-
Iran: Tutaendelea kuiunga mkono kambi ya muqawama Lebanon
Oct 10, 2021 04:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu itaendelea kuuunga mkono mrengo wa muqawama na mapambano nchini Lebanon, mkabala wa vitisho na chokochoko tarajiwa za utawala wa Kizayuni.
-
Amir-Abdollahian: Iran ipo pamoja na Syria kwa nguvu zake zote
Oct 09, 2021 22:59Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili lipo pamoja na bega kwa bega na Syria na kuitaja nchi hiyo ya Kiarabu kama mshirika wa kistratijia wa Iran.
-
Salamu za rambi rambi za rais wa Iran kufuatia kuuawa shahidi watu wa Afghanistan
Oct 09, 2021 08:25Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe kufuatia kuuawa shahidi na kujeruhiwa idadi kubwa ya watu wasio na hatia nchini Afghanistan.
-
Iran yalaani mauaji ya Waislamu msikiti wa Ijumaa Kunduz huko Afganistan
Oct 08, 2021 10:12Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani mauaji ya makumi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia katika hujuma ya kigaidi iliyolenga ibada ya Swala ya Ijumaa mapema leo katika mji wa Kunduz huko kaskazini mashariki mwa Afghanistan.
-
Iran na Lebanon zasisitizia haja ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili
Oct 07, 2021 21:26Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itaendelea kuliunga mkono na kulisaidia taifa la Lebanon linalokabiliwa na mgogoro wa kiuchumi uliotokana na vikwazo.
-
Iran: Mazungumzo yajayo ya Vienna sharti yawe na tija ya maana
Oct 06, 2021 09:37Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema duru ijayo ya mazungumzo ya Vienna yanayolenga kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA inapasa iwe na matokeo ya maana na yenye kutekelezeka.
-
Ndege ya misaada ya kibinadamu ya Iran yatua mjini Kabul, Afghanistan
Oct 05, 2021 07:17Ndege yenye misaada ya kibinadamu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa ajili ya wananchi wenye shida wa Afghanistan, imetua katika mji mkuu wa nchi hiyo Kabul na misaada hiyo kukabidhiwa viongozi wa serikali ya mpito ya Taliban.
-
Iran: Mazungumzo yetu na Saudia yanaendelea vizuri
Oct 05, 2021 04:37Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema mazungumzo baina ya Jamhuri ya Kiislamu na Saudi Arabia yanaendelea vizuri.
-
Hizbullah: Mafuta ya Iran yamevunja mzingiro wa kiuchumi dhidi ya Lebanon
Oct 04, 2021 22:52Mkuu wa Baraza la Utendaji la harakati ya Hizbullah nchini Lebanon amesema kuwa, kuingizwa Lebanon shehena ya mafuta kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kumevunja mzingiro wa kiuchumi dhidi ya Lebanon.
-
Ujerumani yakariri msimamo wake wa kiuhasama dhidi ya Iran
Oct 04, 2021 22:51Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ujerumani kwa mara nyingine tena amekariri msimako wa kiuhasama wa Berlin dhidi ya Tehran na mapatano ya nyuklia ya JCPOA bila ya kuashiria hatua ya Marekani ya kujitoa kwa upande mmoja katika mapatano hayo, na nchi za Ulaya kutotekeleza majukumu yao kwa mujibu wa mapatano hayo ya kimataifa.