya Mahakama ya Iran kumnyonga Ali Reza Akbari, aliyekuwa jasusi wa shirika la kijasusi la Uingereza la MI6.
-
Uingereza yahamakishwa na kunyongwa jasusi wake nchini Iran
Jan 14, 2023 22:54Waziri Mkuu wa Uingereza ameshindwa kuzuia na kuficha hamaki zake baada ya jasusi wa nchi hiyo kutiwa mbaroni na kunyongwa nchini Iran na amedai kuwa kunyongwa jasusi huyo ni kitendo cha kikatili na cha woga.