-
Bunge la EU launga mkono ghasia nchini Iran, lavunja uhusiano na Tehran
Nov 22, 2022 04:42Katika hatua isiyo ya kidiplomasia na inayolenga kushajiisha zaidi fujo na ghasia hapa nchini Iran, Bunge la Umoja wa Ulaya limetangaza kukata uhusiano na Jamhuri ya Kiislamu.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi: Shari bila shaka itasambaratishwa
Nov 19, 2022 08:56Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema lengo kuu la wachochezi wa machafuko ya hivi karibuni ni kuliingiza taifa la Iran katika medani na kuongeza kuwa: "Mchafuko hayo bila shaka yatakomeshwa na taifa kuendelea kusonga mbele kwa nguvu zaidi na ari mpya katika uwanja wa maendeleo ya nchi."
-
Russia na China zapinga azimio la Bodi ya Magavana ya Wakala wa IAEA dhidi ya Iran
Nov 19, 2022 08:22Azimio jipya la Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) dhidi ya miradi ya nyuklia ya Iran yenye malengo ya amani limepasishwa ambapo limetuma ujumbe ulio wazi kufuatia kupungua kwa kura za nchi zilizoliunga mkono licha ya mashinikizo mapya ya kisiasa ya Marekani na Troika ya Ulaya dhidi ya Iran.
-
Kunyamazia mashambulio ya kigaidi yanayofanywa Iran hakuna tija nyingine isipokuwa kuimarisha ugaidi
Nov 19, 2022 04:17Wizara ya Mambo ya Nje imetoa taarifa ambayo mbali na kulaani vitendo vya kigaidi katika miji ya Izeh, Esfahan na Mashhad imesisitiza kuwa: hakuna shaka kuwa kimya cha makusudi cha waenezaji fujo na machafuko ndani ya Iran wa kutokea nje ya nchi mbele ya hujuma zillizo dhahir shahir za kigaidi zilizofanywa katika miji kadhaa ya Iran, hakina matokeo mengine isipokuwa kuimarisha ugaidi ulimwenguni.
-
Abdollahian azihutubu Israel, Magharibi: Iran si Libya au Sudan
Nov 17, 2022 23:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema maadui wameelekeza mashambulizi yao dhidi ya ardhi na utambulisho wa Iran kwa kuunga mkono harakati za ugaidi ndani ya nchi; lakini njama hizo zimegonga mwamba kutokana na kusimama kidete Wairani.
-
SEPAH: Ndoto ya adui ya kuigawa vipande vipande Iran kamwe haitoaguka
Nov 17, 2022 22:54Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesisitiza kuwa, Marekani ina hamu ya kuwaona vijana wa Iran wanauawa mitaani na kuona nyuso za watu zinasinyaa, wananchi wanakasirika na Iran inagawanyika vipande vipande, lakini ndoto hiyo ya kishetani ya adui kamwe haitoaguka kwani Iran ni taifa imara na la muqawama.
-
Raisi: Maadui wanataka kuwakatisha tamaa wananchi wa Iran
Nov 17, 2022 05:58Rais wa Iran amesema maadui wanafanya juu chini na kula kila aina ya njama kwa lengo la kuwakatisha tamaa wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Iran na Afrika Kusini zaazimia kuimarisha uhusiano wa pande mbili
Nov 17, 2022 04:14Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Afrika Kusini wamesisitizia haja ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili wa nchi hizi mbili katika nyuga tofauti.
-
Iran yaitaka Marekani iache unafiki katika mazungumzo ya JCPOA
Nov 17, 2022 03:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani ipo mbioni kurejea katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, na kwa msingi huo amewaasa viongozi wa nchi hiyo na timu ya wapatanishi wa Washington katika mazungumzo hayo kuweka pembeni unafiki.
-
Kadhaa watiwa mbaroni kwa kuhusika na shambulio la kigaidi lililoua watu 5 kusini mwa Iran
Nov 16, 2022 23:23Vikosi vya usalama vya Iran vimewatia mbaroni watu kadhaa wanaohusishwa na shambulio la kigaidi lililosababisha vifo vya watu sita usiku wa kuamkia leo katika mkoa wa Khuzestan, kusini magharibi mwa nchi.