Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • White House: Tunachunguza uwezekano wa kutekeleza vikwazo baada ya mapatano yaliyofikiwa kati ya Iran na China

    White House: Tunachunguza uwezekano wa kutekeleza vikwazo baada ya mapatano yaliyofikiwa kati ya Iran na China

    Mar 30, 2021 03:25

    Msemaji wa White House ametoa radiamali yake kufuatia kusainiwa mpango wa ushirikiano wa kimkakati wa miaka 25 kati ya Iran na China.

  • Ali Shamkhani: Ushirikiano wa kistratejia Mashariki unaharakisha kusambaratika Marekani

    Ali Shamkhani: Ushirikiano wa kistratejia Mashariki unaharakisha kusambaratika Marekani

    Mar 29, 2021 03:45

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuwa, ushirikiano wa kistratejia wa Mashariki utaharakisha kusambaratika Marekani.

  • Iran kuanza kuzalisha chanjo ya Russia ya Sputnik V

    Iran kuanza kuzalisha chanjo ya Russia ya Sputnik V

    Mar 27, 2021 02:45

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko tayari kuanza kuzalisha chanjo ya COVID-19 ya Sputnik V ya Russia ambayo sasa inataumika katika nchi nyingi duniani.

  • Haki za binadamu; chombo cha kisiasa cha nchi za Magharibi katika kukabiliana na Iran

    Haki za binadamu; chombo cha kisiasa cha nchi za Magharibi katika kukabiliana na Iran

    Mar 25, 2021 04:46

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa azimio lililopitishwa hivi karibuni na baadhi ya nchi za Magharibi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kikao cha 46 cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, halina itibari yoyote ya kisheria na wala halikubaliki kimataifa.

  • Moscow: Iran ina nafasi muhimu katika kutatua masuala ya Afghanistan

    Moscow: Iran ina nafasi muhimu katika kutatua masuala ya Afghanistan

    Mar 24, 2021 22:06

    Mjumbe Maalumu wa Russia katika Masuala ya Afghanistan amesisitiza umuhimu wa nafasi chanya ya Iran katika kuyapatia ufumbuzi masuala mbalimbali ya Afghanistan.

  • Sisitizo la Russia na China juu ya kurejea bila masharti Marekani katika mapatano ya JCPOA

    Sisitizo la Russia na China juu ya kurejea bila masharti Marekani katika mapatano ya JCPOA

    Mar 24, 2021 07:51

    Wang Yi na Sergei Lavrov, Mawaziri wa Mambo ya Nje wa China na Russia Jumatatu wiki hii tarehe 22 Machi walisiistiza udharura wa kurejea Marekani katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA bila ya masharti yoyote na kuondolewa vikwazo vya upande mmoja dhidi ya Iran.

  • Bri. Jen. Hatami: Uingereza ichukue hatua za kivitendo kulipa deni la Iran

    Bri. Jen. Hatami: Uingereza ichukue hatua za kivitendo kulipa deni la Iran

    Mar 23, 2021 22:39

    Waziri wa Ulinzi wa Iran ameashiria jinsi Uingereza ilivyokiri kuwa ina deni la miaka 42 la Iran na kuitaka London ichukue hatua za kivitendo za kuilipa Tehran fedha zake hizo ambazo ni mamia ya mamilioni ya dola.

  • Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu JCPOA; Iran haina haraka

    Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu JCPOA; Iran haina haraka

    Mar 23, 2021 05:15

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, Marekani inapaswa kufuta vikwazo vyote, kisha Iran ichunguze na kutathmini ukweli wa hatua hiyo, na endapo itathibiti kweli kwamba, vikwazo hivyo vimeondolewa, basi taifa hili litarejea bila tatizo lolote katika utekelezaji wa ahadi zake kwa mujibu wa makubaliano hayo.

  • Iran yalaani mashambulio ya silaha nchini Niger

    Iran yalaani mashambulio ya silaha nchini Niger

    Mar 20, 2021 04:52

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani mashambulio yaliyofanywa hivi karibuni na wabeba silaha nchini Niger, ambayo yamepelekea makumi ya watu kupoteza maisha na wengine wengi kujeruhiwa.

  • Iran: Hatujapokea ujumbe wowote kutoka Marekani

    Iran: Hatujapokea ujumbe wowote kutoka Marekani

    Mar 20, 2021 04:49

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu haijapokea ujumbe wowote kutoka kwa Marekani wala haina azma yoyote ya kuitumia Washington ujumbe.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS