Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Sababu za umuhimu wa safari ya Amir-Abdollahian nchini Lebanon

    Sababu za umuhimu wa safari ya Amir-Abdollahian nchini Lebanon

    Jan 14, 2023 22:52

    Hossein Amirabdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kuzungumza na Abdallah Bou Habib, Waziri mwenzake wa Mambo ya Nje wa Lebanon katika safari yake mjini Beirut na kusisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran daima itaendelea kuwa rafiki mwaminifu na wa kutegemewa wa Lebanon.

  • Lebanon yapongeza misaada, uungaji mkono wa Iran

    Lebanon yapongeza misaada, uungaji mkono wa Iran

    Jan 14, 2023 00:20

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon, Abdullah Bou Habib amesifu na kupongeza misaada na uungaji mkono wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa taifa hilo la Kiarabu.

  • Iran yamuita balozi wa Iraq kulalamikia utumiaji wa neno bandia la Ghuba ya Uajemi

    Iran yamuita balozi wa Iraq kulalamikia utumiaji wa neno bandia la Ghuba ya Uajemi

    Jan 11, 2023 08:01

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imemuita balozi wa Iraq mjini Tehran, kulalamikia kitendo cha mamlaka za Baghdad kutumia neno bandia la 'Ghuba ya Kiarabu' badala ya 'Ghuba ya Uajemi' katika mashindano ya kandanda ya nchi za Kiarabu, yanayoendelea katika mji bandari wa Basra, kusini mwa Iraq.

  • Muelekeo wa kiundumakuwili na wenye mgongano wa Marekani kuhusiana na JCPOA

    Muelekeo wa kiundumakuwili na wenye mgongano wa Marekani kuhusiana na JCPOA

    Jan 11, 2023 05:48

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Marekani Ned Price amesema, hatua ya upande mmoja iliyochukuliwa na serikali ya rais wa zamani wa nchi hiyo Donald Trump ya kujitoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ni kosa kubwa zaidi la kistratejia lililofanywa katika miaka ya karibuni kwa upande wa sera za nje za Washington.

  • Iran kuwa mwenyeji wa nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS)

    Iran kuwa mwenyeji wa nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS)

    Jan 09, 2023 07:20

    Tehran karibuni hivi inatazamiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa kwanza baina ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Magharibi mwa Afrika (ECOWAS).

  • Jenerali Salami: Hakuna shaka tutalipiza kisasi cha mauaji ya Shahidi Soleimani

    Jenerali Salami: Hakuna shaka tutalipiza kisasi cha mauaji ya Shahidi Soleimani

    Jan 09, 2023 00:40

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) amesema Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu alivunja na kusambaratisha njama za maadui wa taifa hili, na kwamba wahusika wa mauaji yake wanapaswa kufahamu kuwa lazima Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itachukua hatua kujibu kitendo cha kigaidi cha kumuua shahidi kamanda huyo.

  • Iran yalitaka Baraza la Usalama la UN lilaani jinai, hujuma za Israel dhidi ya al-Aqsa

    Iran yalitaka Baraza la Usalama la UN lilaani jinai, hujuma za Israel dhidi ya al-Aqsa

    Jan 07, 2023 07:58

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amelaani vikali kitendo cha Waziri wa Usalama wa Israel mwenye misimamo ya kuchupa mipaka cha kuuvunjia heshima Msikiti mtukufu wa al-Aqsa.

  • Raisi: Mafanikio ya sekta ya anga za mbali ya Iran ni ithibati ya kufeli kwa vikwazo

    Raisi: Mafanikio ya sekta ya anga za mbali ya Iran ni ithibati ya kufeli kwa vikwazo

    Jan 05, 2023 03:49

    Rais wa Iran amesema mafanikio ya Jamhuri ya Kiislamu katika sekta ya anga za mbali ni ishara tosha ya kufeli na kugonga mwamba vikwazo vya Wamagharibi na njama zao za kutaka kulitenga taifa hili.

  • Iran yamuita balozi wa Ufaransa kulalamikia uafriti wa 'Charlie Hebdo'

    Iran yamuita balozi wa Ufaransa kulalamikia uafriti wa 'Charlie Hebdo'

    Jan 05, 2023 00:01

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imemuita balozi wa Ufaransa mjini Tehran, Nicolas Roche kulalamikia vikali kitendo cha jarida la Kifaransa cha kutukana na kuvunjia heshima matukufu ya Kiislamu na thamani za kitaifa na kidini za Jamhuri ya Kiislamu.

  • Kamanda wa Iran: Jibu kali linawasubiri wavamizi wa taifa hili

    Kamanda wa Iran: Jibu kali linawasubiri wavamizi wa taifa hili

    Jan 01, 2023 04:12

    Naibu Mratibu wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameonya kuwa, chockochoko zozote za maadui zinazolenga kuhujumu uhuru na mamlaka ya kujitawala nchi hii zitakabiliwa kwa jibu kali la kijeshi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS