Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Raisi: Kuwaachia huru wafungwa wa Marekani ni ithibati ya nia njema ya Iran

    Raisi: Kuwaachia huru wafungwa wa Marekani ni ithibati ya nia njema ya Iran

    Oct 04, 2022 04:33

    Rais wa Iran amesema hatua ya Jamhuri ya Kiislamu ya kuwaachia huru wafungwa wawili wa Marekani wenye asili ya Iran inaonesha wazi nia njema ya taifa hili, na azma yake ya kutatua matatizo kwa njia ya mashauriano.

  • Biashara kati ya Iran na Afrika Mashariki imeongezeka kwa 100%

    Biashara kati ya Iran na Afrika Mashariki imeongezeka kwa 100%

    Oct 04, 2022 04:31

    Naibu Mkuu wa Shirika la Kustawisha Biashara la Iran amesema miamala ya kibiashara kati ya Jamhuri ya Kiislamu na nchi za Afrika Mashariki imeongezeka kwa asilimia 100 katika kipindi cha miezi mitano iliyopita.

  • Nasrullah: Iran ni thabiti, haitatikiswa na matukio ya sasa

    Nasrullah: Iran ni thabiti, haitatikiswa na matukio ya sasa

    Oct 01, 2022 23:40

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hivi sasa ina nguvu na uthabiti kuliko wakati wowote ule, na kwamba taifa hili litavuka salama mtihani wa sasa kutokana na hekima ya viongozi wake.

  • Raisi: Iran iko tayari kuimarisha uhusiano na China katika kila uga

    Raisi: Iran iko tayari kuimarisha uhusiano na China katika kila uga

    Oct 01, 2022 08:35

    Rais Ebrahim Raisi wa Iran ametoa mwito wa kuimarishwa uhusiano wa pande mbili wa Jamhuri ya Kiislamu na China katika nyuga tofauti.

  • "Ni kinaya kwa wenye uraibu wa vikwazo kudai wanawahurumia Wairani"

    Sep 28, 2022 04:44

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa undumakuwili wa Marekani ambayo inadai kuwa ina huruma na mapenzi na wananchi wa Iran, wakati ambapo imeliwekea taifa hili vikwazo shadidi.

  • "Magharibi inafanya njama za kufuta matukufu ya Kiislamu na kupandikiza upotofu wake"

    Sep 27, 2022 07:21

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amendelea na harakati zake za kidiplomasia pembeni mwa kikao cha 77 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa kuonana na kufanya mazungumzo na mawaziri wenzake wa mambo ya nje kuanzia wa mashariki hadi magharibi mwa Asia na kutoka Amerika ya Latini hadi Ulaya na Afrika.

  • Iran ya Kiislamu imo kwenye maombolezo ya kufariki dunia Mtume Muhammad SAW

    Iran ya Kiislamu imo kwenye maombolezo ya kufariki dunia Mtume Muhammad SAW

    Sep 25, 2022 03:38

    Iran ya Kiislamu hivi sasa imo kwenye maombolezo makubwa ya kukumbuka kufariki dunia Bwana Mtume Muhammad SAW na kuuawa shahidi mjukuu wake, Imam Hassan al Mujtaba AS ambaye ni Imam wa Pili wa Waislamu wa madhehebu ya Kishia.

  • Sheikh Naim Qassim: Iran iliwasaidia wananchi wa Lebanon, lakini Marekani inawaadhibu

    Sheikh Naim Qassim: Iran iliwasaidia wananchi wa Lebanon, lakini Marekani inawaadhibu

    Sep 24, 2022 23:13

    Naibu Katibu Mku wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Iran ilikuwa pamoja na wananchi wa Lebanon katika matatizo na masaibu na iliwasaidia, lakini Marekani inawaadhibu.

  • Kan'ani: Kukimbia kusikiliza uhakika wa mambo hakuusaidii kitu utawala wa kibaguzi wa Israel

    Kan'ani: Kukimbia kusikiliza uhakika wa mambo hakuusaidii kitu utawala wa kibaguzi wa Israel

    Sep 23, 2022 06:05

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kitendo cha utawala wa kibaguzi wa Israel cha kutoka kwenye ukumbi wa mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wakati Rais wa Iran alipokuwa anahutubia, hakiusaidii kitu utawala huo pandikizi.

  • Mazungumzo ya kuondoa vikwazo; ajenda kuu ya mazungumzo ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Qatar

    Mazungumzo ya kuondoa vikwazo; ajenda kuu ya mazungumzo ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Qatar

    Sep 20, 2022 03:36

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Qatar wamezungumzia suala la kuondolewa vikwazo katika fremu ya vikao vya Vienna.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS