Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Mkutano wa siri wa wakuu wa Israel na UAE kupanga njama dhidi ya Iran wafichuka

    Mkutano wa siri wa wakuu wa Israel na UAE kupanga njama dhidi ya Iran wafichuka

    Aug 16, 2019 02:58

    Maafisa wa ngazi za juu wa utawala haramu wa Israel na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) hivi karibuni walifanya mkutano wa siri kwa lengo la kupanga njama dhidi ya Iran.

  • Zarif: Meli ya mafuta ya Iran ilikuwa imezuiwa kinyume cha sheria

    Zarif: Meli ya mafuta ya Iran ilikuwa imezuiwa kinyume cha sheria

    Aug 15, 2019 22:46

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekanusha madai ya serikali ya Uingereza kuwa meli ya mafuta ya Iran ya Grace 1 ilikuwa imekiuka sheria za Umoja wa Ulaya kuhusu vikwazo.

  • Sisistizo la anayechukua nafasi ya Mogherini na Troika ya Ulaya kuhusu kulinda JCPOA

    Sisistizo la anayechukua nafasi ya Mogherini na Troika ya Ulaya kuhusu kulinda JCPOA

    Aug 15, 2019 05:44

    Umoja wa Ulaya na Troika ya umoja huo yaani, Ujerumani, Ufaransa na Uingereza, kama wanachama wa kundi la 4+1 wamekuwa wakidai kuwa wanaunga mkono mapatano ya nyuklia ya Iran maarufu kama JCPOA. Pamoja na hayo, hivi sasa Ulaya inakabiliwa na changamoto kubwa katika kulinda mapatano ya JCPOA. Ni kwa msingi huo ndio wakuu wa Umoja wa Ulaya na Troika ya Ulaya wakasisitiza kuhusu kulinda JCPOA.

  • Uungaji mkono wa Shekhe wa Muqawama kwa diplomasia ya Zarif

    Uungaji mkono wa Shekhe wa Muqawama kwa diplomasia ya Zarif

    Aug 15, 2019 03:26

    Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amemtumia ujumbe Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ambapo sambamba na kulaani hatua ya Marekani ya kumwekea vikwazo Mohammad Javad Zarif amesisitizia mshikamano wa muqawama kwa mwanadiplomasia huyo.

  • Iran: Uingereza inatarajiwa baada ya muda si mrefu kuiachia meli ya mafuta iliyoizuia

    Iran: Uingereza inatarajiwa baada ya muda si mrefu kuiachia meli ya mafuta iliyoizuia

    Aug 13, 2019 22:06

    Shirika la Bandari na Safari za Majini la Iran limesema, Uingereza inatazamiwa baada ya muda si mrefu kuiachia meli ya mafuta inayomilikiwa na Iran ambayo iliizuia kinyume cha sheria mwezi uliopita katika pwani ya Gibraltar, baada ya pande mbili kubadilishana baadhi ya nyaraka ili kurahisisha kuachiwa kwa meli hiyo.

  • Uchochezi wa mitandao ya kijamii katika nchi zinazopinga sera za Marekani

    Uchochezi wa mitandao ya kijamii katika nchi zinazopinga sera za Marekani

    Aug 13, 2019 03:42

    Katika kipindi chote cha utawala wa Rais Vladmir Putin nchini Russia Wamagharibi wamekuwa wakifanya kila wawezalo kuzusha ghasia na kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo. Nchi za Magharibi hususan Marekani, zimekuwa zikitumia zaidi propaganda chafu na vita vya kinafsi dhidi ya Russia na nchi nyingine zisizokubaliana na sera zao za kibeberu.

  • Jahangiri: Marekani inalenga kuvuruga usalama wa Ghuba ya Uajemi

    Jahangiri: Marekani inalenga kuvuruga usalama wa Ghuba ya Uajemi

    Aug 13, 2019 02:43

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran Eshaq Jahangiri amesema Marekani inalenga kuvuruga usalama wa Ghuba ya Uajemi na Lango Bahari la kistratijia la Hormuz na kutumia ukosefu wa usalama kama kisingizo cha kujiimarisha kijeshi katika eneo.

  • Pakistan yaiomba Iran isaidie utatuzi wa amani wa mgogoro wa Kashmir

    Pakistan yaiomba Iran isaidie utatuzi wa amani wa mgogoro wa Kashmir

    Aug 11, 2019 02:16

    Pakistan imetoa wito kwa jamii ya kimataifa, ikiwemo Iran, kusaidia katika kutafutia suluhisho la amani mgogoro wa Kashmir baada ya kuibuka uhasama mpya baina ya India na Pakistan kuhusu eneo hilo linalozozaniwa.

  • Usalama wa Ghuba ya Uajemi utadhaminiwa kwa ushirikiano wa majirani

    Usalama wa Ghuba ya Uajemi utadhaminiwa kwa ushirikiano wa majirani

    Aug 09, 2019 04:59

    Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejadiliana, kupitia mazungumzo ya simu, na Mawaziri wenzake wa Ulinzi wa Qatar, Oman na Kuwait kuhusu umuhimu wa kudhaminiwa usalama wa Ghuba ya Uajemi kupitia ushirikiano wa pamoja.

  • Saudi Arabia na Bahrain,

    Saudi Arabia na Bahrain, "makuwadi wa kisiasa" wa Marekani

    Aug 09, 2019 03:43

    Marekani imekuwa ikiitisha vikao na mikutano kwa shabaha ya kutangaza sera zake za kueneza propaganda chafu dhidi ya Iran na sasa vikao hivyo vinafanyika katika nchi ndogo ya Bahrain.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS