Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Kamanda wa IRGC: Dei 9 ni siku ambayo Wairani walisimama kupinga fitina

    Kamanda wa IRGC: Dei 9 ni siku ambayo Wairani walisimama kupinga fitina

    Dec 30, 2020 00:54

    Mratibu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Tarehe Tisa Dei ni siku ya taifa la Iran kwani ni siku ambayo wananchi walijotokeza na kusimama kidete kupinga waliokuwa wameibua fitina.

  • Bunge la Iran lalaani hatua ya Marekani ya kukiwekea vikwazo Chuo Kikuu cha al-Mustafa

    Bunge la Iran lalaani hatua ya Marekani ya kukiwekea vikwazo Chuo Kikuu cha al-Mustafa

    Dec 27, 2020 20:51

    Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) imelaani vikali hatua ya serikali ya Marekani ya kukiwekea vikwazo Chuo Kikuu cha Kimataifa cha al-Mustafa cha Iran.

  • Onyo kali la Iran dhidi ya chokochoko yoyote ile ya kijeshi ya Marekani

    Onyo kali la Iran dhidi ya chokochoko yoyote ile ya kijeshi ya Marekani

    Dec 25, 2020 23:09

    Matamshi ya vitisho yaliyotolewa hivi karibuni na Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Iran baada ya kuituhumu Tehran kwamba, ilihusika katika mashambulio ya hivi karibuni ya maroketi dhidi ya ubalozi wa Wsahington mjini Baghdad, yamekabiliwa na radiamali kali ya taifa hili.

  • Iran yarekodi idadi ya chini zaidi ya vifo vya corona tokea Septemba

    Iran yarekodi idadi ya chini zaidi ya vifo vya corona tokea Septemba

    Dec 25, 2020 10:12

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesajili idadi ya chini zaidi ya vifo vya wagonjwa wa Covid-19 katika kipindi cha saa 24 zilizopita tokea Septemba 13 mwaka huu.

  • Ujumbe wanaokusudia kuufikisha Wairaqi kwa maandalizi ya kukumbuka kuuawa shahidi Kamanda Qassem Suleimani

    Ujumbe wanaokusudia kuufikisha Wairaqi kwa maandalizi ya kukumbuka kuuawa shahidi Kamanda Qassem Suleimani

    Dec 24, 2020 22:59

    Wananchi na makundi mbalimbali ya Wairaqi wanajiandaa kwa hauli na maadhimisho ya mwaka wa kwanza tangu alipouliwa shahidi Luteni Jenerali Qassem Suleimani na Abu Mahdi Al-Muhandis.

  • Russia: Ushirikiano wetu na Iran katika masuala ya nishati ni muhimu

    Russia: Ushirikiano wetu na Iran katika masuala ya nishati ni muhimu

    Dec 24, 2020 00:01

    Mkuu wa Kituo cha Usalama wa Nishati cha Russia amegusia safari ya Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Moscow na kusema kwamba, kustawishwa ushirikiano wa pande hizi mbili katika sekta za mafuta, gesi na vinu mbalimbali ni jambo muhimu sana. Amesema, mustakbali wa ushirikiano huo ni mzuri na uko wazi.

  • Wairani 10,000 tayari kupigwa chanjo ya majaribio ya Covid-19 iliyozalishwa nchini

    Wairani 10,000 tayari kupigwa chanjo ya majaribio ya Covid-19 iliyozalishwa nchini

    Dec 23, 2020 08:57

    Takriban wananchi elfu kumi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wametangaza utayarifu wao wa kushiriki katika majaribio ya chanjo ya corona iliyozalishwa hapa nchini.

  • Rouhani: Hatima ya Trump haitakuwa bora kuliko ya dikteta Saddam

    Rouhani: Hatima ya Trump haitakuwa bora kuliko ya dikteta Saddam

    Dec 23, 2020 08:54

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hatima ya Rais anayeondoka wa Marekani, Donald Trump haitakuwa bora kuliko ya dikteta wa zamani wa Iraq, Saddam Hussein.

  • Iran na nchi kadhaa duniani zasimamisha safari za ndege za Uingereza

    Iran na nchi kadhaa duniani zasimamisha safari za ndege za Uingereza

    Dec 21, 2020 04:49

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na nchi nyingine kadhaa duniani zimesimamisha kwa muda safari za ndege za kwenda na kutoka Uingereza baada ya kuripotiwa aina mpya ya msambao wa virusi vya corona mjini London na kusini mashariki mwa UK.

  • Iran yasisitiza nchi za Ulaya zitumie mfumo wa INSTEX

    Iran yasisitiza nchi za Ulaya zitumie mfumo wa INSTEX

    Dec 20, 2020 03:33

    Mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesisitiza kuwa nchi za Ulaya zinapaswa kuthibitisha kuwa mfumo wa mabadilishano ya kifedha na Iran maarufu kama Instex unafanya kazi ili Iran iweze kunufaika kiuchumi na mapatano ya nyuklia ya JCPOA.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS