-
Iran: Mafanikio ya mazungumzo ya nyuklia yanategemea kuwa jadi Marekani
Feb 27, 2026 22:59Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesisitiza kwamba, mazungumzo ya nyuklia yasiyo ya moja kwa moja kati ya Jamhuri ya Kiislamu na Marekani yatafanikiwa tu iwapo Washington itayachukuliwa kwa uzito na kuzingatia uhalisia wa mambo.
-
Iran: Kutochukua hatua Baraza la Usalama dhidi ya jinai za Israel ni 'janga'
Feb 27, 2026 22:52Iran imelishutumu Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa kufumbia macho mashambulizi mabaya yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Lebanon, ambayo yanakiuka makubaliano ya kusitisha mapigano ya 2024.
-
Sera ya kikanda ya Iran: Imejikita katika kudumisha amani, utulivu na kutotegemea madola nje ya eneo
Feb 27, 2026 03:45Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mazungumzo na Waziri wa Ulinzi wa Armenia kuhusu azma ya Iran ya kustawisha na kuimarisha uhusiano wa pande mbilii na majirani zake hasa Armenia.
-
Araghchi: Marekani inapaswa kuacha misimamo ya kukinzana
Feb 26, 2026 02:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Sayyid Abbas Araghchi amesema kwamba mafanikio ya mazungumzo yatategemea upande wa pili kuyachukuliwa kwa uzito na kujiepusha na tabia na misimamo inayokinzana.
-
NGO iliyoanzishwa na CIA yakiri kuhusika na machafuko Iran
Feb 25, 2026 23:57Shirika lisilo la Kiserikali (NGO) Marekani National Endowment for Democracy (NED), ambalo lilianzishwa na shirika kuu la kijasusi nchini humo, CIA, limekiri kuwa lilitumia takriban vifaa 200 vya Starlink nchini Iran wakati wa machafuko ya hivi karibuni.
-
Mgongano wa wazi ndani ya Washington; kuanzia tuhuma hadi uthibitisho kwamba mpango wa nyuklia wa Iran ni wa amani
Feb 25, 2026 23:47Rais wa Marekani Donald Trump amekoleza maradufu moto wa kampeni yake ya kueneza sumu dhidi ya Iran kwa kurudia tena tuhuma hewa za kila mara kuhusu mpango wa nyuklia wa Tehran.
-
Wakati nguvu kubwa inapochukuliwa mateka pamoja na manowari zake
Feb 25, 2026 23:03Ingawa Marekani daima inapiga ngoma ya vita na kutishia kuishambulia Iran kwa kutuma manowari na zana nyingine nzito za kijeshi katika maji yaliyo karibu na Iran, lakini ukweli wa mambo unaashiria hali tofauti kabisa.
-
Iran na Gambia zapania kuimarisha uhusiano wa pande mbili
Feb 25, 2026 05:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi na mwenzake wa Gambia wamesisitiza haja ya kusimamisha uhusiano wa kirafiki kati ya nchi hizo mbili katika nyanja zote zenye maslahi ya pande mbili.
-
Kiongozi wa Wademocrat katika Bunge la US: Trump anasema uwongo kuhusu Iran
Feb 25, 2026 03:30Kiongozi wa wabunge wa chama cha Democratic katika Baraza la Wawakilishi la Marekani amesema, Rais wa Marekani Donald Trump anasema uwongo kuhusu Iran.
-
Mohajerani: Iran inafadhilisha diplomasia badala ya vita
Feb 24, 2026 22:57Msemaji wa serikali ya Iran amesema, Jamhuri ya Kiislamu inafadhilisha diplomasia kuliko vita, lakini inaviona viwili hivyo kama mikakati ya kulinda maslahi ya taifa la Iran.